Dr.Miriam na Afya Bora

  • Home
  • Dr.Miriam na Afya Bora

Dr.Miriam na Afya Bora This page dealing with the education, advice,and treatment concerned about the different diseases.welcome my dear

FAIDA YA TUNDA LA CHUNGWA
17/06/2025

FAIDA YA TUNDA LA CHUNGWA

AFYA YA MTOTO WAKO+255759090112Je mtoto wapo anapata changamoto ya Kiafya na hujui suluhisho lake ni nini?Umeenda hospit...
15/06/2025

AFYA YA MTOTO WAKO
+255759090112
Je mtoto wapo anapata changamoto ya Kiafya na hujui suluhisho lake ni nini?

Umeenda hospital kwenda mara kwenda lakini Hali ya afya ya mtoto inazidi kuzorota basi usiangaike karibu nikupatie njia rahisi na tiba zitakazo Jenga afya ya mtoto na kuimarika tena zaidi.

mshauri +25575909011

15/06/2025

KWASHAKOO (UKOSEFU WA LISHE )KWA WATOTO.
hii ni Hali inayotokana na UKOSEFU WA chalula Cha kutosha au inayokana na ukosefu (upungufu)WA virutumisho LISHE katika Chakula anachokula mtoto.

Je wewe ni moja ya waoishii kwenye jamii zenye WATOTO wenye changamoto LISHE

Karibu wasiliana NAMI KWA namba+255759090112
tuweze kuwasaidia watoto wanaoishi na changamoto hii

CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MWANAMKE mwanamke unapaswa kutibu tatizo linalojitokeza kwenye mfumo wa uzazi mara tu baada ya K...
13/06/2025

CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MWANAMKE
mwanamke unapaswa kutibu tatizo linalojitokeza kwenye mfumo wa uzazi mara tu baada ya Kuna viashiria vya visivyo salama .
hii itakusaidia kuepukana na changamoto za magonjwa yatakayokupelekea uhitaji wa gharama kubwa
k**a vile
💓saratani
💓uvimbe

Wasiliana nami kwa namba+255759090122

LISHE YA CHAKULA (MTOTO)Jenga tabia ya kuandaa chakula chako bila kusahau mbogamboga na matumba mboga za majani na matun...
11/06/2025

LISHE YA CHAKULA (MTOTO)
Jenga tabia ya kuandaa chakula chako bila kusahau mbogamboga na matumba

mboga za majani na matunda yana faida kubwa sana katika mwili wa mwanadamu
kwanza zimesheheni vitamin na madini mengi .
FAIDA zake
💓huimarisha Kinga ya mwili
💓hukukinga na magonjwa mbalimbali
💓 huimarisha afya ya mifupa na viungo

endapo unapata changamoto ya afya kwa mtoto wako karibu nikusaidie
kwa KUPIGA namba +255759090112

25/05/2025

KATIKATI MAISHA YAKO
Jenga mazoea ya kutumia vyakula vya asili ili kitunza na kujenga afya yako
maana itakusaidia kuepuka
magonjwa mbalimbali k**a
kisukari,
shinikizo la damu,
pressure,
na
matatizo ya Figo na ini

unawez piga namba
+255759090112
kwa ushauri zaidi

19/05/2025

K**a mtu ana kisukari, ni muhimu kwao kuzingatia lishe bora ili kudumisha afya yao. Chakula wanachokula kinaweza kuathiri viwango vyao vya sukari kwenye damu. Hapa kuna orodha ya vyakula vinavyopendekezwa kwa watu wenye kisukari:

1. Mboga za majani k**a vile spinach, kale, na broccoli.
2. Matunda yenye kiwango cha sukari kilichodhibitiwa k**a vile berries (matunda ya rangi nyekundu), apples, na citrus fruits k**a machungwa na ndimu.
3. Nafaka nzima k**a vile quinoa, oatmeal, na brown rice.
4. Mboga za mizizi k**a karoti na viazi vitamu.
5. Protini zenye afya k**a samaki, kuku bila ngozi, tofu, na maharage.
6. Mbogamboga zisizo na wanga nyingi k**a zukini, nyanya, na pilipili.

