Lugarawa Health Training Institute

Lugarawa Health Training Institute Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lugarawa Health Training Institute, Medical and health, P. O Box 380, Njombe.

Heri ya Siku ya Wanawake/Wamama Duniani kwa wafanyakazi wote wamama wa LUHETI. Taasisi inatambua na kuthamini mchango we...
10/05/2026

Heri ya Siku ya Wanawake/Wamama Duniani kwa wafanyakazi wote wamama wa LUHETI. Taasisi inatambua na kuthamini mchango wenu mkubwa katika familia, jamii, na taasisi kwa ujumla katika kuleta ustawi wa taifa, hususan katika sekta ya afya na maadili.

Tunawapongeza kwa juhudi, upendo, uvumilivu, na kujitoa kwenu kila siku katika kuwalea, kuelimisha, na kuhudumia jamii. Mungu awabariki na kuwaongezea afya, hekima, na mafanikio katika majukumu yenu yote.

Tunawatakia akina mama wote duniani Heri ya Siku ya Mama Duniani. Tunatambua mchango wenu mkubwa katika familia, jamii, ...
10/05/2026

Tunawatakia akina mama wote duniani Heri ya Siku ya Mama Duniani. Tunatambua mchango wenu mkubwa katika familia, jamii, na taifa kwa ujumla. Upendo, uvumilivu, na malezi yenu ni msingi wa maisha na maendeleo yetu. Mungu awabariki na kuwaongezea afya njema, furaha, na mafanikio katika kila hatua ya maisha yenu.

Jumatano, tarehe 6 Aprili 2026, kulikuwa na ufunguzi wa tamasha la michezo la Luheti Bonanza 2026. Mashindano haya yatae...
07/05/2026

Jumatano, tarehe 6 Aprili 2026, kulikuwa na ufunguzi wa tamasha la michezo la Luheti Bonanza 2026. Mashindano haya yataendelea hadi mwisho wa wiki hii. Wananchi wote pamoja na wanafunzi mnaalikwa kushiriki na kujumuika katika tamasha hilo.

Taasisi ya mafunzo ya Afya Lugarawa inakutakia Heri ya sikukuu ya kimataifa ya Wafanyakazi🎉
30/04/2026

Taasisi ya mafunzo ya Afya Lugarawa inakutakia Heri ya sikukuu ya kimataifa ya Wafanyakazi🎉

Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa–Luheti inapenda kuwajulisha Watanzania wote kwamba dirisha la udahili kwa wanafunzi ...
29/04/2026

Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa–Luheti inapenda kuwajulisha Watanzania wote kwamba dirisha la udahili kwa wanafunzi wanaotaka kuhamia chuoni kwetu sasa limefunguliwa rasmi.

heri ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar🇹🇿✨🎉
26/04/2026

heri ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar🇹🇿✨🎉

heri ya Wiki ya Maabara Duniani
23/04/2026

heri ya Wiki ya Maabara Duniani

Leo, Alhamisi tarehe 23 Aprili 2026, Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa–Luheti imefanya kikao cha Baraza la Shule kilic...
23/04/2026

Leo, Alhamisi tarehe 23 Aprili 2026, Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa–Luheti imefanya kikao cha Baraza la Shule kilichowakutanisha wanafunzi, walimu wote pamoja na uongozi wa shule kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili wanafunzi na kutafuta ufumbuzi wake.

21/04/2026
Udahili wa kozi ya Uuguzi na Ukunga umefunguliwa rasmi hapa Luheti. K**a una ndoto ya kuwa mtaalamu wa afya na kuhudumia...
16/04/2026

Udahili wa kozi ya Uuguzi na Ukunga umefunguliwa rasmi hapa Luheti. K**a una ndoto ya kuwa mtaalamu wa afya na kuhudumia jamii, huu ndio muda wa kuchukua hatua.

Usikose nafasi hii ya kujenga mustakabali wako—jiunge nasi sasa na anza safari yako ya mafanikio katika sekta ya afya.

Jiandikishe mapema kabla nafasi hazijaisha!

Address

P. O Box 380
Njombe
389

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugarawa Health Training Institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share