Dr.Kawimbe-Afya kwanza

Dr.Kawimbe-Afya kwanza TIBA ASILIA YA MAGONJWA KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE KUTOKA KAMPUNI YA BF SUMA.0629936799/0765168850

TEZI DUME NI NINI?.Wasiliana nasi kwa namba 0629936799Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni t...
06/07/2024

TEZI DUME NI NINI?.

Wasiliana nasi kwa namba 0629936799

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA YA VIRUTUBISHO LISHE BILA UPASUAJI..

Je, umekuwa ukiteseka na vidonda vya tumbo sugu?  Suluhisho la kudumu lipo tayari... Popote ulipo package inakufikia, we...
27/06/2024

Je, umekuwa ukiteseka na vidonda vya tumbo sugu? Suluhisho la kudumu lipo tayari... Popote ulipo package inakufikia, weka oda yako ya Package nzuri ya kiasili yenye mchanganyiko wa virutubisho
Ili kupata ushauri/matibabu au maelezo zaidi: 0629936799

U hali gani ndugu, kwa wale wenye changamoto ya TEZI DUME suluhisho lake lipo bila upasuaji. Kwa kutumia aina ya virutub...
24/06/2024

U hali gani ndugu, kwa wale wenye changamoto ya TEZI DUME suluhisho lake lipo bila upasuaji. Kwa kutumia aina ya virutubisho lishe k**a inavyooneka kutoka taasisi pendwa ya BF SUMA.

Address

Mwanza

Telephone

+255629936799

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Kawimbe-Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Kawimbe-Afya kwanza:

Share