Jrc health care

Jrc health care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jrc health care, Medical and health, Mwanza.

31/12/2024

💓 Did you know that your heart pumps enough blood in a lifetime to fill 80 Olympic-sized swimming pools? 💓

The heart is a powerful engine of the human body, a unique organ that tirelessly works like a clock, pumping blood throughout your lifetime. Blood flows from the right chambers of the heart to the lungs, where it is enriched with oxygen, then moves through the left chambers to circulate throughout the entire body, delivering oxygen and essential nutrients.

With about 100,000 beats a day, the heart pumps an astonishing 7,500 liters of blood daily—that’s nearly 200 million liters over a typical lifespan of 75 years!

31/12/2024

How does your body turn waste into urine? The answer lies in your kidneys!

Your kidneys are true multitaskers, filtering about 50 gallons of blood daily to remove toxins, balance fluids, and produce urine. But how does this process actually work? Let’s dive into science and see it happen in stunning 3D!

Inside each kidney are thousands of tiny filters called nephrons. Blood enters through the renal arteries and flows into these nephrons, where waste is separated from vital nutrients. The clean blood returns to your body, while the waste combines with excess water to form urine. From there, it travels through the renal tubules, collects in the renal pelvis, and flows down the ureters to the bladder.

🌟Fun fact: If all the nephrons in your kidneys were laid out end-to-end, they would stretch over 50 miles! And here’s another: Your kidneys produce 50 times more filtrate than urine daily, reabsorbing most of it to keep your body hydrated and balanced.

Discover more with VOKA 3D Anatomy & Pathology, where we bring science to life in hyperrealistic 3D!

Nitakufundisha jinsi ya kufanya mchakato mpya uitwao Deep Liver Cleansing kwa sababu ni lazima uwe na ini lenye afya ili...
20/12/2024

Nitakufundisha jinsi ya kufanya mchakato mpya uitwao Deep Liver Cleansing kwa sababu ni lazima uwe na ini lenye afya ili uwe na afya njema.
Wazi na rahisi, ikiwa ini lako halifanyi kazi vizuri, utakuwa na ugumu mwingi kujaribu kushinda hali yako ya kiafya sugu na dalili.
Uso wako unaweza kuwa mchongaji mkuu linapokuja suala la afya yako. Macho yenye damu? Sio tu usingizi mbaya wa usiku-ni ini yako inayoomba dawa ya detox. Mifuko ya puffy chini ya macho yako? Figo zako ni za uvivu na zinapiga kelele za kutakaswa. Puuza ishara, na unakaribisha matatizo makubwa zaidi kwenye chama. Huu ndio ukweli: njia bora ya kusafisha ini na figo zako haijafichwa katika utakaso wa juisi ya bei ya juu au nyongeza ya kisasa. Ni juu ya kufanya mwili wako kufanya kazi na wewe, sio dhidi yako. Kwa sababu hizo nyeusi usoni? Wao ni upungufu wako wa vitamini D kuzungumza. Nyufa kwenye pembe za mdomo wako? Huo ni mgogoro wa B2. Kila kitu-kutoka chunusi inayohusishwa na afya ya utumbo hadi duru za giza kutoka kwa upinzani wa insulini-huunganisha nyuma kwenye viungo vyako. Usianguke kwa hila. Unataka afya halisi? Anza kwa kusikiliza ishara za ugonjwa wa ini, minong'ono ya shida ya figo, na kuchukua hatua. Punguza mzigo wa sumu. Lisha mwili wako kile unachohitaji. Ponya kutoka ndani na nje. Sio tu kuangalia vizuri. Inahusu kuishi bora. Na yote huanza na utakaso halisi, njia sahihi.

20/12/2024

-Aina tano za vyakula zinazo weza kuharibu Ini katika mwili.
-Bado huja chelewa tiba ipo.. Wasiliana nasi kwa matibabu bora zaidi ya uhakika

-Ugonjwa wa Figo ni hatari sana kwa binadamu. Hivyo k**a wewe ni mmoja wapo wa wenye tatizo la Figo bado huja chelewa wa...
22/11/2024

-Ugonjwa wa Figo ni hatari sana kwa binadamu. Hivyo k**a wewe ni mmoja wapo wa wenye tatizo la Figo bado huja chelewa wahi tukupatie tiba.
- Piga simu no +255 719 617 355

UJUE UGONJWA WA FIGO(KIDNEY FAILURE)**Figo ni moja ya kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu na hufanya kazi za kud...
22/11/2024

UJUE UGONJWA WA FIGO(KIDNEY FAILURE)*

*Figo ni moja ya kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu na hufanya kazi za kudhibiti na kuhifadhi virutubishi na maji na kuondoa mabaki kupitia mkojo*

*Pia figo husaidia sana kuchuja damu ili kuondoa mabaki ambayo ni sumu mwilini. Baadhi ya mabaki hayo ni urea, uric acid, creatinine na ammonia*

*Sababu zinazoweza kufanya figo zishindwe kufanya kazi*

*1️⃣) Sababu za muda mfupi*

*1️⃣Matumizi ya baadhi ya dawa za kupunguza maumivu*
*2️⃣Upungufu mkubwa wa ujazo wa damu (kupoteza damu kwa kiasi kikubwa)*
*3️⃣Upungufu wa maji mwilini kutokana na kutapika, kuhara, na homa*
*4️⃣Maambukizi kwenye figo mfano sepsis*
*5️⃣Uvimbe mkubwa wa tezi dume (prostatic hypertrophy)*

*2️⃣)Sababu za Muda Mrefu*

*1️⃣Maambukizi katika njia ya mkojo ya mda mrefu(UTI SUGU)*
*2️⃣Kisukari kisichodhibitiwa*
*3️⃣Shinikizo kubwa la damu lisilodhibitiwa*
*4️⃣Uvimbe-uchungu wa kudumu kwenye mfumo wa uchujaji wa figo(chronic glomerulonephritis)*
*5️⃣Mawe kwenye figo*
*6️⃣Magonjwa ya tezi dume (Prostate disease)*

*CHANGAMOTO ya UGONJWA wa FIGO*
**FIGO ni OGANI inayoshirikiana na MOYO. KUATHIRIKA kwake kuna ATHARI KUBWA kwa MFUMO wa DAMU na MAPIGO ya MOYO*
**MAGONJWA SUGU ya FIGO hutokea pale OGANI hiyo inapopoteza UWEZO wa kutenda KAZI zake kikamilifu*

*TATIZO huanza TARATIBU na KUDUMU kwa MUDA mrefu hadi kuonyesha DALILI za WAZI*
**HUU ni kati ya MAGONJWA yasiyoambukiza kwani UNATOKANA na MIENENDO na MITINDO ya KIMAISHA*
*FIGO huwa na KAZI ya kuchuja TAKAMWILI zilizo NDANI MWILINI na kuzitoa NJE kwa NJIA ya MKOJO na KUPUNGUZA kiasi cha MAJI kilichozidi MWILINI*
**FIGO hutoa HOMONI inayochochea OGANI zingine MWILINI ikiwamo KUHAMASISHA utengenezwaji wa CHEMBE NYEKUNDU za DAMU,utendaji wa MADINI ya KALSIAMU na HOMONI zinazoongeza MWENDO KASI wa MISULI ya MOYO*
*Vilevile ,FIGO hufanya KAZI ya KUFYONZA na KUVIRUDISHA vitu MUHIMU ambavyo vingehitajika kutoka kwa NJIA ya MKOJO*
**Hudhibiti MADINI k**a POTASIUMU,MAGNESIUMU,na TINDIKALI ili kuweka sawa MAZINGIRA sawia katika DAMU*

PID ni maambukizi kwenye uterasi (mfuko wa uzazi), kwenye mirija ambayo inaunganisha ovari zako na uterasi yako (mirija ...
21/11/2024

PID ni maambukizi kwenye uterasi (mfuko wa uzazi), kwenye mirija ambayo inaunganisha ovari zako na uterasi yako (mirija ya uzazi), au zote mbili. PID pia inaweza kusambaa kwenye ovari zako (viungo vya ngono ambavyo vinashikilia mayai yako) na kwenye mtiririko wa damu.

