Heston & Health

Heston & Health tujali afya zetu, Mana afya bora ndo uhai wetu

NATURAL CELTICAS FAIDA ZAKE.. Faida za kiafya za Natural celticas. Kirutubisho cha Natural celticas kina faida nyingi sa...
18/02/2022

NATURAL CELTICAS FAIDA ZAKE..

Faida za kiafya za Natural celticas. Kirutubisho cha Natural celticas kina faida nyingi sana za kiafya kwa mwili wa binadamu. Watu wengi wamefaidika kiafya kupitia Kirutubisho hiki kizuri.

Wasiliana nasi 0672891124
Gusa link yetu kuendelea kujifunza
https://chat.whatsapp.com/JJF6zkbvPRU5QfXqrqc6PU

Natural celticas inakulinda kutokana na magonjwa yafuatayo: ~ Kisukari ~ Kansa ~ Presha (BP) ~ Magonjwa ya macho ~ Magonjwa ya ngozi ~ Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake ~ Matatizo ya kipindi cha hedhi kwa wanawake ~ Kuongeza CD4 haraka kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi ~ Magonjwa ya moyo ~ Kupooza (stroke) ~ Hamu ya kula ~ Asthma ~ Allergy ~ Kupunguza uzito ~ Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu ~ Changamoto za kubalance homoni ~ Kuleta brain focus ~ Kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka amka na bila uchovu ~ Kukupa umakini wa akili ~ Vidonda vya tumbo na kujaa gesi tumboni ~ Mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa ~ Matatizo ya mgongo ~ Viungo kupata ganzi ~ *maatizo ya nguvu za kiume* Kuimarisha na kukuepusha na maradhi kwa ujumla na mengine mengi sana ambayo hayajatajwa hapa juu.

KIRUTUBISHO CHA natural celticas ni kindonge( Capsule) kilichotokana na utafiti wa muda mrefu na kukusanya virutubisho 140 vya asili ndani ya kirutubisho kimoja. Virutubisho hivyo vimetoka kona zote nne za dunia vikijumuisha vitamini muhimu kwa mwili, madini, amino acids, mafuta muhimu kwa mwili, antioxidants na phyto-nutrients, enzyme kwa kusaidia kuyeyusha chakula. Virutubisho hivi vimetokana na: - matunda ya kwenye bustani, - matunda ya mwituni, - mboga aina ya Spirulina family , - mboga za baharini, - majani na miamba ya kando kando ya bahari - Aina tofauti ya uyoga wenye ubora wa Hali ya juu – Vyote hivi ndani ya kindonge kimoja! Natural celticas ni kirutubisho cha mwili cha kiada cha kipekee ambacho hakijapata kingine cha kulingana nacho hadi sasa. Ni mchanganyiko uliobuniwa na kufanikiwa kwa kiwango cha juu kurudisha, kukarabati na kuamsha afya ya mtu iliyodorora. Mchanganyiko huu hufanya kazi kwa kuupa mwili virutubisho vyote ambavyo umekosa kutokana na kula chakula cha kisasa kinachokosa virutubisho muhimu.

Wasiliana nami kupata huduma hii 0672891124

Gusa link uzidi kujifu za kuhusu vyakula lishe
https://chat.whatsapp.com/JJF6zkbvPRU5QfXqrqc6PU

SABABU ZA TATIZO LA KUTOPATA MIMBA NA TIBA ZAKEGusa link kuendelea kujifunza uzazi was mwanamkehttps://chat.whatsapp.com...
17/02/2022

SABABU ZA TATIZO LA KUTOPATA MIMBA NA TIBA ZAKE

Gusa link kuendelea kujifunza uzazi was mwanamke
https://chat.whatsapp.com/JJF6zkbvPRU5QfXqrqc6PU
Wasiliana nasi 0672891124

Tatizo la kutopata mimba linawasumbua wengi na huwapata familia kadhaa katika jamii, huweza kumpata mtu mmoja kati ya wanandoa 12 na ni tatizo linalowapata watu zaidi ya milioni 24 duniani kote.

Ugumba ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Mtiririko wa upataji ujauzito ni k**a ifuatavyo;

Baada ya mwezi mmoja wa ndoa uwezo wa kushika ujauzito ni asilimia 20, baada ya miezi mitatu ya ndoa ni asilimia 50, baada ya miezi sita ya ndoa ni asilimia 75 na baada ya miezi 12 ni asilimia 90 mwanamke huweza kupata ujauzito.

Hali hii inaweza kutokea kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke, ingawa baadhi ya watu wamekuwa wakidhani wanawake peke yao ndio ambao hupata tatizo hilo.

Tatizo hili limegawanywa katika vipengele viwili kimoja ni kile ambacho mwanamke hushindwa kupata mimba baada ya mwaka mmoja wa kufanya tendo la ndoa na mume wake bila kutumia kinga kwa mwanamke mwenye umri chini ya miaka 35 (primary infertility).

