Babuafya

Babuafya Wateja

17/06/2023

🔶️KARIBU KATIKA KARAMA NA TIBA ZA BABU CHAYA

✨️KUSAFISHA NYOTA *
✨️MVUTO WA BIASHARA. KAZI NA KUPANDISHWA CHEO,
✨️MVUTO WA MAPENZI NA KUMRUDISHA mpenzi/mke /mme aliyekuacha NDANI YA SIKU 3,
✨️TAMBIKO LA KUKOMESHA DHULUMA NA KURUDISHA MALI ULIYOIBIWA,

✨️PETE YA BAHATI YENYE NGUVU YA KUMILIKI MALI ZA MAJINI ,

KARIBU MPIGIE BABU CHAYA NO: 0743 25 37 57 AU WHASAP +255 743 253 757.

MIUJIZA YA BABU  CHAYA   ( TIBA ASILIA)   🌍 KUSAFISHA  NYOTA  $ PETE YA BAHATI  & UTAJIRI WA MAJINI,     🌍  KUPANDISHWA ...
26/02/2023

MIUJIZA YA BABU CHAYA ( TIBA ASILIA)

🌍 KUSAFISHA NYOTA $ PETE YA BAHATI & UTAJIRI WA MAJINI,
🌍 KUPANDISHWA CHEO

🌍 MVUTO WA KUUZA MALI HARAKA .NYUMBA .
VIWANJA . CAR. N.K.
🌍BAHATI YA KUSHINDA BETTI

🌍 NGUVU ZA KIUME
🌍UZAZI MAUMIVU YA HEDHI

call 0743 25 37 57 AU WHATSAPP .+255 743 253 757 utasaidiwa popote ulipo

26/02/2023
31/01/2023
💔 HUBA LILOZIMWA NA TAMAA (part2)remember siku hiyo asubuhi nilipiga simu haikupokelewa siyo kawaida but nikafikil labda...
31/01/2023

💔 HUBA LILOZIMWA NA TAMAA (part2)
remember siku hiyo asubuhi nilipiga simu haikupokelewa siyo kawaida but nikafikil labda atakuwa mbali na simu au hajaisikia nikatuma ujumbe wa salam nikaendelea na mishe zangu za kila siku, mchana  akatuma sms ya  salam na sms nyingine inauliza flani ni nani yako? sikujibu kwa muda huo badae jion  nikampigia simu haikupokelewa . nikatuma sms what happened. jibu ilitumwa namba na swali mwenye namba hii nani yako? bhana wee kuizoom no ilikuwa ya kivulege, dah nikajua tu mambo yamesha vulugwa. Nikajikoki kuomba msamaha
tuma sms za kujitetea nikapiga simu kusoudisha nikasamehewa kwa mashariti nafuu ya kua mwaminifu, nikapromise kufanya hivyo, but nikawa na swali namba  ya kivulege ameipataje kumbe kivulege alichukua no ya bibie kwenye simu yangu akampigia na kujitambulia kua yeye ni mchumba wangu nilipojua  ndo ikawa mwisho wa kudet na  kivulege "forwardstory.   life ikasonga mahaba ndindi, akanitambulisha baadhi ya marafiki zake akawa anakuja maghetto  plan za mke na mme zikawa 90%  siku bibie akanipa tarifa za kwenda kusoma college dom,  but tarifa nilikua nazo toka long ila alifanya k**a kunikumbusha kua siku fulani anaenda, basi siku ikafika bibie akaenda college, penzi likawa la mbali, linaitaji subra na uvumilivu kidume mie sikuwa na hiyo subra, damu inachemka kila time akili inawaza mambo, nikatafuta pakupozea injini, bint fulani hivi jampo nilikuwa sina love naye ila 6kwa6 alikuwa mtundu, lakini mawazo yote yalikuwa kwa future wife siku zikapita k**a 2month hivi mshangao chautundu, anasema yuko na mimba yang, uwiiii akili ilikufa ngazi dakika kadhaa . aisee inakuaje unashika ujauzito kifala fala, basi nikajitaidi kuficha siri ili bibie asijue,  Aisee waliyoimba halifichi pembe la ng'ombe nikweli bhana sjui nani alizifikisha tarifa kwa future wife, k**a kawaida  mida ya night lazima tuwasiliane tupige story  nikampigia akapokea  saut yake ilionyoshe yuko na jambo, nilikua napenda kumtania nikaaza kumtania lakini wapi,
INAENDELEA next post