Maambukizi unayopata wakati wa kushiriki ngono yanayoitwa STI (maambukizi ya zinaa) yanasababisha PID

Bakteria (vijidudu) kutoka kwenye uke wako (njia ya uzazi) zinaingia kwenye uterasi yako

Utakuwa na maumivu katika sehemu ya chini ya tumbo na kwa kawaida vitu kutoka ukeni (majimaji mazito kutoka kwenye uke wako)

PID inaweza kuifanya ngumu kupata mimba (ugumba)

PID kwa kawaida hutokea kwa wanawake walio amilifu kwa ngono na inaweza kuwa kali sana

Madaktari hutibu PID kwa kutumia dawa za kuua bakteria

Ni nini husababisha PID?

PID inasababishwa na bakteria kutoka kwenye uke wako. Unapata bakteria hizi kwa kushiriki ngono na mtu ambaye ana STI. Kwa kawaida, STI ni kisonono au klamidia. Wakati mwingine mshiriki wako hana dalili zozote lakini bado anaweza kuwa na STI.

Dalili za PID ni zipi?

Dalili za mapema za PID

Maumivu katika sehemu ya chini ya tumbo, ambayo yanaweza kuwa mabaya zaidi katika upande mmoja kuliko mwingine

Kuvuja damu ukeni ambao si sehemu ya hedhi yako ya kila mwezi

Vitu kutoka ukeni, ambavyo vinaweza kutoa harufu mbaya

Dalili za PID ni zipi?

Dalili za mapema za PID

Maumivu katika sehemu ya chini ya tumbo, ambayo yanaweza kuwa mabaya zaidi katika upande mmoja kuliko mwingine

Kuvuja damu ukeni ambao si sehemu ya hedhi yako ya kila mwezi

Vitu kutoka ukeni, ambavyo vinaweza kutoa harufu mbaya

Dalili za baadaye za PID

Maumivu makali sana katika sehemu ya chini ya tumbo

Homa (kwa kawaida huwa chini ya 102° F [38.9° C] lakini inaweza kuongezeka zaidi)

Kuhisi mgonjwa kwenye tumbo lako au kutapika

Vitu kutoka ukeni ambavyo ni vya rangi ya manjano-kijani au vinavyokaa usaha

Uchungu wakati wa ngono au wakati wa kukojoa (kutoa mkojo)

Dalili ambazo hutokea kuelekea mwisho wa hedhi yako ya kila mwezi au katika siku chache baada ya hedhi yako kuisha zinaashiria uwepo wa PID. PID inaweza kuwa kali lakini isababishe dalili kiasi au kutokuwa na dalili.

19/11/2024

Ugonjwa Wa P.I.D Ni Nini?

Ugonjwa wa Pelvic Inflamatory (PID) ni maambukizi makali kwenye uterasi, mirija ya uzazi na/au kwenye ovari.

Hali hii Inathiri wanawake wengi sana kutokana na hali mbalimbali.

PID hutokea pale aina fulani za bakteria wanapo sambaa kutoka kwenye uke hadi kwenye viungo vyako vya uzazi.

Bakteria pia wanaweza kutoka kwa magonjwa ya zinaa ambayo hayajatibiwa vizuri (STIs). Hivyo tunasema STIs ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID.

Hata hivyo, bakteria wanaopatikana kwenye uke wako pia baadhi wanaoweza kusababisha ugonjwa wa PID.

