Shinyanga Herbal Clinic

Shinyanga Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shinyanga Herbal Clinic, Medical and health, shinyanga, Shinyanga.

Mrejesho toka kwa mteja wetu aliyekuwa na tatizo la hormone imbalance
06/12/2024

Mrejesho toka kwa mteja wetu aliyekuwa na tatizo la hormone imbalance

Tazama ufanisi wa dawa zetu za kisukuma, mrejesho toka kwa mteja aliyekuwa na tatizo la nguvu
26/11/2024

Tazama ufanisi wa dawa zetu za kisukuma, mrejesho toka kwa mteja aliyekuwa na tatizo la nguvu

Tazama ukuu wa Mungu wetu wa Mbinguni
20/11/2024

Tazama ukuu wa Mungu wetu wa Mbinguni

Tazama Ukuu wa Mungu wetu wa Mbinguni,  Sifa na Utukufu vimrudie yeye siku zote
11/11/2024

Tazama Ukuu wa Mungu wetu wa Mbinguni, Sifa na Utukufu vimrudie yeye siku zote

USITESEKE MWANAMKE SOMA HAPADAWA YA P.I.D NA UVIMBEP.I.D (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi katika mfumo wa uza...
01/10/2024

USITESEKE MWANAMKE SOMA HAPA

DAWA YA P.I.D NA UVIMBE

P.I.D (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke

PID huenezwa na vimelea jamii ya Neisseria, Gonorrhea pamoja na Chlamydia.

MWANAMKE HUPATAJE P.I.D
*Japo kuna sababu nyingi zinazosababisha PID, lakini Mara nyingi mwanamke hupata PID baada ya kushiriki tendo bila kinga

DALILI ZA PID
*Kutoka uchafu sehemu za Siri k**a maziwa mgando, mara nyingi uchafu huu huambatana na harufu mbaya
*Kupata maumivu wakati wa tendo na kukosa ute
*Kupata maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu

MADHARA YA P. I.D
*Mwanamke kushindwa kubeba mimba
*Ujauzito kutoka hasa katika miezi mitatu ya mwanzoni
*Maumivu wakati wa period, damu kutoka mabonge meusi
*Harufu mbaya

MATIBABU
Tafadhali tembelea hospital kwa matibabu, au tumia dawa za asili
Kwa dawa za asili tumia dawa yetu IPEJA
*IPEJA ni dawa ya asili iliyothibitika kutibu na kumaliza tatizo la PID, uvimbe katika kizazi, inazibua mirija ya uzazi, Inarudisha uwezo wa kutungisha mimba
*Dozi ni siku 21
*Bei sh 125000

TUNA OFISI SHINYANGA, MWANZA, MOSHI, PIA TUNA WAKALA DSM, KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE, TUTUMIE SMS AU WHATSAPP KWA NAMBA 0782634520

Mrejesho toka kwa mteja wetu aliyekuwa na tatizo la nguvu na maumbile madogo, ametumia dawa yetu nsegese kaondokana na c...
28/09/2024

Mrejesho toka kwa mteja wetu aliyekuwa na tatizo la nguvu na maumbile madogo, ametumia dawa yetu nsegese kaondokana na changamoto zake

KWANINI BAADHI YA WATU WANAPUNGUKIWA AU KUISHIWA NGUVU ZA TENDO, KUWAHI KUMALIZA TENDO NA KUSHINDWA AU KUCHELEWA KURUDIA...
24/09/2024

KWANINI BAADHI YA WATU WANAPUNGUKIWA AU KUISHIWA NGUVU ZA TENDO, KUWAHI KUMALIZA TENDO NA KUSHINDWA AU KUCHELEWA KURUDIA?

( DAWA HII YA KISUKUMA NI MAALUM KWA WALE TU WANAOTAKA KUTIBU NA KUMALIZA TATIZO HILO)

Hali hii husababishwa na mambo mbali mbali k**a vile:
*Kujichua
*Mishipa ya dhakari kulegea au kuwa na mafuta au mabaki ya kemikali za Busta na hivyo kuzuia msukumo mzuri wa damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye mishipa ya dhakari
*Magonjwa k**a kisukari, pressure, ngiri, bawasili, tezi dume na vidonda vya tumbo pamoja na unene pia huchangia tatizo la upungufu wa nguvu za tendo.

SULUHISHO

*ILIMBA ni dawa ya asili ya kisukuma inayoaminiwa na kutumiwa na jamii kutibu na kumaliza tatizo la upungufu wa nguvu za tendo
*Ni tiba inayotibu na kumaliza tatizo moja kwa moja
*Inaimairisha mishipa ya dhakari iliyolegea
*Inasafisha na kuondoa mafuta na mabaki ya kemikali za Busta katika mishipa ya dhakari
*Inakufanya uchelewe kumaliza na inakupa uwezo kurudia tendo mara nyingi zaidi
*Dozi ni siku 14 matokeo yanaanza siku ya tatu ya matumizi ya dawa
*Ulizia ufanisi wa dawa hii kwa msukuma yeyote unayemfaham atakuambia.
*Bei sh 125000

TUNA OFISI SHINYANGA, MWANZA, MOSHI, PIA TUNA WAKALA DSM

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE AU TUTUMIE SMS/WHATSAPP KWA NAMBA 0782634520

KWANINI BAADHI YA WATU WANA DHAKARI NDOGO,  UPUNGUFU WA NGUVU, KUWAHI KUMALIZA NA KUSHINDWA KURUDIA?  (DAWA HII YA KISUK...
24/09/2024

KWANINI BAADHI YA WATU WANA DHAKARI NDOGO, UPUNGUFU WA NGUVU, KUWAHI KUMALIZA NA KUSHINDWA KURUDIA?

(DAWA HII YA KISUKUMA NI MAALUM KWA WALE TU WANAOTAKA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO)

Hali ya kuwa na maumbile madogo au upungufu wa nguvu, kuwahi kumaliza na kushindwa kurudia husababishwa na mambo mbali mbali k**a vile;

*Kujichua Kwa muda mrefu
*Unene
*Jando katika umri mdogo
*Kuzaliwa na asili ya maumbile madogo

SULUHISHO

NSEGESE ni dawa ya kisukuma inayoaminiwa na kutumiwa na jamii kurefusha na kunenepesha dhakari (hii ndo Siri kwanini wasukuma Wana dhakari kubwa)
*Ni dawa ya kunywa na kupaka
*Inarefusha na kunenepesha dhakari pia inatibu tatizo la nguvu
*Inaimairisha mishipa ya dhakari
*Inaongeza hamu ya tendo
*Inakufanya uchelewe kumaliza na inakupa uwezo wa kurudia tendo mara nyingi zaidi
* Dozi ni siku 14 matokeo yanaanza siku ya tatu ya matumizi ya dawa
*Ulizia ufanisi wa dawa hii kwa msukuma yeyote unayemfaham atakuambia.
*Bei sh 125000
TUNA OFISI SHINYANGA, MWANZA, MOSHI, PIA TUNA WAKALA DSM

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE, TUTUMIE SMS AU WHATSAPP KWA NAMBA 0782634520

Mrejesho toka kwa mteja wetu aliyekuwa na tatizo la nguvu
05/08/2024

Mrejesho toka kwa mteja wetu aliyekuwa na tatizo la nguvu

Address

Shinyanga
Shinyanga

Telephone

+255782634520

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shinyanga Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram