Kliniki Ya Mungu

  • Home
  • Kliniki Ya Mungu

Kliniki Ya Mungu Health & Productivity
| Sala na Kazi�
| Tiba Lishe �
| Mazoezi Tiba�
| Ujasiriamali �

07/06/2024

KLINIKI YA MUNGU

UTANGULIZI

Karibu ndugu.

Ukurasa huu ni maalumu kwa watu wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu, ya muda mrefu bila suluhu.

Pia watu wote ambao wanahangaika na ukosefu wa ajira, kazi na ujasiriamali bila suluhu.

KWA NINI KLINIKI YA MUNGU?

Nikwa sababu mipango ya kliniki za wanadamu haina suluhu ya kudumu. Watu wamejawa na mihaho ya kula vidonge na kubadili mahospitali na makanisa kila leo.

Hapa tutaleta kanuni asilia za Mungu za kudhibiti magonjwa na kuzalisha mali ili kila anayezitumia kwa imani akombolewe kiafya na kiuchumi.

MPANGO NA KUSUDI LA UUMBAJI.

Kila alichoumba Mungu ni chema, hiyo ni pamoja na mimi na wewe (Mwanzo 1:31).

Sikiliza rafiki, Mungu hakuumba ugonjwa wowote wala chembe ya uvivu na umasikini hata kidogo.

Uvivu na magonjwa ni projects za shetani zinazolenga kukwamisha mpango wa MUNGU ambao ni kutawala rasilimali za duniani (dominion)

Kuishi bila kufanya kazi ni kumhujumu Mungu na kumnemesha ibirisi. Kumbuka andiko la asiyefanya kazi na asile.

Mungu anatuambia na kutuonya kuwa Miili yetu ni hekalu lake na tusiliharibu.

Ukiharibu mwili Mungu atakuharibu vibaya mno, utateseka sana (1 Wakorintho 3: 16 - 17).

Tunza mwili wako, ili Mungu aishi kwenye kiyoyozi, atakupa miaka mingi, ideas, nguvu za kufanya kazi na mali nyingi.

👆Matajiri wakubwa duniani wanaijua siri hii.

Siku zote utambue kuwa kusudi la kuumbwa mwili ni kuwa makao ya Mungu ili autumie kutawala rasilimali za duniani (Mwanzo 1: 26).

Endelea kubarikiwa na mafundisho yetu ya jinsi ya kudhibiti magonjwa ili uendelee kutumia mtaji wa afya ya mwili wako kutengeneza ajira, kazi na kukuza uchumi wako zaidi na zaidi, umfurahishe Mungu.

Bonyeza Link 👇 follow

https://www.instagram.com/kliniki_ya_mungu?igsh=MTRqcWZ6dWw2dnJzdg==

"STAY HEALTHY, BE PRODUCTIVE"

Piga: 0744724693
WhatsApp: 0744725560

Dr Fidel Bayagiki.

Address


Telephone

+255744724693

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kliniki Ya Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kliniki Ya Mungu:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram