Adhi Wellness Clinic

Adhi Wellness Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Adhi Wellness Clinic, Medical and health, Mwanza.

Naelewa ni kwa namna gani unakosa raha kwa sababu afya yako ya uzazi haijakaa sawa. Najua wengi wanakuhukumu kwa sababu ...
08/04/2025

Naelewa ni kwa namna gani unakosa raha kwa sababu afya yako ya uzazi haijakaa sawa.

Najua wengi wanakuhukumu kwa sababu ya mtindo wa maisha uliyoishi hapo nyuma yaliyopelekea wewe kuwa hivi ulivyo sasa.

Huenda wewe ni muhanga wa vidonge na njia za uzazi wa mpango wa kisasa. Mwili umeharibika, homoni haziko sawa tena. Imefikia hatua sasa unataka mtoto ila hupati😔😔. Naelewa mume wako na mawifi wanavyokutizama. Hao hao waliokushauri utumie ndio hao hao leo wanakusema huzai.

Naelewa pengine unakosa hata wa kuzungumza naye ukamueleza machungu uliyonayo moyoni na karaha unayopitia kwa sababu ya:

🔺Kutokwa na uchafu mzito na majimaji yenye harufu sehemu za siri.
🔺Maumivu ya tumbo hasa wakati wa kujamiiana.
🔺Hedhi yako kuvurugika au kukosa hedhi kabisa.
🔺Uvimbe kwenye kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.
🔺Miwasho mikali sehemu za siri.
🔺P.I.D.
🔺Ukavu wa uke unaopelekea maumivu wakati wa kujaamiiana na kukufanya kukosa gamu ya tendo maana kila ukiliwaza unaona maumivu tu hadi hamu inapotea kabisa.
🔺Lakini kubwa kuliko: KUSHINDWA KUSHIKA MIMBA! KUKOSA WATOTO!

Wazungu husema “ AFTER A STORM THERE COMES CALM”, kwamba kuna tumaini baada ya mateso.

Najua utasema “ aahhh, mimi nimeshatumia dawa nyingi, sijapona wala mwili kuwa sawa”. Kwanza pole, pili upo sahihi kabisa kwa sababu hujatumia tiba na ushauri kutoka ADHI HERBS! Kiboko ya matatizo yako yote!!!

Tumaini lipo! Na lipo hapa!

Wengi waliokuwa na wasiwasi na hofu ya kutapeliwa walivyofika mikononi mwangu changamoto zao za UZAZI( kwa mwanamke na mwanaume), BAWASIRI NA VIDONDA VYA TUMBO ziliisha kabisa. Hawakuruhusu hofu iwanyime raha ya maisha, hawakukubali kuendelea kupoteza pesa na muda. Walichagua kuwa na afya njema, walichagua ADHI HERBS.

Gusa link hii https://chat.whatsapp.com/CfZuSptTyIQ4dDryOM9Nf1 uje ujionee mwenyewe!! Utakuja ujiulize mwenyewe “hivi nilikuwa wapi siku zote hizi nimehangaika huko kumbe uhakika ulikuwa hapa jamani”.

Je, unakabiliwa na tatizo la PID? Furaha yako inaweza kurejea! PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni tatizo linalowasumbu...
12/01/2025

Je, unakabiliwa na tatizo la PID? Furaha yako inaweza kurejea!

PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi lakini mara nyingi linaachwa bila suluhisho. Tatizo hili linaweza kuathiri mfumo wako wa uzazi, kukuletea maumivu ya mara kwa mara, na hata kuharibu ndoto yako ya kuwa mama siku moja.

👉 Hali hii inaweza kuathiri maisha yako ya kila siku:

Kukosa kujiamini mbele ya watu.
Maumivu ya mara kwa mara yanayokufanya uhisi huna nguvu.
Hofu ya kutopata watoto siku za usoni.
Kukosa amani na furaha ya kweli ya maisha.

Habari njema ni kwamba kuna tumaini😊. Hadi kufikia hatua ya kusoma tangazo hili, ni wazi kuwa tayari umeanza safari ya kuelekea kwenye suluhisho. Hakuna tatizo lisiloweza kutatuliwa, na hapa ndipo mahali sahihi pa kuanza kurejesha afya yako na furaha yako!

Tunayo suluhisho la tatizo lako.
Tunashirikiana nawe kwa faragha, kukusikiliza, na kuhakikisha unapona kabisa. Hakuna haja ya kuishi na wasiwasi au maumivu tena!

Piga simu sasa: 0741679037

Bonyeza hapa kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/CfZuSptTyIQ4dDryOM9Nf1

Usikubali PID ikunyime furaha yako! Pamoja tutashinda na kurejesha afya yako.

Habari! Je, wajua kwa asilimia zaidi ya 80 unaweza kuwa mgumba ukiwa na tatizo la PID? Usijali, tuko hapa kukusaidia!Jiu...
08/10/2024

Habari! Je, wajua kwa asilimia zaidi ya 80 unaweza kuwa mgumba ukiwa na tatizo la PID? Usijali, tuko hapa kukusaidia!

Jiunge na group letu kwa ushauri wa kitaalamu juu ya tatizo la PID. Hapa utapata elimu, suluhisho la kuduma kabisa na afya yako ya uzazi itarejea k**a mwanzo.

K**a:
1. Mzunguko wako wa hedhi unavurugika au kukosa hedhi kabisa.
2. ⁠ Una maumivu makali sana chini ya tumbo na mgongo.
3. ⁠Una uvimbe kwenye kizazi.
4. ⁠Una mirija iliyoziba.
5. ⁠Unakosa hamu ya tendo la ndoa.
6. ⁠Hushiki ujauzito au ukishika unatoka.

Basi k**a una changamoto tajwa hapo juu au unamfahamu ndugu ama rafiki mwenye changamoto hizo usisite kujiunga na programu hii makini sana itakayobadilisha maisha yako.
Fursa hii ni adhimu sana, na kwa kweli waliojiunga na programu hii wanabaki wakimshukuru Mungu hadi kesho.

Kujiunga na familia hii ya washindi bonyeza link hii https://chat.whatsapp.com/CfZuSptTyIQ4dDryOM9Nf1

Karibu tujifunze pamoja.

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Adhi Wellness Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share