Kes Medical center

Kes Medical center Tunatoa huduma za Afya kwa wenye changamoto ya uzazi,matatizo ya mifupa, sukari na Shinikizo la damu.

🦴 UNA CHANGAMOTO ZA MIFUPA? 🦴Unasumbuliwa na matatizo k**a:✅ Maumivu ya mgongo✅ Maumivu ya magoti na viungo✅ Kukak**aa k...
15/07/2025

🦴 UNA CHANGAMOTO ZA MIFUPA? 🦴

Unasumbuliwa na matatizo k**a:
✅ Maumivu ya mgongo
✅ Maumivu ya magoti na viungo
✅ Kukak**aa kwa shingo na mabega
✅ Maumivu ya nyonga na kiuno
✅ Kuvunjika kwa mifupa mara kwa mara

Usiishi na maumivu!
Njoo upate huduma bora za vipimo na matibabu kwa gharama nafuu.

💥 OFAYA VIPIMO NI 30,000 TU! 💥

📍Tunapatikana Kijitonyama na mikoa yote.
📞 Piga simu sasa 👉 0618 209096

Afya yako, thamani yako! 💙

LISHE BORA HUSAIDIA SANA KUIMARISHA MIFUPA---🦴 ATHARI ZA UPUNGUFU WA CALCIUM MWILINI KWA MIFUPACalcium ni madini muhimu ...
14/07/2025

LISHE BORA HUSAIDIA SANA KUIMARISHA MIFUPA
---

🦴 ATHARI ZA UPUNGUFU WA CALCIUM MWILINI KWA MIFUPA

Calcium ni madini muhimu sana kwa ujenzi na uimara wa mifupa. Ikiwa mwili hauna calcium ya kutosha, mifupa na meno huathirika kwa kiasi kikubwa.

📌 Madhara makuu ni haya:

1️⃣ Osteoporosis

Mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kirahisi.

Huonekana zaidi kwa watu wazima na wanawake waliokoma hedhi.

2️⃣ Osteopenia

Hali ya awali kabla ya osteoporosis.

Mifupa kuwa hafifu zaidi ya kawaida bila kuvunjika moja kwa moja.

3️⃣ Maumivu ya Mifupa

Maumivu kwenye mgongo, magoti, kiuno, na mikono.

Misuli pia huweza kuwa na maumivu au kukaza (muscle cramps).

4️⃣ Kukosa Nguvu Mwilini

Mifupa dhaifu husababisha uchovu wa mara kwa mara na kushindwa kufanya kazi nzito.

5️⃣ Matatizo kwa Watoto (Rickets)

Watoto wenye upungufu wa calcium hupata magonjwa k**a rachitis, mifupa kupinda au kuchelewa kutembea.

6️⃣ Upungufu wa Urefu na Ulegevu wa Mwili

Mifupa inaponyauka au kulegea, mtu huweza kupungua urefu na kusinyaa.

---

📌 Dalili za Mwili Wenye Upungufu wa Calcium:

Maumivu ya mifupa na viungo

Misuli kukaza au kutetemeka

Kukatika kwa kucha na nywele

Kukohoa meno mapema

Kutetemeka kwa mwili au ganzi

📌 Hitimisho ( kwa msaada zaidi 0618209096)

Upungufu wa calcium si jambo la kubeza, na unaweza kuepukika kwa kula vyakula vyenye calcium, kupata jua la asubuhi, na pindi inapobidi kutumia virutubisho kwa ushauri wa daktari.

*OFA YA CHECKUP YA MIFUPA NA MAUNGIO*🔥 OFA MAALUM: Checkup Kamili ya Mifupa na Maungio kwa 30,000/= Tu! 🔥  *Unasumbuliwa...
12/07/2025

*OFA YA CHECKUP YA MIFUPA NA MAUNGIO*

🔥 OFA MAALUM: Checkup Kamili ya Mifupa na Maungio kwa 30,000/= Tu! 🔥

*Unasumbuliwa na maumivu ya mgongo, miguu, magoti au viungo?*
Tuna suluhisho la kisayansi, salama na asilia!

---

💥 Unapata Nini kwa 30,000/= Tu?

✅ *Kipimo cha Kisasa cha Mifupa & Maungio*
- Kinaonyesha *tatizo halisi, chanzo chake*, na *eneo la mwili lililoathiriwa*.

✅ *Ushauri wa Kitaalamu kutoka Wataalamu wa China*
- Madaktari walio bobea katika *tiba lishe ya asili* na mifumo ya tiba ya mashariki.

✅ *Mpango wa Tiba Asilia wa Kurekebisha Tatizo Bila Dawa Kali*
- Unapewa muongozo wa lishe na mbinu asilia za kupunguza maumivu na kurejesha nguvu.

---

🎁 BONUS YA BURE:
🎁 *Muongozo wa Chakula Bora kwa Mifupa na Maungio*
🎁 *Mapendekezo ya tiba lishe maalum kwa mtu binafsi*

---

🛡️ *Kwa Nini Uchague Sisi?*
- Hatutumii dawa kali wala sindano
- Tiba ya asili inayolenga chanzo cha tatizo, si dalili tu
- Matokeo yanayoonekana ndani ya muda mfupi

---

⚠️ Nafasi ni CHACHE — Tunahudumia watu wachache kwa uangalizi wa karibu.

📍 *Mahali:* [Dar es salaam Kijitonyama. Tuna Vituo pia Mikoa yote Tanzania.

Tuma neno *OFA* WhatsApp 0618209096 Kuwahi nafasi ya Kumuona daktari.

Address

Singida
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kes Medical center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share