03/02/2022
SLEEP PARALYSIS ( JINAMIZI)
Dunia mzima kumekuwepo na ugonjwa amo watu toka mataifa mbali mbali wameuhusisha na Imani za kishirikiana kutoka a na mahali usika uku kwetu wakiita ni JINAMIZI.
NINI UGONJWA HUU?
Hii ni hali ambayo k**a si wewe basi watu wa karibu yako imewai kuwapata mtu anakawa usingizini ghafla anafungua macho na kukuta mwili mzito na k**a anakawa na jini au wachawi. Usiogope leo utapata majibu
NINI UTOKEA?
Katika usingizi upitia hatua kuu mbili
1.Rapid eye movement
2.Non rapid eye movement
Kutoka hatua ya kwanza utumia dakika90 kuingia hatua ya pili ambayo ujulisha asilimia75 ya usingizi mzima
Hatua ya kwanza uhusika na ufumbaji wa macho na macho kuacha kucheza
Na hatua ya pili ubongo uzalisha kemikali ambayo ufanya kazi ya kurelax kwa viungo ili usije ukafanya yale unayo yaota mfano kutembea, kukimbia , kuongea nk
FAIDA ZA KEMIKALI HII
Usaidia ukuaji kwa watoto na vijana wa umri wa kubalee
TATIZO UJA WAPI?
Mtu anapokua ameingia hatua ya pili kemikali iko kwenye viungo ghafla akafungua macho kunakua na mwingiliano wa taarifa kemikali imesimamisha viungo ili kupunguza kiasi cha oxygen na kutotenda matendo ya ndotoni alafu ukaamuka ndo mtu anahisi kukabwa au kukandamizwa
Hali hii uambatana na HALUCINATION (visual& audible) kuona vitu visivyo kua Hali au kusikia sauti ambayo si halisi.
SABABU AU VISABISHI
1. Kubadili badili muda wa kula mfano watu wanao fanya shift za usiku mfano wauguzi,walinzi ,wanafunzi nk
2. Kulala chali
3.stress/ msongo wa mawazo
4.wasiwasi
5. Matumizi ya vinywaji bye kemikali aina ya caffeine mfano energy wakati wa usiku
NINI KIFANYIKE KUEPUKANA NA HALI HII?
1.Kupanga na kufuata ratiba kamili ya kulala sio kisa siku ya mapumziko unalala zaidi na kutotumia kitanda kwa kazi nyingine mfano kuchat na kuwatch movie
2.Kupunguza stress kwa kuwaona wataalam wa psychology
3.kutokulala chali
4. Epuka matumizi ya vinywaji venye kemikali usiku