Kipengele cha pili ni kile kijulikanacho k**a 'secondary infertility' ambapo mwanamke hushindwa kubeba mimba wakati siku za nyuma alishawahi kupata ujauzito.

Tatizo la ugumba huweza kupatiwa matibabu na kuisha.

KUNA TAFAUTI GANI KATI YA UGUMBA NA UTASA?

Tofauti na ugumba, utasa ni hali ya mwanamke kutoweza kushika ujauzito kabisa au mwanaume kutoweza kusababisha ujauzito kwa mwanamke kabisa.

Mtu tasa hana uwezo wa kupata mimba au kumpa mwenzi wake mimba kabisa, wakati mgumba ana uwezo wa kuja kupata mimba iwapo tatizo litaondolewa.

NINI HUSABABISHA UGUMBA?

Kuna sababu mbalimbali ambazo hupelekea ugumba kutokea kwa mwanaume au mwanamke.

WANAUME
Ugumba kwa wanaume hutokana na tatizo katika mbegu za kiume, manii kuwa kidogo, manii kushindwa kutembea, manii kuwa na umbo lisislo la kawaida au kuziba kwa mijira ya mbegu za kiume.

Tatizo kwenye mbegu za kiume linaweza kutokana na;

- Uvutaji wa sigara
- Dawa za kulevya k**a matumizi ya bangi kwa wingi,
- Mionzi (radiations)
- Unywaji wa pombe
- Kemikali k**a DDT, risasi (lead)
- Kufanya kazi mazingira yenye joto kali k**a viwanda vya chuma.
- Kuziba kwa mirija ya mbegu za kiume kutokana na magonjwa ya zinaa

WANAWAKE
Tatizo la ugumba husababishwa na sababu kuu mbili:

- Kuziba kwa mijrija ya kupitisha mayai
- Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai isiokuwa na nguvu (lazy egg).

Mirija ya kupitisha mayai inaweza kuziba kutokana na;

- Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) ambao unatokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa k**a kisonono na klamidia.
- Mirija ya mayai kujaa maji
- Utoaji mimba usio salama (unsafe abortions)
- Upasuaji maeneo ya kiunoni
- Ugonjwa wa endometriosis

Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi inaweza kutokana na;

- Umri mkubwa wa mwanamke, hasa miaka 35 – 40 na kuendelea.
- Uvutaji wa sigara
- Saratani ya Ovari
- Mionzi (radiations)
- Ugonjwa wa Polycystic ovarian disease (Ovarian Cyst)

Sababu nyingine za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa;

- Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba.
- Mabonge ya kizazi (uterine fibroids)
- Kuziba kwa shingo ya uzazi
- Kulegea shingo ya uzazi
- Kisukari
- Matatizo ya tezi ya shingo (hyperthyroidism)
- Kufanya mazoezi ya kupitiliza (excessive exercising)

VIPIMO VYA KUJUA UGUMBA

Vipimo mbalimbali vinapatikana ili kuwezesha kugundua chanzo cha ugumba. Licha ya uwezo wa vipimo hivi, zaidi ya asilimia 10 ya watu wenye tatizo hili chanzo kinaweza kisijulikane kabisa. Ni vizuri kwa wenzi wote wawili wenye tatizo hili kuonana na daktari kwa ajili ya ushauri na vipimo.

KWA WANAUME HUFANYIKA;

Kipimo cha manii (seminalysis) kuona k**a manii zipo za kawaida na kwa kiwango kinachoatakiwa. Manii huchukuliwa kwa kondomu maalum wakati wa kufanya mapenzi au kwa kupiga punyeto na kisha kuchunguzwa kwa darubini.

Homoni za kiume kwenye damu; kipimo hiki hupima homoni za testosterone na Follicle Stimulating Hormone(FSH) ambazo huusika katika utengenezaji wa mbegu za kiume.

KWA WANAWAKE KUNA VIPIMO VINGI HUWEZA KUFANYIKA VIKIWEMO;

- Hysterosalpingography – hutazama mirija ya uzazi (Fallopian tubes) k**a imeziba au la. Pia huonesha k**a tumbo la uzazi lina vivimbe.

- Ultrasound – kipimo hiki huonesha k**a kuna vivimbe kwenye tumbo la uzazi, pia kwenye ovari k**a kuna magonjwa yanayoweza kusababisha ugumba k**a Polycystic Ovarian Syndrome.

- Homoni za k**e katika damu – kipimo hiki hupima homoni za 'Oestrogen' na 'Follicle stimulating hormone' ambazo huusika kwenye kuandaa yai la uzazi kutoka kwenye ovari na upandikizaji kwenye mji wa uzazi.

- Endometrial biopsy – tishu za mji wa uzazi huchukuliwa kuchunguza k**a yai la uzazi limetoka. Pia huweza kuonesha k**a kuna saratani ya mji wa uzazi au vinyama kwenye mji wa uzazi.

MATIBABU YA UGUMBA

Matibabu ya ugumba huhusishwa wenzi wote wawili, mwanaume na mwanamke. Yanahitaji uvumilivu na uelewa kwani wakati mwingine yanaweza yasiwe na mafanikio haraka au kabisa k**a tunavyotarajia. Kuna njia mbalimbali za kutibu ugumba, hizi zote zikijumuisha kuondoa tatizo linalosababisha mimba ishindwe kutunga au kutumia njia za kusaidia mimba itunge.

Njia za matibabu ya ugumba hujumuisha:

UPASUAJI
Mirija iliyoziba, vivimbe kwenye mji wa uzazi au kuta za uzazi kushik**ana huweza kutibiwa kwa njia za upasuaji. Matibabu haya husaidia kuongeza uwezekano wa wenzi kupata mtoto.

DAWA
Mirija iliyoziba, vivimbe kwenye mji wa uzazi au kuta za uzazi kushik**ana huweza pia kutibiwa kwa Dawa mara nyingine. Matatizo ya ugumba yanayotokana na ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi huweza kutibiwa kwa dawa pia. Dawa hizi hutumika kuziwezesha ovari kutoa mayai ya uzazi ili yawe tayari kurutubishwa. Mara nyingi huweza kusababisha kutoa mayai mengi katika mzunguko mmoja na kusababisha ujauzito wa watoto wengi (mapacha au zaidi) pale yanaporutubishwa.

TEKNILOGIA SAIDIZI ZA UZAZI (Assistive Reproductive Technologies).

Hizi ni njia za kitaalamu ambazo zinatumika kusaidia wenzi kupata ujauzito kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke. Njia hizi ni k**a 'Artificial Insermination' na 'In Vitro Fertilization'.

- Artificial Insermination; Njia hii hutumika pale ambapo mbegu za kiume zipo kwa kiasi kidogo. Mbegu za kiume hukusanywa na kuingizwa kwenye mji wa uzazi kwa njia za kitaalamu.

- In Vitro Fertilization; Njia hii hutumika hasa pale mirija ya mwanamke imeziba kabisa. Mayai na mbegu za kiume hukusanywa kitaaalamu na kisha yai kuchavushwa. Baada ya hapo yai lililochavushwa hupandikizwa kwenye mji wa uzazi.

Ugumba huathiri wanaume kwa wanawake wa kiwango kinachofanana, hivyo ni muhimu kwa wenzi wote wawili kushiriki katika matibabu.

Ugumba huathiri wenzi wengi kisaikolojia kwa kuleta hasira, majuto, msongo wa mawazo na hata kusababisha mvurugano katika mahusiano yao. Katika nchi zetu za kiafrika, wanawake wamekuwa wahanga wakubwa wa tatizo hili. Ni vizuri wenzi washirikiane katika hili, kwa kupeana moyo na kufuatilia matibabu kwa pamoja. Matibabu yanaposhindwa kabisa kuleta mafanikio, wenzi wanaweza kuasili mtoto/watoto k**a watakuwa na utayari.

Tafadhali ungana nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook wa 'Al- Shifaa Natural Remedie' kupata mfululizo wa mada zetu zinazohusu afya ya mwanadamu na tiba mbalimbali. Usikose kuweka LIKE endapo utafurahishwa na mada hizo.

Gusa link ujifunze zaidi

https://chat.whatsapp.com/JJF6zkbvPRU5QfXqrqc6PU
JEE, UNA TATIZO LA UGUMBA?

K**a una tatizo hili na umeshindwa kulipatia ufumbuzi, wasiliana nasi.

Kwa mawasiliano nasi tuma ujumbe mfupi au piga simu kwenye nambari zifuatazo: +255746633559. Pia waeza tuma ujumbe kwa whatsapp. Tuko na wakala Kenya na Tanzania.

UUME LEGELEGE MFUPI NA MWEMBAMBA ULIOSINYAA UNAOSHINDWA KURUDImafunzoGusa link yetu kuendelea kupata mafunzohttps://chat...
24/09/2021

UUME LEGELEGE MFUPI NA MWEMBAMBA ULIOSINYAA UNAOSHINDWA KURUDImafunzo

Gusa link yetu kuendelea kupata mafunzo

https://chat.whatsapp.com/IMckCJR1o5gFGtkdCAgix5
Wasiliana nami 0746633559/0672891124

Soma maelezo yote kwa umakini sana pia k**a unawahi kumaliza tendo chini ya dakika 5 na kushindwa kurudia na kuishiwa hamu kabisa

Unashaka uume wako ni mfupi sana ?
Pengine upo sahihi au haufahamu nini maana ya kuwa na uume mdogo. Kabla ya kujihisi na kuwa na wasiwasi na maumbile ya uume wako tambua kwanza haya.

* Wastani wa uke wa mwanamke ni kati ya cm 10 -12....
*Upana wa uke unatofautiana kwa kuwa umeundwa na tishu zinazovutika...

Haya tuendelee...
Kwahiyo basi wastani wa uume wa mwanaume ni kati ya 12cm hadi 16cm.
Vipimo hivi hufanywa wakati uume umesimama. Inamaana uume ulio chini ya cm 10 upo chini ya makadirio unaweza kusababisha kutofurahia tendo la ndoa kati yako wewe au mwenzi wako. Ingawa umbile la uume linaweza likawa sio kigezo cha kumridhisha mwenzi wako, bali kinachohitajika ni utundu na ufundi kitandani kwako na mwenzi wako. Ingawa utafiti unaonesha wanaume wenye uume mdogo hukosa kujiamini wawapo kitandani. K**a ni muathirika basi twende pamoja tujaribu kutibu tatizo lako.

NB: k**a una ugonjwa wa ngiri tambua tatizo lako halitotatuka kwa sababu ngiri ndio chanzo kikubwa cha uume kuwa mdogo. Kwahiyo itakupasa ujipatie dawa kwetu ya ngiri na ya nguvu za kiume pamoja na kibamia

MAHITAJI
1. Juisi ya asali ya kiasili ya nyuki wadogo
2. Mafuta spesho ya kuchua uume (ni mafuta ya kiarabu yaliyochanganywa kwa pamoja hayana madhara)
3. Maji ya vuguvugu
4. Sehemu ya utulivu (Bafuni au chumbani)

NAMNA YA KUFANYA ZOEZI HILI
1. Pasha uume wako na maji ya vuguvugu mpaka uwe na joto ili kutanua misuli ya uume (maji yasiwe ya moto)
2. Paka mafuta kwenye uume wako wote
3. Chua taratibu ukizingatia kuto haribu misuli ya uume kuanzia kwenye kichwa hadi kwenye shina
4. K**ata na finya uume wako kwa taratibu sana kuanzia kwenye ncha mpaka kwenye kichwa cha uume wako.
5. Huku unaminya na kuvuta kwa mbele uume wako.
Rudia hatua hii mara 50

NB: Zoezi hili ni la kitaalamu sana halina madhara kwako hata kidogo wala kwenye uume wako.
Juisi ya asali inatibu tatizo ndani (internal) na mafuta yanatibu nje.

UMUHIMU WA JUISI YA ASALI
Tumia juisi ya asali ambayo tumetengeneza spesho kwa matatizo yote ya wanaume(nguvu za kiume na uume legelege usioweza kurudia tendo). Hiyo yote kwa sababu ina vitamini nyingi sana mwilini, utajipatia kiasi cha kutosha cha protini na vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na uume wako ujumla. Pia Unywaji wa Juisi asali huimarisha na kuboresha mfumo mzima wa uzazi, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, au matatizo ya kuwahi kumaliza tendo kwa wakati mfupi. Pia ndani ya Juisi ya asali kuna virutubisho vya amino acids ambavyo ni muhimu mwilini kwa watu haswa walio athirika na punyeto.

Mbali na hayo pia Ukitumia juisi ya asali, mwili utapata nguvu na kukuondolea uchovu ndani ya nusu saa tu, kwa sababu juisi ya asali ina virutubisho vya sukari asilia k**a vile glucosei, sucrose na fructose. Juisi ya Asali ina madini pia aina ya potassium¡ na kiasi kidogo cha chumvi (sodium).
Madini haya husaidia uimarishaji wa mishipa ya uume na kuufanya usimame barabara. Watafiti wamegundua kwamba ulaji kiasi wa potassium huweza kumuepusha mtu na kupatwa na kiharusi (stroke) kitakachopelekea ukosefu wa uwezo wa uzalishaji. Pia Juisi ya Asali husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mwilini (LDL Cholesterol) ambayo ni chanzo kikubwa kinacho athiri mfumo mzima wa tendo la ndoa.

Hizi ndio baadhi ya kazi za JUISI YA ASALI YA KIASILI NA MAFUTA YA KUPAKA UUME...
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.
Pia husaidia

NGUVU ZA KIUME,ugumba,kupunguza uzito UTI,kolestro, kitambi (mafuta kuyeyusha) kuondoa sumu na kusafisha damu,Gesi,Huongeza kinga ya mwili maradufu, huondoa uchovu,Ni dawa kubwa sana ya kifua, n.k
utapata matokeo mazuri baada au wakati unatumia mchanganyiko huo kiukweli ni bora sana na niyakiasili. Itakufanya uwe kijana nguvu itarudi maradufu.

BEI YAKE
NI 60,000/= kwa dozi moja unapata na mafuta ya kuchua.
Mafuta yanasaidia kusisimua na kuamsha misuli iliyolala na kusaidia kuondoa ulegelege wa uume na kusimama kwa muda mrefu sana.

MIKOANI..
Hakikisha kuna Bus zinazotoka DAR na kufika au kupita Mkoa uliopo.
Mikoani gharama ni 67,000/= gharama za kutuma ni kwetu.

Swala la utapeli ondoa kichwani mwako 100% kwa sababu ya uaminifu tulionao. Tunataka kufanya kazi miaka mingine mingi.
K**a kunamtu tumemtapeli sisi k**a sisi ajitokeze atoe ushahidi.
Watu wa mikoani, usijiulize marambilimbili swala la uoga wa kutapeliwa utakapotuma pesa yako, sisi ni waaminifu na mzigo utaupata tu. K**a unandugu Dar au Kibaha tutampelekea yeye atatulipa lakini tunamiaka zaidi ya mitano na kazi hii hatujatapeli

UAMINIFU NDI0 SILAHA NA KAULI MBIU YETU TUAMINI KWA MOYO MMOJA HATUJAWAHI KUTAPELI HATA SIKU MOJA TUMEKUJA KURUDISHA IMANI YA KUTUMA MIZIGO MKOANI.

Namba zetu
0746633559 WhatSapp...

Tupo kibaha ila Dar, tunakuletea kwenye vituo vyote vya mwendokasi, unasogea mpaka kituoni utakapochagua mteja.

NB....JUISI YETU NA MAFUTA YETU NI VYA KIASILI 100%
Gusa link yetu kuendelea kupata mafunzo
https://chat.whatsapp.com/IMckCJR1o5gFGtkdCAgix5

*FAHAMU TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUJAA MAJI NA KUZIBA PAMOJA NA SULUHU YAKE ILI KUPATA MTOTO MIRIJAYA UZAZI KUJAAMAJINI...
23/09/2021

*FAHAMU TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUJAA MAJI NA KUZIBA PAMOJA NA SULUHU YAKE ILI KUPATA MTOTO MIRIJAYA UZAZI KUJAAMAJINI NINI*?

Gusa link ya kuingiza kwenye dawa la magunzo WhatsApp
https://chat.whatsapp.com/JJF6zkbvPRU5QfXqrqc6PU
Wasiliana nami 0746633559

Haliya kujaa maji kwa mirija ya uzazi ya wanawake huitwahydrosalpinx kwa kitaalamu. Ni tatizo ambalohujitokeza kwa wanawake kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaayasiyotibiwa (pelvic inflammatory disease). Mara nyingi husababisha tatizo la ugumba na maumivu ya kiuno. Mirija ya uzazi hujishikizakwenye upandewa kulia na kushoto wa tumbo la uzazi, hupitisha mayai kila mwezi kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mji wa uzazi. Urutubishaji wa yai la uzazi hutokea katika mirija hii.
SABABUZA MIRIJAYA UZAZI KUZIBA Mara nyingi mirijaya uzazi kuzibahutokana na; Pelvicinflammatorydisease unaotokanana maambukizi ya magonjwa ya zinaaambayo hayakutibiwak**a kisonono naklamidia.TB ya mirijaya uzaziUpasuaji maeneoya kiunoni (pelvic surgery)EndometriosisMaambukizi ya apendiksi (appendicitis)Saratani ya mirija ya uzazi
DALILIZATATIZO HILI Wanawake wengi wanaweza wasiwe nadalili zozote,isipokuwa kupata matatizo katika kupata mtoto. Dalili zinazojitokeza mara nyingi huwa ni; Maumivu ya kiuno Hujitokezamara kwamarahasa sikuchache kablaaubaadaya kuingiakwenyehedhi. Uchafu kutoka sehemuza siri
JE,NAWEZA KUPATA MTOTO? Tatizo hili likitibiwa unaweza ukapata mtoto. Pale mirija inapokuwa imeharibika sana uwezekano wa kupataujauzito huwa ni mdogo sana.Njia nyingine saidizik**a In Vitro Fertilization zinaweza kutumika.

MADHARA YA TATIZO HILI
Mirija ya uzazi ikiziba, mayai ya uzazi hushindwa kusafiri kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mjiwa uzazi. Hivyo tatizo la ugumba hujitokeza.Mimba kutunga nje ya mfuko wa mimba(Ectopicpregnancy) Maumivu ya kiuno VaginalAtrophy (kusinyaa kwaukena kushindwa kufanya tendo la ndoa) Kukosa hamu ya tendo la ndoa Kuwa mkavu Ukeni, na kuhisi maumivu makali wakati wa tendo la ndoa. tena. *TIBA ASILA* Tunadawa nzuri. sana za asili zitokanazona mchanganyikowa mimea mbalimbali ambazo *HUZIBUA MIRIJA YA UZAZI ILIYOZIBA KWA HARAKA*nanisalama kwamtumiaji **HUPONYA KABISA TATZO LA KUJAA MAJI KWA MIRIJAYA UZAZI BILA UPASUAJI NB:Dawa hizihutibu nakuzuia tatizo lisijirudie tena.
Gusa link yetu kupata muongozo zaidi wa kujifunza
https://chat.whatsapp.com/JJF6zkbvPRU5QfXqrqc6PU

