04/02/2023
SABABU 10 ZA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE
Haya ni Maumivu yanayompata mtu sehemu ya chini ya tumbo na nyonga. Kwa wanawake maumivu haya yanaweza kuwa dalili ya matatizo (maradhi) kwenye:
โก๏ธmfumo wa uzazi,
โก๏ธmfumo wa haja ndogo,
โก๏ธmfumo wa chakula au
โก๏ธmifupa ya nyonga.
โ๐ป Maumivu yanaweza kuwa ya kawaida au makali, ya kudumu ama ya wakati, yaani yanakuja na kupotea kulingana na chanzo cha Maumivu hayo.
โ Wakati mwingine Maumivu yanaweza kusambaa kwenye mgongo wa chini wa kwenye miguu au mapaja. Lakini wakati mwingine yanaweza kuja tu pale unakuwa unakojoa au kushiriki tendo la ndoa.
SABABU ZAKE
โ Maumivu haya yanaweza kusababishwa na tatizo moja au zaidi hasa kwa yale humsumbua mtu kwa muda mrefu. Matatizo haya huwa k**a ifuatavyo;
1๏ธโฃMatatizo kwenye mfumo wa uzazi
2๏ธโฃVivimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi
3๏ธโฃHali ya tishu zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi (endometriosis) au kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi.
4๏ธโฃMaumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana na vivimbe katika kuta za tumbo la uzazi
5๏ธโฃMimba kutunga nje kizazi (ectopic pregnancy)
6๏ธโฃMaumivu yanayotokea upande mmoja chini ya kitovu katikati ya mzunguko wa hedhi yaani siku ya 14
7๏ธโฃSaratani kwenye mifuko ya mayi
8๏ธโฃMaambukizi kwenye mfumo wa uzazi ambayo hutokana na bakteria wanaosababisha kisonono, na klamidia.
โ๐ปWatu wengi wamekuwa wakipatwa na magonjwa haya pale wanapojaribu kupata ujauzito bila mafanikio (ugumba) au wanaposumbuliwa kwa muda mrefu na Maumivu ya kiuno na nyonga.
9๏ธโฃVivimbe kwenye kuta za kizazi (uterine fibroids) ambavyo hutokana na mvurugiko wa homoni ama kurithi kwa vinasaba.
๐Maumivu kwenye via vya uzazi ambayo husababisha kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu ama kushindwa kukaa kwa muda mrefu.
SABABU ZA MAUMIVU YA MGONGO
โก๏ธMaambukizi katika pingili za uti wa mgongo: Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo k**a vile maambukizi ya saratani ya mifupa huweza kuleta maumivu makali ya mgongo.
โก๏ธKuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo