15/11/2021
SABABU KUBWA YA WANAUME KUTESEKA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Kuna makosa mengi sana yanayotendeka katika kutatua tatizo la kurudisha heshima ya tendo la ndoa ndani ya nyumba. Tatizo hili limeonekana kuwa sugu lisilopata ufumbuzi kwa sababu watu wanaodai kushughulika na kutatua tatizo hili kwa hakika hawajui chochote kabisa zaidi ya kupeleka tonge kinywani. Na kibaya zaidi, wahanga wengi wa tatizo hili hukurupuka tu kubugia chochote kinachowekwa mbele yao pale wanapohisi mambo hayaendi vyema ndani ya nyumba.
Utakuta mtu anatangaza bidhaa yake ya aina moja akidai inamtatulia kila mtu mwenye changamoto ya ukosefu wa nguvu. Haya ni makosa makubwa sana. Na siyo suluhisho sahihi kabisa.
Huwezi kuweka bidhaa yako ya aina moja mtandaoni na kudai itatatua kila mwenye changamoto ya jogoo kuwika au kumaliza mapema au kushulindwa kurudia!! Huo ni uongo mkubwa sana. Na ni kuonyesha hujui chochote kabisa kuhusu mfumo wa mwili unavyofanya kazi na mchakato mzima wa nguvu.
Ndani ya mwili kuna vitu zaidi ya 100 vinavyoshughulika na nguvu. Baadhi ya vitu hivyo vinaposhindwa kufanya kazi vizuri, heshima ya ndoa hushuka (yaani jogoo haliwiki ipasavyo, au unamaliza haraka au unashindwa kurudia, au unachoka sana).
Kuhusika na hilo, anahitajika mtaalamu mbobezi ambaye anaujua vizuri mfumo wa binadamu unavyofanya kazi hasa eneo la nguvu.
Ili MTAALAMU huyo aweze kukutatulia tatizo lako, lazima kwanza afanye uchunguzi wa kina apate kufahamu ni eneo gani mwilini limeleta shida. Kisha awe na bidhaa SAHIHI ya kwenda kushughulikia eneo hilo husika. Sio kwamba kuna bidhaa moja na formula ya aina moja ambayo itakwenda kutatua na kuleta ufumbuzi kwa kila mtu mwenye changamoto ya jogoo kuwika au kumaliza haraka au kushindwa kurudia.
Mathalani, huyu anaweza kupata changamoto ya kushindwa kufanya tendo kwa sababu ya shida za kihomoni, lakini mwingine kwa sababu moyo na mishipa ya damu haifanyi kazi vizuri huku mwingine kwa sababu neva ya "parasympathetic" ni dhaifu sana, lakini mwingine kwa sababu ana shida katika mfumo wa teziadrenalin." Na mwingine kwa sababu ya tezi pituitary ina shida lakini huku mwingine kwa sababu kemikali ya "nitric oxide" iko chini sana. Orodha ni ndefu sana. Sasa inaingiaje akilini wote hao kuwapa bidhaa ya aina moja yenye formula ya aina moja?
..Yaani ni mambo ya hovyo kabisa na ya ajabu mno!! Na namna hii ndiyo maana watu wengi wanateseka na wataendelea kuteseka.
Hata mfumo wa vyakula ni tofauti mtu na mtu kulingana na sababu na chanzo cha tatizo.
Mathalani, mayai yanasaidia kutatua changamoto hii kwa sababu yana vitamin B6 na B5. Lakini si kila mwenye changamoto hii utamshauri kula mayai. K**a mtu kapata shida ya ukosefu wa nguvu kwa sababu ya kuwa na "mafuta mabaya" mengi katika mishipa ya damu, ukimshauri kula mayai utaongeza tatizo.
Pia, tunashauri sana na sana, watu wanaotaka kusaidia watu wenye changamoto hizi wapate utaalamu walau kidogo juu ya mfumo wa mwili unavyofanya kazi husasan katika eneo la nguvu na sio kuibuka na kutangaza bidhaa zao tu wakati bidhaa hizo hazisaidii chochote kabisa.
Wengine wamediriki hata kuiba makala zangu kwenye tovuti zangu na kuweka katika blogu zao wakijifanya wataalamu wa eneo hili. Baadhi yao tumewapeleka kwenye vyombo vya kisheria.
---------
Khamisi Ibrahim Zephania ni bingwa mbobezi aliyebobea katika kushughulikia matatizo ya kushindwa kukidhi tendo ndani ya nyumba. Anashughulikia kuanzia chanzo cha tatizo hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni uhakika na si mambo ya kubahatisha.
SIMU:
+255 766 431 675
+255 656 620 725
EMAIL:
khamisiibra@gmail.com
WHATSAPP:
+255 766 431 675
WEBSITE:
www.zephanialifeherbalclinic.com
Kwa walio Mwanza wanaweza kufika ofisini kwetu moja kwa moja iliyoko Kisesa stand ya Kwanza, Isenyi Bondeni A karibu na Msikiti wa Isenyi. Au ofisi Ndogo iliyoko Busweru Centre, jijini Mwanza.
Karibu Zephania Life Herbal Clinic. Maelezo zaidi tembelea: www.zephanialifeherbalclinic.com
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Kuna sababu zake ndani ya mwili. Sababu hizo ni nyingi mno, ni zaidi ya 100!