AFYA POINT

AFYA POINT Ninawasaidia wagonjwa wenye changamoto ya mifupa na maungio kuondokana na changamoto hiyo kwa kutumia Tiba lishe.

🦴 *TIBA ASILIA YA MIFUPA NA MAUNGIO!*  Unaumwa viungo? Umesumbuliwa na mgongo, goti, shingo au kiuno kwa muda mrefu?🌿 Ka...
09/05/2025

🦴 *TIBA ASILIA YA MIFUPA NA MAUNGIO!*
Unaumwa viungo? Umesumbuliwa na mgongo, goti, shingo au kiuno kwa muda mrefu?

🌿 Karibu upate *tiba ya asili* isiyo na madhara, inayorejesha afya ya viungo na nguvu ya mwili kwa haraka!

🔹 Tunatibu:
✅ Maumivu ya viungo
✅ Kuvimba kwa maungio
✅ Goti na mgongo kukakamaa
✅ Kupinda kwa mgongo au shingo
✅ Maumivu ya mzunguko wa damu na baridi mwilini

🌿 Matibabu Yetu:
✔️ Dawa za asili zilizoandaliwa kitaalamu
✔️ Mafuta ya kupaka ya asili
✔️ Huduma ya ushauri bure kabisa
✔️ Ufuatiliaji hadi unapona

📦 *Tunatuma dawa popote Tanzania*
🚛 Delivery ndani ya siku 1–2

📞 *Wasiliana nasi sasa:* 0756 803 291
📩 *Tuma DM kwa oda na maelezo zaidi*

🟢 *Tiba Asilia – Salama, ya Kudumu, na Yenye Uhakika!*

*🌟 PATA DAGA NYAMANONO BORA ZAIDI! 🌟**🦈 Unapenda dagaa wa kisasa, wenye ladha nzuri na afya?*  Tunayo *dagaa nyamanono* ...
06/05/2025

*🌟 PATA DAGA NYAMANONO BORA ZAIDI! 🌟*

*🦈 Unapenda dagaa wa kisasa, wenye ladha nzuri na afya?*
Tunayo *dagaa nyamanono* wa kipekee! Kila mchemsho wa dagaa utajivunia kuwa na ladha ya kipekee, yenye virutubisho vya kutosha kwa mwili wako. ✅

- *🧑‍🍳 – Ladha tamu, yenye kuleta furaha!
- *🍽️ Urahisi wa Kupika* – Dagaa tayari kwa kupika, hakuna mchakato wa ziada.
- *💪 Afya Bora* – Tayari kwa chakula chenye virutubisho vya asili kwa mwili wako!

*📲 Wasiliana nasi sasa kwa oda yako!* +255756803291
- *Tuna Huduma ya delivery mikoa yote* – Tunaleta dagaa popote ulipo!
- *Salama na Imehifadhiwa Vizuri* – Dagaa yetu hufungwa kwa usalama wa kiwango cha juu.

---

*🔔 Jiunge na Wateja Wetu Wengi na Upate Ladha Bora Leo! 🔔*

04/05/2025

“Do you know?
Seafood is the best source of protin, calcium and omega-3 for better bone health and heart "

Dr. Abou

04/05/2025

"Unajua?
Dagaa ni chanzo bora cha protin,Calcium na Omega-3 kwa Afya bora ya Mifupa na moyo"
Dr Abou

Ninasherehekea mwaka wangu wa 2 kwenye Facebook. Asante kwa kuendelea kuniunga mkono. Singeweza kufanikiwa kamwe bila we...
16/02/2025

Ninasherehekea mwaka wangu wa 2 kwenye Facebook. Asante kwa kuendelea kuniunga mkono. Singeweza kufanikiwa kamwe bila wewe. 🙏🤗🎉

TIBA YA  MIFUPA NA MAUNGIO KWA  WASUMBULIWAO NAMAUMIVU YA NYONGA,  KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?  MSHAURI: +2557568...
02/01/2025

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255756803291
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

⏩Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
⏩Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
⏩Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
⏩mawazo (stress).
⏩kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

⏩Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa.
⏩Hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
⏩Hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
⏩Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,
Au fika ktk ofisini zetu zilizopo karibu Kila mkoa

Mawasiliano +255756803291save namba (Dr Abubakary) Kisha tuma ujumbe (MIFUPA NA MAUNGIO)

01/01/2025

Zijue dalili za Pumu au Asthma.

🍎🍎 *JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI?* Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zil...
31/12/2024

🍎🍎 *JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI?*

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao.

Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.

🍎🍎 *VYANZO VYA SUMU MWILINI*

Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana

🍏Matumizi ya dawa mara kwa mara
🍏Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara

🍏Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia

🍏Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
🍏Matumizi ya madawa makali.
🍏Uzito mkubwa
🍏Mitindo ya maisha
🍏Njia za uzazi wa mpango za kisasa

🥭🥭 *DALILI ZA KUWA SUMU MWILINI*

🍎Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
🍎Kuwa na uzito wa kupindukia

🍎Kutopata choo au kupata choo kigumu
🍎Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza

🍎Kichwa kuuma kila mara
🍎Kupata miwasho sehemu mbali mbali za mwili

🍎Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
🍎Kuwa na hasira mara kwa mara.
🍎Tumbo kujaa gesi nk

🥭🥭 *MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU*

🍎Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🍅Kupata maambukizi ya figo

🍎Kupata maambukizi ya Ini
🍎Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)

🍎Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.

🍎Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)

🍎Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.

🍎Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.

🍏🍏 *SULUHISHO LA KUDUMU*

📌Kwa watu wenye changamoto hizo tumewaandalia tibalishe / virutubisho muhimu ili kuondokana na matatizo hayo.

🩸🩺📌💉💊Bidhaa hii ni asili iliyo tengenenzwa kwa ubora wa hari ya juu sana,,ni salama kwa mtumiaji na haina madhara kwa mtumiaji.

🌶🌶 *FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI* .

🍏Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.

🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.

🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke

🍏Huweka hedhi sawa na kuondoa maumivu wakati wa hedhi.

🍏Husaidia kuongeza virutubisho na kuupa Mwili afya na kulainisha Ngozi na kuifanya Ngozi kuwa ng'avu na laini.

🍏Huondoa uchovu Na kuupa nguvu.

🍏Huondoa sumu zote mwilini

🍏Inaimarisha ubongo na kutunza kumbu kumbu

🍏Inaondoa madhara ya pombe na kulinda ini na figo

🍏Inaondoa mafuta yaliyo zidi mwilini

🍏Inazuia kuota kitambi baada ya kuitumia

🍏Inaondoa sukari iliyo zidi mwilini

🍏Ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu(presha)

*Tupo MWANZA BUZURUGA lakini pia
huduma zangu ni mikoa yote TANZANIA na nje ya Tanzania

Piga simu moja kwa moja uhudumiwe

☎️📲 +255756803291

*MSHAURI WA AFYA DR Masuka Masuka

Address

BUZURUGA
Mwanza

Telephone

+255767950132

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA POINT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA POINT:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram