20/06/2023
TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA BULONGWA
INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2023/2024
KOZI ZA ZIFUATAZO
Utabibu wa afya kinywa na meno (Clinical Dentistry)
Afisa utabibu (Clinical Medicine)
Uuguzi na ukunga (Nursing and midwifery)
KOZI ZOTE NI DIPLOMA MIAKA MITATU.
Sifa za Muombaji.
Muombaji awe na ufaulu wa kuanzia alama D kwa masomo manne ikiwemeo,Biology,Chemistry,Physics na somo lolote isipokuwa somo la dini.
PIA ZIPO NAFASI KWA WANAOJIENDELEZA (UP-GRADING), KWA WANAFUNZI WA MAAFISA UTABIBU NA UUGUZI NA UKUNGA
KWA MAWASILIANO.
0756 506 425 0784 443 253 I 0687 001 502
Chuo kipo Bulongwa Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe au tembelea www.bhsi.ac.tz
NYOTE MNAKARIBISHWA