Ni muhimu pia kuepuka au kupunguza ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi, na wanga wabunifu. Kuwa makini na vyakula vinavyoongeza viwango vya sukari haraka k**a vile vyakula vilivyosindikwa na vyenye sukari ya haraka (sukari tamu, vitafunio vyenye sukari, na vyakula vyenye unga mweupe). Hata hivyo, ni muhimu kufuata ushauri kutoka kwa daktari wako au mtaalamu wa lishe ili kupata mwongozo sahihi kulingana na mahitaji yako binafsi.
kwa mawasiliano zaidi
+255759090112

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)* "Fibroids ni nini?❇️❇️Fibroids ni uvimbe usio wa saratani ambao hujitokeza kwenye kuta...
12/05/2025

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)*

"Fibroids ni nini?

❇️❇️Fibroids ni uvimbe usio wa saratani ambao hujitokeza kwenye kuta za mfuko wa mimba,uitwao uterusi, uvimbe huu husababisha kubadilika kwa shape na size ya kizazi na pia dalili zingine mbaya. Wanawake wengi huanza kupata maumivu makali wakati wa hedhi kutokana na uwepo wa uvimbe kwenye kizazi(fibroids) .

*☑️☑️☑️Sababu hasa za kuota kwa fibroids katika viungo vya uzazi vya mwanamke bado hazieleweki vizuri ingawa inaamika kwamba kila uvimbe wa fibroid unatokana na seli ya msuli wa uterus ambayo imeamua kuwa na tabia ya tofauti na nyingine na ikaanza kukua kwa haraka ikichangiwa na uwepo wa homoni ya estrogen.
Wanawake wanaokaribia kufikia ukomo wa kupata siku zao za mwezi wanaonekana kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata fibroids kwa sababu ya kuwa wameishi na homoni ya estrogen kwa muda mrefu zaidi.*

*Fibroids sio kansa* ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huuwaga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.

*DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI
(FIBROIDS).*
♻️Kupata Hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidi.
♻️Hedhi nzito.
♻️Kujisikia umeshiba mda mwingi
♻️Maumivu ya nyonga.
♻️Kupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu.
♻️Kupata maumivu wakati watendo la ndoa.
♻️Maumivu chini ya mgongo na kwenye miguu.
♻️Madhara mablimbali ya uzazi k**a ugumba na mimba Kuharibika .

*AINA ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI - (FIBROIDS ).*

*Ukubwa, mahali ulipo uvimbe na pia idadi ya vimbe hizi inachangia zaidi kwenye uwepo wa dalili mbaya aatakazopata mwanamke.*

*Inawezekana kabisa kuwa na aina zaidi ya moja ya fibroid katika muda mmoja k**a zitatokea mahali tofauti tofauti kwenye uzazi wa mwanamke.*

*Aina kuu za uvimbe kwenye kizazi(fibroids) ni k**a zifuatazo*

*☑️☑️INTRAMURAL FIBROIDS* ; Hii ni aina marrufu zaidi na zinawatokea zaid wanakwake. Aina hii ya fibroid hukua na kumea kwenye misuli ya ukuta wa uterus. Kadiri zinavokua basi husababisha kupanuka au kuvutika kwa kizazi na kusababisha dalili k**a hedhi ya muda mrefu inayoambatana na maumivu ya nyonga.

*☑️☑️SUBSEROSAL FIBROIDS* : aina hii ya fibroids hukua nje ya ukuta wa mfuko wa mimba, wakati mwingine kuelekea kwenye kibofu cha mkojo. Aina hii ya fibroids huweza kusababisha maumivu ya chi ya mgongo kutokana na kwamba uvimbe huu unasukuma nerve za sipnal na kusababisha presha kubwa kwenye eneo la chini ya mgongo.

; FIBROIDS* aina hii ya fibroid hukua karibu na ukuta wa Uterus na inaweza kusababisha bleed ya muda mrefu na shida kwenye kushika ujauzito.

*☑️☑️CERVICAL FIBOIDS* : Hizi hukua kwenye tishu za mlango wa kizazi ambao huitwa Cervix , Hutokea mara chache sana ukilinganisha na aina zingine za fibroids.

*NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUPATA " FIBROIDS".*
Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;
❇️Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
❇️Ujauzito.
❇️Uzito/ unene kupita kiasi. wanawake wenye uzito mkubwa na kitambi wako kwenye hatari zaidi ya kupata fibroids .
❇️Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.
❇️Sumu na taka mbalimbali mwilini.
❇️Sababu za kurithi. k**a mama au dada yako aliwahi kuugua tatizo hili basi wewe pia utakuwa kwenye hatari zaidi ya kupata uvimbe huu.
❇️Umri. uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi kuanzia miaka 35 mpaka 40.
❇️Lishe: matumizi ya vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi huongeza hatari ya kupata kansa
Suluhisho
Tunatoa ushauri na tiba kwa wote na tiba yetu ni ya uhakika.

Mawasiliano
Piga 0759090112

K**a mtu ana kisukari, ni muhimu kwao kuzingatia lishe bora ili kudumisha afya yao. Chakula wanachokula kinaweza kuathir...
12/05/2025

K**a mtu ana kisukari, ni muhimu kwao kuzingatia lishe bora ili kudumisha afya yao. Chakula wanachokula kinaweza kuathiri viwango vyao vya sukari kwenye damu. Hapa kuna orodha ya vyakula vinavyopendekezwa kwa watu wenye kisukari:

1. Mboga za majani k**a vile spinach, kale, na broccoli.
2. Matunda yenye kiwango cha sukari kilichodhibitiwa k**a vile berries (matunda ya rangi nyekundu), apples, na citrus fruits k**a machungwa na ndimu.
3. Nafaka nzima k**a vile quinoa, oatmeal, na brown rice.
4. Mboga za mizizi k**a karoti na viazi vitamu.
5. Protini zenye afya k**a samaki, kuku bila ngozi, tofu, na maharage.
6. Mbogamboga zisizo na wanga nyingi k**a zukini, nyanya, na pilipili.

Ni muhimu pia kuepuka au kupunguza ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi, na wanga wabunifu. Kuwa makini na vyakula vinavyoongeza viwango vya sukari haraka k**a vile vyakula vilivyosindikwa na vyenye sukari ya haraka (sukari tamu, vitafunio vyenye sukari, na vyakula vyenye unga mweupe). Hata hivyo, ni muhimu kufuata ushauri kutoka kwa daktari wako au mtaalamu wa lishe ili kupata mwongozo sahihi kulingana na mahitaji yako binafsi.
Kwa mawasiliano zaidi
0759090112

09/10/2024
EPUKA MATUMIZI YA SUKARI ILI KULINDA FIGO YAKOJe wajua kisukari  hupelekea kufeli kwa figo? Karibu ufahamu ugonjwa wa ki...
02/08/2024

EPUKA MATUMIZI YA SUKARI
ILI KULINDA FIGO YAKO
Je wajua kisukari hupelekea kufeli kwa figo?
Karibu ufahamu ugonjwa wa kisukari sababu na tiba yake

+25583551869 & +255759090112

*FEMICARE KIPENZI CHA WANAWAKE*Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminikaUnasafishia ukeni usiku mara Moja  *KAZI ZAKE*👉Huti...
31/07/2024

*FEMICARE KIPENZI CHA WANAWAKE*

Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminika
Unasafishia ukeni usiku mara Moja

*KAZI ZAKE*
👉Hutibu UTI sugu
👉Hutibu Fangasi sugu
👉Inaondoa Miwasho ukeni
👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi
👉inakurinda usipate UTI na Fangasi
👉inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉inaongeza joto la uke
👉inabana Kuta za uke zilizo legea
👉inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉inarudisha ute ute ukeni
👉inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonde unameza

Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata karibu inbox
+255783551869 & +255718849847

Address


Telephone

+255718849847

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Miriam na Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Miriam na Afya Bora:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share