Zingatia kuwa Unapokuwa na PID, unaweza kuhisi maumivu kwenye tumbo la chini (tumbo) au pelvis (nyonga).

Unaweza pia kuwa na uchafu usio wa kawaida (Ukivuja) kutoka ukeni kwako.

PID kali inaweza kusababisha uharibifu wa kudumu kwenye viungo vyako vya uzazi na kukuzuia usipate ujauzito sasa ama baadae.

Fibroid ni uvimbe wa tishu za misuli ndani ya mfuko wa uzazi wa mwanamke. Sababu za kutokea kwa Fibroid bado hazijaelewe...
19/11/2024

Fibroid ni uvimbe wa tishu za misuli ndani ya mfuko wa uzazi wa mwanamke. Sababu za kutokea kwa Fibroid bado hazijaeleweka kabisa, lakini zinaweza kuhusishwa na mambo k**a jenetiki, mabadiliko ya homoni, na lishe. Madhara ya fibroid yanaweza kuwa:

1. Maumivu ya tumbo chini.
2. Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi.
3. Kuharibika kwa mfumo wa uzazi na kusababisha ugumba.
4. Kupata mimba katika sehemu zisizo sahihi.
5. Kuvimba kwa tumbo.
6. Matatizo wakati wa kujifungua.

Ni muhimu kushauriaana ikiwa una wasiwasi kuhusu fibroid au una dalili zake ili kujadili chaguzi za matibabu au usimamizi wa hali hiyo karibu

Ugonjwa P.I.D Dalili | Sababu | Tiba ZakeNdani Ya Utajifunza:Ugonjwa P.I.D Dalili | sababu | tiba zakeUgonjwa wa P.I.D n...
19/11/2024

Ugonjwa P.I.D Dalili | Sababu | Tiba Zake

Ndani Ya Utajifunza:

Ugonjwa P.I.D Dalili | sababu | tiba zake

Ugonjwa wa P.I.D ni nini?

Je unapataje PID?

Dalili za P.I.D na Sababu Zake.

Ni nini husababisha ugonjwa wa maambukizi kwenye kizazi (PID)?

Watu walio kwenye hatari zaidi ya kupata P.I.D

Je, kuna matatizo na changamoto ya PID?

Maumivu ya Sugu (muda mrefu) ya nyonga:

Mimba kutunga nje ya kizazi. (Ectopic pregnancy)

Ugumba (Infertility and sterility):

Jipu katika mirija ya uzazi(Tubo-ovarian abscess-TOA):

K**a unasumbuliwa na changamoto ya PID kwa mda mrefu na umejaribu kutafuta suluhisho kwa mda mrefu bila mafanikioSasa ni...
19/11/2024

K**a unasumbuliwa na changamoto ya PID kwa mda mrefu na umejaribu kutafuta suluhisho kwa mda mrefu bila mafanikio

Sasa ni zamu yako kuweza kupona PID kabisa

Hizi ni dalili zinazo kua una PID ni k**a-;
* Kutokwa na uchafu ukeni

* Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi

* Uke kua mkavu na kukosa raha ya tendo la ndoa

* Maumivu wakati wa tendo

* Maumivu ya nyonga kiuno na mgongo

Na haya ni madhara ya kua na PID

* Kutoshika ujauzito

* Mimba kuharibika mara kwa mara

* Mirija ya uzazi kuziba

*Kupata saratani ya shingo ya kizazi

* Kupata mvurugiko wa hormone

Lakin pia ninatoa suluhisho la huhakika kwa Changamoto k**a
_ miwasho sehemu za siri

_ uvimbe kwenye kizazi

_ UTI sugu na miwasho

_ fangasi sugu

_ kukosa hedhi kabisa au kupata hedhi ya mabonge

_ kua na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

_ kushika kurudia tendo
_ Karibu tukupatie huduma bora zaidi

_Contact. +255719617355

Address

Mwanza

Opening Hours

09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jrc health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share