💔 HUBA LILOZIMWA NA TAMAA (part1)wahenga walisema, ujana maji ya moto, vua uyaoge.ilikua weekend mitaa ya ununio hawaii ...
31/01/2023

💔 HUBA LILOZIMWA NA TAMAA (part1)

wahenga walisema, ujana maji ya moto, vua uyaoge.
ilikua weekend mitaa ya ununio hawaii beach, nimekaa napata oksijeni ya Allah  na drink water pembeni, mara papu akatokea mrembo flani amevaa vizuri, mwonekano wake tu unalipua moyo, lips 💋 inavutia k**a milima ya moro. rangi udongo wa makkah,DNA ya mtume🤣  hana makuu, akanipa hai 👊 nikapokea 👊. akaketi sehemu haikuwa mbali sana na nilipokaa mie, sikutaka kwenda tofaut na mila za kiume ukiona jimbo linafaa lifukuzie, nikamuomba k**a hatojali nijumuike alipokaa  , mrembo hakua mbishi akajibu hakuna shida ,  mpaka hapo nikajiona nipo na 60% ya  kumiliki jimbo , kidume nikajikoki time ya kumwanga sera. nikajitambulisha jina langu, akajibu nice name  na yeye akajitambulisha,   jina lake lilikua linafanana na mtu fulani  mashughuli hivyo nikamumwangia sifa za kutosha kwa kumfananisha na wajina wake, mrembo akafurahi, story zikaendelea mwisho tukabadilishana namba,siku ikaisha hivyo.
mawasiliano ya simu yakaendelea bila kuonana kutokana na ufinyu wa muda upande wake na mimi sikuonyesha uharaka au ulazima wa kuonana, nilifata anavyotaka yeye, niliishi philosophy ya mvumilivu hula mbivu. siku kadhaa zikapita, hatimae siku ikafika ya kumeet vacation ilikua bahari Beach Hotel. i remember mi ndo nilipendekeza tukutane pande hizo because ni sehemu tulivu pia yeye alikua anaishi mbweni, mie nilikua naishi JKT kunduchi, hivyo kukwepa visokolokwinyo nikaona bahari Beach Hotel ni  the better, ilikuwa  happyday,  mrembo alifunguka mambo mengi uongo na ukweli, nikayapokea na kuahidi amani na mafanikio maishani mwake, mahaba juu ya mahaba na mtoto wa kipale mix msambaa aliteka sana brain yangu tena kwa muda mfupi kuliko . I hope mwanaume aliyenaye now anainjoy sana.  basi bhana kabla sjawa na bibie nilikua na kivulege flani king'ang'anizi ila ukweli  nilikua sikipendi, ajabu nilikua na det nacho sjui ilikuwa uchawi voice manara 🤣 anyway penzi likakolea kiasi haiwezi pita week bila kuonana na ilikua desturi  kuwasiliana asubuhi na jioni kila siku. you know penzi jipya inavyokuanga,  morn na mida ya usiku stor k**a zote, remember siku hiyo asubuhi nilipiga simu haikupokelewa siyo kawaida 🙄

15/01/2023

BABU CHAYA ( TIBA ASILIA)

🌍 NGUVU ZA KIUME

🌍UZAZI MAUMIVU YA HEDHI

🌍KISUKARI* PRESSURE* HEART ATTACK. BAWASILI.

🌍 KUSAFISHA NYOTA $ PETE YA BAHATI

🌍 KUPANDISHWA CHEO

🌍 KUUZA MALI HARAKA .NYUMBA . VIWANJA . CAR. N.K.

🌍KINGA YA MWILI NA ZINDIKO LA .NYUMBA NA MASHAMBA.

call 0743 25 37 57 AU WHATSAPP +255 743 253 757 utasaidiwa popote ulipo
kumbuka mamuzi sahihi ni faida ya maisha yako yote.

BABU  CHAYA   ( TIBA ASILIA) 🌍 NGUVU ZA KIUME🌍UZAZI MAUMIVU YA HEDHI  🌍KISUKARI*  PRESSURE*  HEART ATTACK.   BAWASILI.  ...
18/09/2022

BABU CHAYA ( TIBA ASILIA)

🌍 NGUVU ZA KIUME

🌍UZAZI MAUMIVU YA HEDHI

🌍KISUKARI* PRESSURE* HEART ATTACK. BAWASILI.

🌍 KUSAFISHA NYOTA $ PETE YA BAHATI

🌍 KUPANDISHWA CHEO

🌍 KUUZA MALI HARAKA .NYUMBA . VIWANJA . CAR. N.K.

🌍KINGA YA MWILI NA ZINDIKO LA .NYUMBA NA MASHAMBA.

call 0743 25 37 57 AU WHATSAPP +255 743 253 757 utasaidiwa popote ulipo

JUA UGONJWA WA KISUKARI,CHAZO CHAKE,DALILI NA TIBA Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu...
25/07/2022

JUA UGONJWA WA KISUKARI,CHAZO CHAKE,DALILI NA TIBA

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni k**a ya moyo na mishipa ya damu, figo, saratani, kifua sugu, kisukari, magonjwa ya akili na mengine ya kurithi k**a vile ugonjwa wa selimundu (Sickle Cell Disease).

Ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ya 2013, inadai magonjwa yasiyo ya kuambukiza ndio chanzo kikubwa cha vifo ulimwenguni, yakifanya asilimia 63 ya vifo vyote kwa mwaka. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza huua watu zaidi ya milioni 36 kila mwaka. Asilimia 80 ya vifo vinasababishwa na magonjwa hayo hutokea nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi hizo. Inakisiwa kuwa mwaka 2022 magonjwa haya yasiyo ya kuambukiza yatasababisha asilimia 73 ya vifo vyote duniani na asilimia 60 ya ukubwa wa tatizo la magonjwa duniani.

Nchini Tanzania, katika mpango wa upimaji wa afya kwa magonjwa yasiyoambukiza jijini Dar es Salaam, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwa idadi kubwa ya wanaume wanapatwa na magonjwa hayo kuliko wanawake. Uchambuzi huo umeonyesha magonjwa yasiyoambukiza k**a kisukari, shinikizo la damu na saratani zote ambazo zimekuwa chanzo cha vifo hivyo, huku serikali ikisema imeamua kuongeza juhudi za makusudi kupambana nayo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mfuko wa Bima ya Afya, athari ya magonjwa yasiyoambukiza ni mara nne zaidi ya watu waliopo mijini kuliko vijijini, huku asilimia 12.8 ya wanaougua wakiwa wako mijini na asilimia 3.1 wako vijijini kutokana na mfumo wa maisha.

Uchunguzi mwingine uliofanywa na jopo la madaktari bingwa kuanzia mwaka 2011 hadi 2014 ulibaini asilimia 79 ya watanzania wazee waligundulika kuugua magonjwa ya kisukari, macho na shinikizo la damu. Pia walidai magonjwa hayo yamekuwa kikwazo cha maendeleo kutokana na kuwasumbua wazee na hata wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50.

Kisukari ikiwa ni moja ya muuaji wa kimya kimya katika kundi hili la magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Watu milioni 285 duniani kote wameathiriwa na kisukari ambayo ni sawa na asilimia 6.6 ya idadi ya watu wote ulimwenguni pia ikishika nafasi ya 5 kwa kusababisha vifo duniani.

Nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya watu wenye kisukari ni China wagonjwa milioni 43.2, India wagonjwa milioni 40.9, Marekani wagonjwa milioni 25.8, Urusi wagonjwa milioni 9.6 na Brazil wagonjwa milioni 6. Nchi zenye idadi kubwa ya watu wazima wenye kisukari ni Nauru kwa asilimia 30, Bahrain kwa asilimia 25.5, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa asilimia 25, Saudi Arabia kwa asilimia 23.7 na Mauritius kwa asilimia 20.

KISUKARI NI NINI HASWA?

Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya chembe hizo inahitaji insulini. Insulini ni kemikali (Homoni) ambayo hutokezwa na kongosho (Pancrease).

Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.

Ugonjwa wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.

TAKWIMU MBALIMBALI ZA UGONJWA WA KISUKARI

Kulingana na ripoti mbalimbali karibu watu milioni 316 ulimwenguni pote wana kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu, ingawa wengi wao hawajui wana kiwango hicho. Kwa mfano, nchini Marekani pekee asilimia 90 ya watu wenye sukari nyingi kwenye damu hawatambui k**a wana tatizo hilo. Ingawa asilimia 8.3 ya watu watu wa Marekani wana Kisukari ambayo ni sawa na watu milioni 25.8 na kufanya Kisukari cha 7 kusababisha vifo vya watu Marekani.