Piga simu kuweka oder 0746633559

Faida za liven coffee kwa wanaume ALKALINE COFFEE :Wasiliana  Nami kuweka oder 0746633559Gusa link kuweka Odahttps://wa...
16/09/2021

Faida za liven coffee kwa wanaume
ALKALINE COFFEE :

Wasiliana Nami kuweka oder
0746633559

Gusa link kuweka Oda
https://wa.me/255746633559

Hii ni aina ya Kahawa ambayo ina faida nyingi *za* afya zinazojitokeza kutoka kwa viungo 16,000 kutoka kwa viungo 131 vya asili!
👇
Kahawa ya (Liven coffee ) ina ubora wa juu unaoonekana kwa ladha yake tofauti na harufu kwa sababu ni bora zaidi na nguvu hiyo hutokana na product ya COMPLETE PHYTO-ENERGIZER!

Phyto-energizer kamili imetengenezwa na baadhi ya virutubisho vifuatavyo
👇

👉18 Amino Acids
(Glutamine, Asparagine, Leucine, Alanine, Arginine, Lysine, Threonine, Valine, Glycine, Isoleucine, Serine, Proline, Phenylalanine, Tyrosine, Histidine, Methionine, Trytophan, Cysteine)

👉12 Vyakula vya Green / Blulina Blend
(Spirulina, Alfalfa, Grass Barley, Dandelion, Cilantro, Melissa Leaf, Nyasi ya Nyasi, Mchuzi wa Nyuzi, Mchungaji, Chlorella, Bluu ya Green Green)

👉12 Mazao Yote Ya Matunda ya Juisi
(Plamu, Cranberry, Blueberry, Strawberry, Blackberry,
Bilberry, Cherry, Apricot, Papaya, Grape ya Orange, Mananasi)

👉12 Mchanganyiko wa mbolea nzima
(Parsley, Kale, Mchicha, Nyasi za Ngano, Mboga ya Brussels, Asufi, Broccoli, Koliflower, Beet, Karoti, Kabichi, Vitunguu)

👉Mboga 12 / Ulinzi wa Myco
(Cordyceps, reishi, Sh*take, Hiratake, Maitake, Yamabush*take, Himematsutake, Kawaratake, Chaga, Zhu Ling, Agarikon, Mesima)
🎪
SIFA PEKEE ZA LIVEN COFFEE
👉Haina caffeine (sumu)
👉Mtu yeyote anaweza kutumia hata mwenye matatizo ya presha
👉Ni taaam (ina ladha mzuri)
👉Inatoa tiba


👇
FAIDA ZA LIVEN COFFEE
1. Inapunguza kiwango cha cholesterol(mafuta yaliyozid mwilini)
2. Inalinda Dhidi ya Magonjwa ya Moyo
3. Msaada kuzuia kansa ya asili yoyote
4. Udhibiti wa Shinikizo la Damu la Juu Na Sukari ya Damu
5. kuzuia magonjwa ya kueneza k**a Arthritis na Rheumatism
6. Kuimarisha, kuimarisha, kuimarisha na kusawazisha Mfumo wa kinga za mwili
7. Inafufua Ngozi
8. Kukuza Mzunguko wa Damu ya Afya na Urejesho wa Kiini
9. Detoxifies Mwili
10. Inapunguza uchovu
11. huondoa maumivu ya kichwa
12. Huzuia Magonjwa ya Parkinson
13. Kuimarisha na kuongeza hamu ya tendo la ndoa
14. Kuongeza Motility ya Sperm(uzalishaji wa mbegu za kiume)
15. Kuongeza Mkazo wa Kumbukumbu na Kuzingatia
16. muhimu kwa akili, Visual na Neurological Shughuli
17. Inaboresha Utendaji na Uvumilivu Wakati wa Zoezi
18. Uharibifu wa Kuvuta sigara na Utovu wa Pombe
19. Inapunguza Hatari Ya Kukuza Aina ya Ugonjwa wa Kisukari.

MATUMIZI:
👉Chukua kikombe.
👉Ongeza maji ya moto kulingana na kiwango cha kahawa unayohitaji kunywa
👉Koroga vizuri, na anza kutumia na kufurahia ubora wa kahawa ya asili.
Contact
0746633559
0672891124 -WATSAP only
Gusa link yangu muweka oder
https://wa.me/255746633559

JE, UNASHINDWA KUHIMILI TENDO LA NDOA KUTOKANA NA SABABU ZIFUATAZO??Wasiliana nami kupata ushauri na tiba06726891124Gusa...
15/07/2021

JE, UNASHINDWA KUHIMILI TENDO LA NDOA KUTOKANA NA SABABU ZIFUATAZO??

Wasiliana nami kupata ushauri na tiba
06726891124
Gusa link kuingia kwenye group la mafunzo
https://chat.whatsapp.com/F3vkei5UtGt3ZoVrNJW8X1

- Uzee
- Kisukari
- Kujichua/Punyeto
- Ngono zembe
-Wasiwasi
- Hasira
- Msongo wa mawazo (Stress)
- Huzuni
- Hofu na mashaka
- Kutokujishughulisha na mazoezi
- Shinikizo la juu la damu
- Ugonjwa wa moyo
- Uvutaji sigara/tumbaku
- Utumiaji uliozidi wa kafein.
- Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo
- Madawa ya kulevya
- Kupungua kwa homoni ya testerone
- Athari kutoka kwa baadhi ya dawa za hospitali au mitishamba
- Pombe

JE, SULUHISHO NI LIPI??

*Nature's celtacas* ni KIRUTUBISHO MAALUMU Kwa Waathirika Waenye Upungufu/Matatizo Ya Nguvu Za Kiume. Dawa hii hufanya kazi zifuatazo:-

✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa
✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha
✅Huondoa Uchovu

✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume
✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama
✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo
✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi
✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu
●Huondoa sumu mwilini na katika mfumo wa uzazi
✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege
✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa K**a Wa Mtoto
✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume
●Ni nzuri kwa ulinzi wa maambukizi sehemu za siri

Kupata bidhaa hii wasiliana nasi kwa simu namba

Tunapatikana Dar es salaam Mlimani city na Arusha mjini
Zanzibar Ruvuma Njombe Kigoma Kibaha Arusha, Katavi tunafanya delivery mikoani Moshi,Mbeya, Iringa ,Lindi Mjini, Mwanza, Morogoro Shinyanga Simiyu , Bukoba,Singida,Tanga Na Mikoa Mingine Wasiliana Nasi Kwa Maelekezo Zaidi Karibu Sana
NB:
BIDHAA HII HAINA MADHARA KWA MTUMIAJI, NGUVU YAKE NI ENDELEVU
Gusa link yangu kupata mafunzo ya afya
https://chat.whatsapp.com/F3vkei5UtGt3ZoVrNJW8X1

FREQUENTLY ASKED QUESTIONS ABOUT C24/7 NATURA-CEUTICALS1.) Do I need to take supplements even if I eat a well balanced d...
11/07/2021

FREQUENTLY ASKED QUESTIONS ABOUT C24/7 NATURA-CEUTICALS

1.) Do I need to take supplements even if I eat a well balanced diet?

Ans: There are 40 nutrients required by the body everyday. Even with a balanced diet, factors like pollution, stress and alcohol can hinder your body from getting the proper nutrient value from food. With C24/7, it provides 22,000 Phytonutrients to our body.

2.) What should I do if I have difficulty swallowing tablets and capsules?

Ans: C24/7 utilizes vegetable capsules (V-Caps). It is excipient free so you can pour and mix the contents of the capsule in any liquid like water or juice without reducing the effectiveness of the supplement.

3.) What makes C24/7 different from other supplements?

Ans: There are four antioxidants that are most important in the body. Vitamin A, Vitamin C, Vitamin E and Selenium, all of which can be found in fruits and vegetables. These antioxidants are the key factor in prevention of many diseases. However, fewer that 10% of people eat at least five servings of fruits and vegetables. C24/7 ensures that you receive the minimum daily requirement with it’s blend of 12 whole fruits and 12 whole vegetables. With it’s 100% excipient free formulation utilizing V-caps (vegetarian capsule) combined with powerful “Synergistic and Complimentary ingredients”. C24/7 is the most powerful supplement in the 21st century.

4.) Does C24/7 have any known side effects?

Ans: C24/7 has no known side effects as to date, but the effects on individual persons varies as its components balances our individual deficiencies and tries to rectify it.

5.) Why do I feel a little bit woozy on the first two days after taking taking C24/7?

Ans: You feel woozy because your body was still trying to adjust to the mega dose of nutrients of C24/7, physicians calls this phenomenon as loading dose, which they claim to be quite natural while taking any type of food supplement.

6.) I am taking other supplements and when I tried C24/7, within hours of taking I felt as if everything around me is moving fast.

Ans: C24/7 is already a complete source of vitamins and minerals, and what you are experiencing could the effects of other active ingredients from your other supplement reacting to those of C24/7. Try taking C24/7 alone and see if you would feel the same effect that you have felt before, if you do feel it again, then it is a rare probability that you may have some allergic reactions to some of C24/7 components, if not, then the other food supplement is most probably reacting to it.

7.)I am already taking a lot of medications, is it safe for me to take C24/7?

