01/02/2025
UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
0717151601
NINI MAANA YA PID?
PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE) ni ugonjwa unaoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke, ikiwemo mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi, o***y, na sehemu za pelvis.
Ugonjwa huu hutokea pale ambapo BAKTERIA wanapovamia sehemu za uzazi, hasa baada ya maambukizi ya zinaa k**a vile GONORRHEA au CHLAMYDIA.
CHANZO CHA PID
1. Bakteria kutoka kwa maambukizi ya zinaa (STIs), k**a:
- Gonorrhea.
- Chlamydia.
2. Mazingira ya uzazi:
- Maambukizi yanaweza kuingia kwenye mfuko wa uzazi kupitia vijidudu vinavyotoka kwenye vaginal fluids.
- Upasuaji wa uzazi au (D&C) (Dilation and Curettage) unaweza pia kuruhusu bakteria kuingia kwenye sehemu hizi.
3. K**a wanawake wanatumia njia za uzazi wa mpango k**a (IUD) (Intrauterine Device), wana hatari ya kupata PID kutokana na maambukizi ya bakteria.
DALILI ZA PID
1.Maumivu ya tumbo au maumivu ya chini ya tumbo.
2. Mabadiliko ya ute wa kizazi (pamoja na kuwa na harufu mbaya).
3. Kutokwa na damu kati ya mzunguko wa hedhi au baada ya tendo la ndoa.
4. Homa.
5. Maumivu wakati wa kukojoa.
6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
7. Upungufu wa hamu ya kula.
8. Kichomi au uchovu.
MADHARA YA PID
1. Uzazi wa mtoto:
PID inahusishwa na kuongezeka kwa hatari ya kushindwa kushika ujauzito. Madhara haya yanatokea kutokana na BLOCKAGE kwenye mirija ya uzazi, ambapo mayai hayawezi kukutana na mbegu.
2. Ectopic pregnancy:
Hii ni hali ambapo ujauzito unapozalika kwenye mirija ya uzazi badala ya kwenye mfuko wa uzazi, na hii ni hatari sana kwa maisha ya mama.
3. Maambukizi sugu:
Ikiwa PID haitatibiwa, inaweza kusababisha maambukizi sugu ambayo yanaweza kudumu kwa muda mrefu na kusababisha madhara mengine kwa viungo vya uzazi.
4. Saratani ya kizazi:
Uvimbe wa seli za kizazi unaweza kutokea kutokana na maambukizi ya bakteria na hatimaye kuwa saratani.
5. Kupoteza uzazi
kwa msaada
nipigie simu 0717151601
ua nitafute whatsapp