22/08/2019
JE UNAZIFAHAMU FURSA MBALIMBALI ZILIZOPO KATIKA MNYORORO WA THAMANI (Value Chain) WA KILIMO ZINAZO PATIKANA KATIKA MKOA WAKO UNAOISHI????
Tafadhali Taja mkoa unaoishi!!! mkoa utakaopata kura nyingi basi tutaanza nao kuainisha fursa mbalimbali zinazopatikana katika shughuli za kilimo kuanzia shambani mpaka sokoni.
Kilimo endelevu huleta usalama wa chakula,afya, kipato na mazingira.
Karibuni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!👍
Picha kwa hisani ya ontheworldmap