Tanzania Mental Health Summit

Tanzania Mental Health Summit Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Mental Health Summit, Health & Wellness Website, Shinyanga.

23/06/2025

We sincerely appreciate Mr. Jerry Kekeli Fiave, Director of Africa Health Promotion โ€“ Ghana, for honoring TMHS 2025 with his presence and impactful contribution.

Your insights and solidarity strengthened the regional dialogue on mental health across Africa. Asante sana for standing with us in this movement! ๐ŸŒ๐Ÿ’š

๐ŸŒ More info: https://tanzaniamentalhealthsummit.or.tz/blog



TanzaniaOfisi ya Rais - TamisemiWizara ya Afya TanzaniaOfisi ya Makamu wa RaisWorld Health Organization South-East Asia Region - WHO SEAROBickue BickueFondation BotnarUNFPAShinyanga Municipal CouncilBBC News Africa Sospeter Sassi

18/06/2025

Ni heshima kubwa sana kwetu kuwa na Vannessa Amada, Mwanzilishi wa Vannessa Amada Foundation, k**a mmoja wa wachangiaji wakuu kwenye mada ya Mabadiliko ya Tabianchi, Uhimilivu na Afya ya Akili ya Jamii (*Climate Change, Resilience & Community Mental Health) katika .

Maoni yako yametufumbua macho juu ya uhusiano mkubwa kati ya mazingira yetu na afya ya akili.

Asante sana Vannessa kwa mchango wako madhubuti na dhamira thabiti ya kuijenga jamii yenye uhimilivu!


TanzaniaOfisi ya Rais - TamisemiWizara ya Afya TanzaniaOfisi ya Rais - Tamisemi

18/06/2025

Dr. Dorothy Dow delivered a powerful insight on Integrating Mental Health into HIV Programs, sharing transformative insights grounded in research and youth-centered care. She also joined Sauti ya Vijana in an inspiring exhibition that showcased innovative, youth-led mental health solutions.

We are truly grateful for Dr. Dowโ€™s dedication and impactful presence at TMHS 2025. Asante sana kwa mchango wako wa kipekee, Daktari! ๐Ÿ™

Today, we officially launched the Tanzania Mental Health Summit 2025 in Kahama! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’ฅUnder the theme:โ€œInclusive and Collab...
29/05/2025

Today, we officially launched the Tanzania Mental Health Summit 2025 in Kahama! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’ฅ

Under the theme:
โ€œInclusive and Collaborative Actions: Advancing Mental Health for Sustainable Developmentโ€,
weโ€™re uniting 300+ voices โ€” youth, policymakers, global partners, and mental health champions โ€” to spark a national transformation.

๐Ÿ’ฌ โ€œTanzania cannot afford to sideline mental health any longer.โ€ โ€” Charles Deogratius, Founder of WAYDS

๐ŸŒ Powered by partners like WHO, UNFPA, Foundation Botnar, Save the Children & more.
๐Ÿ—“๏ธ Save the date: May 30โ€“31
๐Ÿ“ Kahama, Shinyanga

Letโ€™s make mental wellness a national priority. ๐Ÿ’š

๐Ÿ”ฅ Maandalizi Yanaendelea โ€“ Mambo ni Moto! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฃ Tanzania Mental Health Summit 2025 iko ukingoni mwa mlima โ€“ maandalizi yako...
28/05/2025

๐Ÿ”ฅ Maandalizi Yanaendelea โ€“ Mambo ni Moto! ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ“ฃ Tanzania Mental Health Summit 2025 iko ukingoni mwa mlima โ€“ maandalizi yako hatua ya mwisho!
๐Ÿ”ฅ
Vijana, wanawake, wataalam, mashirika โ€“ kila kona kuna pilikapilika za maandalizi!
Tunawasha moto wa mabadiliko ya afya ya akili nchini ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿงณ Je wewe Delegate, umeshajiandaa?
๐Ÿš Umeanza safari?

Usibaki nyuma!
Huu ni wakati wa kuwa sehemu ya historia ya afya ya akili Tanzania.

27/05/2025
14/05/2025

Uponyaji huanza pale moyo na mwili vinapokutana โ€” mahali ambapo mguso hutuliza hisia zandani huzuni huachiliwa, na amani ya kweli ya nafsihuota mizizi.

Usikose mkutano mkubwa kabisa wa afya ya akili nchini Tanzania!
Iwe wewe ni mtetezi wa ustawi wa afya, mpenzi wa maarifa, au mtu unayetafuta utulivu wa nafsi
BADO una nafasi ya kushiriki k**a mshiriki asiye mjumbe!(non โ€“delegate)

Hii ni WITO WA MWISHO!
Usajili unafungwa ndani ya saa chache zijazo!
๐Ÿ“ Mahali: Kahama, Shinyanga

๐Ÿ”— Bofya kiungo hiki kujisajili: https://forms.gle/x2wZbAEf1Nu2teAD7

Kwa maelezo zaidi tembelea: https://www.tanzaniamentalhealthsummit.or.tz

FFondation Botnar@followersWizara ya Afya TanzaniaScience for Africa FoundationAfrica CDCTanzania Mental Health SummitSospeter SassiWorld Health Organization (WHO)Ofisi ya Waziri MkuuOfisi ya Rais - TamisemiUNFPAOrygenShuwasaNelson Mandela

Je, unajua afya ya akili huathiri maisha ya kila siku โ€“ kazini, nyumbani na shuleni?Usikose fursa ya kujifunza na kuunga...
08/05/2025

Je, unajua afya ya akili huathiri maisha ya kila siku โ€“ kazini, nyumbani na shuleni?
Usikose fursa ya kujifunza na kuungana na wataalamu.

WAYDS inawaalika vijana viongozi, wanaharakati, wabunifu, na wananchi wote wenye uchu wa mabadiliko kushiriki Mkutano wa Afya ya Akili Tanzania 2025 k**a Washiriki Wasiokuwa Wajumbe (Non-Delegates).

๐Ÿ”— Jisajili sasa kupitia link . https://forms.gle/x2wZbAEf1Nu2teAD7

kwa taarifa Zaidi tembelea, https://www.tanzaniamentalhealthsummit.or.tz


TanzaniaOfisi ya Rais - TamisemiOfisi ya Makamu wa RaisOfisi ya Makamu wa RaisBickue BickueWizara ya Afya TanzaniaWorld Health Organization South-East Asia Region - WHO SEAROGrand Challenges for Social Work

Mkutano wa Afya ya Akili ni jukwaa la kusikiliza, kujifunza na kuponya. Je, tayari umejisajili? Usisubiri dakika ya mwis...
07/05/2025

Mkutano wa Afya ya Akili ni jukwaa la kusikiliza, kujifunza na kuponya. Je, tayari umejisajili? Usisubiri dakika ya mwisho!
WAYDS inawaalika vijana viongozi, wanaharakati, wabunifu, na wananchi wote wenye uchu wa mabadiliko kushiriki Mkutano wa Afya ya Akili Tanzania 2025 k**a Washiriki Wasiokuwa Wajumbe (Non-Delegates).
๐Ÿ”— Jisajili sasa kupitia link . https://forms.gle/x2wZbAEf1Nu2teAD7
kwa taarifa Zaidi tembelea, https://www.tanzaniamentalhealthsummit.or.tz

TanzaniaOfisi ya Rais - TamisemiOfisi ya Makamu wa RaisBickue BickueWizara ya Afya TanzaniaShinyanga Municipal CouncilFondation BotnarUNFPAGrand Challenges for Social Work

Address

Shinyanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Mental Health Summit posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tanzania Mental Health Summit:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram