UMMU Mubaarak Foundation Izzadin No.1

UMMU Mubaarak Foundation Izzadin No.1 THE MAIN OBJECT/AIM OF THIS PAGE IS TO GETHER ALL YOUTHS OF ISLAM AND NON YOUTHS MUSLIM IN ALERTING THEM ABOUT THE TRUE DEEN OF ALLAH [ISLAM}

17/02/2020

That’s how anxiety makes you feel. Like you’re a bother. A waste of time. A nuisance.

02/09/2017
16/08/2017
INNAA LILLAAHI WA INNAA ILAYHI RAAJ3UNSHEIKH MKUU WA IZZADIN AMEPATWA NA MSIBA WA MDOGO WAKE BI FATMA ULIOTOKEA USIKU WA...
02/07/2017

INNAA LILLAAHI WA INNAA ILAYHI RAAJ3UN

SHEIKH MKUU WA IZZADIN AMEPATWA NA MSIBA WA MDOGO WAKE BI FATMA ULIOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO

MAZIKO YATAFANYIKA KESHO MSHUKO WA ALASIRI MAKABURI YA NJORO MOSHI

#1

ASSALAMU ALAYKUMTUNATARAJIA KUMSITIRI DADA YETU FATMA BAKARI (DA FETTY) KATIKA MAKABURI YA NJORO BAADA YA SWALA YA ALASI...
25/04/2017

ASSALAMU ALAYKUM

TUNATARAJIA KUMSITIRI DADA YETU FATMA BAKARI (DA FETTY) KATIKA MAKABURI YA NJORO BAADA YA SWALA YA ALASIRI
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE MLIPO

#1

INNAA LILLAHI WA INNAA ILAYH RAAJI3UNIZZADIN No. 1 INAYO HUZUNI KUBWA KWA KUONDOKEWA NA DADA WAO MADRASA AMBAYE PIA NI M...
25/04/2017

INNAA LILLAHI WA INNAA ILAYH RAAJI3UN
IZZADIN No. 1 INAYO HUZUNI KUBWA KWA KUONDOKEWA NA DADA WAO MADRASA AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KINA DADA NA MWANAFUNZI WA DARSA YA KINA DADA AU DADA FETTY LEO ALASIRI KATIKA HOSPITAL YA RUFAA YA KCMC
MAZIKO YATAFANYIKA KESHO KATI YA ADHUHURI AU ALASIRI NYUMBANI KWAO NJORO SOKONI

Moja ya vijana wanaolelewa na taasisi bw M***a Bashiri ametimiza wajibu wake kufikisha nusu ya Dini Allah amjaalie maish...
23/01/2017

Moja ya vijana wanaolelewa na taasisi bw M***a Bashiri ametimiza wajibu wake kufikisha nusu ya Dini Allah amjaalie maisha ya furaha yeye na mke wake

Alhamdulillah Kwa Uwezo wa Allah tumeshapaua Jengo letuHatua ya kuweka Milango na Madirisha ya Kisasa ndiyo inayofuatiaE...
18/12/2016

Alhamdulillah Kwa Uwezo wa Allah tumeshapaua Jengo letu

Hatua ya kuweka Milango na Madirisha ya Kisasa ndiyo inayofuatia

Elimu Bora Huambatana na Sehemu Bora na Mazingira Rafiki kutoa Kizazi Bora cha Kiislamu

Changia sasa ujenzi wa Madrasa Izzadin No. 1 kwa Malipo Mema kesho Akhera

Allah awalipe kila la khery wpte waliofanikisha jengo hili la madrasa kufkia hapa

Kwa Mawasiliano zaid:
0716649164-Msimamizi wa Ujenzi

10/11/2016
17/10/2016

May Allah keep him long for what he has in his chest

Haafidh Rajai of Tanzania

Innalilah wainailah rajiun... Islaah madrasa pamoja na UMF Izzadin no.1 tumepata msiba wa kijana wetu Mmanga jijini Dar ...
23/09/2016

Innalilah wainailah rajiun... Islaah madrasa pamoja na UMF Izzadin no.1 tumepata msiba wa kijana wetu Mmanga jijini Dar Es Salaam. Taarifa zaidi za mazishi tutajuzana In Shaa Allah

We developed our Logo to be............. Something good will com in shaa AllahMay Almighty Allah protect and lead us to ...
28/06/2016

We developed our Logo to be.............

Something good will com in shaa Allah

May Almighty Allah protect and lead us to success

Wanafunzi ktk darsa ya kina dada,izzaddini tawi namba 1,wakipokea swadaka ya tende
27/06/2016

Wanafunzi ktk darsa ya kina dada,izzaddini tawi namba 1,wakipokea swadaka ya tende

Address

Old Moshi
7889MOSHI

Telephone

+225716649164

Website

http://www.twitter.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UMMU Mubaarak Foundation Izzadin No.1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share