Mamilioni ya watu wana ugonjwa huo lakini hawana habari! Ni ngumu zaidi kutibu ugonjwa wa kisukari kwa kuwa mtu anaweza kuishi nao kwa muda mrefu kabla haujagunduliwa. Hiyo ndiyo sababu watu husema kwamba ugonjwa huo huua kimyakimya.

NINI CHANZO HASA CHA KISUKARI?

Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu. Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea. Moja ni sukari inayoitwa glucosi ambayo ni chanzo cha nishati/nguvu mwilini huingia katika damu. Tukio la pili ni kiungo kinachoitwa kongosho (Pancrease) kutengeneza kichocheo cha insulini. Kazi ya insulini ni kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika k**a nishati.

Watu wenye kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu. Hii ni kutokana na moja ya sababu zifuatazo, huenda kongosho zao haziwezi kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili wao haziathiriwi na insini k**a inavyotakiwa au sababu zote hizo mbili.

K**a wewe ni mnene kupita kiasi, hufanyi mazoezi kwa ukawaida au una watu wa ukoo walio na kisukari, huenda tayari una kiwango cha juu cha sukari kwenye damu. Ongezeko la sukari kwenye damu mbali na kuwa kisababishi cha kisukari, hali hiyo inahusianishwa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa akili uitwao 'DEMENTIA'.

Kula sukari nyingi sio sababu ya ugonjwa wa kisukari. Lakini lazima tuseme kwamba kula sukari nyingi si nzuri kwa afya yako kwani utaongeza uzito wa kuweza kuathiri uwezo wa mwili wako kujikinga na maradhi tofauti. Ugonjwa wa kisukari umeitwa kwa kufaa "ugonjwa unaoathiri kiini cha nishati ya mwili". Mwili unaposhindwa kutumia glukosi, mifumo mbalimbali ya mwili inaweza kuacha kufanya kazi au hata kusababisha kifo.

Ugonjwa wa Kisukari kitaalamu hujulikana k**a 'DIABETES MELLITUS'. Jina 'Diabetes Mellitus' linatokana na neno la Kigiriki linalomaanisha 'kunyonya' na neno la Kilatini linalomaanisha 'tamu k**a asali'. Maneno hayo yanafafanua vizuri sana ugonjwa huo, kwani maji hupita mwilini mwa mtu aliye na ugonjwa wa kisukari kana kwamba yananyonywa na mdomo na kupitia kwenye njia ya mkojo kisha kutoka nje ya mwili. Isitoshe mkojo huwa na ladha tamu kwa kuwa una sukari. Ndiyo sababu kabla ya kuvumbua njia bora za kupima ugonjwa huo, mbinu moja ya kutambua k**a mtu ana ugonjwa wa kisukari ilikuwa kumwaga mkojo wa mgonjwa karibu na kichuguu cha sisimizi. Ikiwa sisimizi wangevutiwa na mkojo huo basi hilo lilimaanisha kwamba mkojo una sukari.

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?

Watu walio katika makundi yafuatayo wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kisukari:-

– Wenye uzito uliozidi,

– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao,

– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,

– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi,

– Wenye shinikizo la damu,

– Wenye msongo wa mawazo na

– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.

Watu hawa wanashauriwa kupima sukari yao kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.

Kuna hatari kubwa ya kuugua ugonjwa huo ikiwa mtu ana mafuta mengi katika tumbo na kiuno chake kuliko katika mapaja yake. Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.

Wavutaji wa sigara wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi kwani zoea hilo hudhuru moyo na mfumo wa mzunguko wa damu na kubana mishipa ya damu. Kitabu kimoja kinasema kwamba asilimia 95 ya watu wanaougua kisukari ambao hulazimika kukatwa viungo ni wavutaji wa sigara.

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI

~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.
~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana.
~ Wanawake kuwashwa ukeni.
~ Kutoona vizuri.
~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.
~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole.
~ Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.
~ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.
~ Majipu mwilini.

Wenye dalili hizi wanashauriwa kupima sukari ili kubaini k**a wana kisukari.

Dr.mabula
IG
Fb

twitter @ babuafya

Address

Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Babuafya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Babuafya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category