12/03/2026
Dalili 5 za presha ya kupanda:
✔ Maumivu ya kichwa
✔ Kizunguzungu
✔ Mapigo ya moyo kwenda kasi
✔ Uchovu mwingi
✔ Macho kuona ukungu
Ukiona dalili hizi usipuuzie.
📞 Pata tiba na ushauri kutoka kwa Dr. Jimmy sasa.