Ans: Yes it is safe for you take it, but please be reminded that C24/7 is a food supplement and it is not design to replace your medication entirely, but it is formulated so that it can help in the healing process of your ailing body.

8.) I am a health buff, does C24/7 helps me in keeping my body fit?

Ans: Yes, C24/7 is also ideal for health buffs like you, since it is packed with amino acids, it can help repair your muscles that was damage during heavy work outs, and helps in dissolving fats and in the process reduces your weight.

9.) I’m not suffering from any ailments, why should I take C24/7?

Ans: It is not that only the sick who should take C24/7, but everybody else since its components help our body to strengthen our immune system and regulates our body systems, which prevents any types of diseases.
Find me on whtsapp +255746633559

*SABABU ZA KUPUNGUA/KUKOSA NGUVU ZA KIUME NA MATIBABU YAKE KIASILI*Ili kupata mafunzo ya kujitibu na tiba Gusa link ya g...
24/06/2021

*SABABU ZA KUPUNGUA/KUKOSA NGUVU ZA KIUME NA MATIBABU YAKE KIASILI*
Ili kupata mafunzo ya kujitibu na tiba
Gusa link ya group
https://chat.whatsapp.com/F3vkei5UtGt3ZoVrNJW8X1
_Kuna pendekezo la mtu mmoja alisema bora mtu kwanza afahamu kwanza visababishi
Katika maisha ya kila siku kutokana na vyakula ,vinywaji nk ,haya matatizo unaweza kuyapata na ukajiuliza umepungukiwa nguvu namna gani
yangu ya awali nilieleza vizur ule mchanganyiko ambao ndo unaunda (heshimayandoa) napia habari nzur na uwezo wa (ALCALIN)
Katika Makala yangu ya vyakula vinavyotibu nguvu za kiume watu wengi nliokutana nao na wengine wamekuwa wakinipigia simu wakisema “mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila nawahi kufika kileleni” wengine wakisema “ mimi niko sawa sawa ila tu nakosa hamu ya tendo la ndoa, wengine wanasema mimi tatizo langu ni kuwai kufika kileleni lakini nikifika nashindwa kuendelea na tendo nk.

Ukweli wa mambo ni kwamba
 K**a unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatzo la nguvu za kiume .
 K**a uume hausimami barabara , una upungufu wa nguvu za kiume
 K**a uume unasimama na kulegea kwa muda mfupi au kwa mwanamke fuuani unafanya nae sawasawa ila kwa mwingine mambo hayaendi sawa, basi una tatzo la nguvu za kiume.
 K**a uume wako hulegea tu muda mfupi baada ya kuingia ukeni, una tatizo la nguvu za kiume
 K**a unasikia maumivu wakati wa tendo na wakati uume ukisimama una tatzo na nguvu za kiume
 K**a unashindwa kutoa mbegu (shahawa) au unatoa mbegu nyepesi una tatzo la nguvu za kiume
 K**a unashindwa kurudia tendo mara ya pili una tatizo kubwa la nguvu za kiume
 K**a unashindwa kufika kileleni wakati ukiendelea na tendo una tatizo kubwa la ukosefu wa nguvu za kiume.
Ndugu yangu k**a una baadhi au unahisi una dalili za kuwa na matatizo yaliyoainishwa hapo juu basi nakushauli uchukue hatua haraka sana, hi ni kwa sababu kuchelewa kwako kutakufanya hapo baadae tatizo liwe kubwa Zaidi na huenda ukashindwa kulitibia au ukaja kulitibia kwa gharama kubwa Zaidi ya ile iliyotakiwa. Kumbuka kwenda kwako hospitali utapoteza pesa na kujiharibu Zaidi maana utapewa dawa za kukusaidia muda mfupi wakati wa tendo na utaendelea kuharibu mwili wako.
Iwapo una matatzo ya nakutokea jua kabisa una tatizo la NGUVU ZA KIUME sasa ni muda muafaka wa kuanza kutafta matibabu sahihi bila kuchelewa na unapoanza kujitibu ni vzuri zaid kabla mambo hayajawa mabaya zaid unakuwa unajitengenezea mazingira ya kupona lakini chelewa chelewa ….utakuta mwana si wako

Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume
Kuna sababu za kimwili na sababu za kisaikologia
 Matumizi ya Vi**ra
 Kupiga Punyeto(masturbation)
 Maradhi ya mishipa ya damu
 Shinikizo la damu la kupanda na kushuka
 Unene mkubwa na kitambi
 Kisukari
 Maradhi ya moyo
 Sigara, pombe na madawa ya kulevya
 Kuendesha magari makubwa kwa mda mrefu
 Lishe mbovu, mfumo mbaya wa maisha, umri, majeraha na vidonda vya tumbo
 Msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
 Ngiri na maradhi ya zinaa
 Uraji wa vyakura vyenye kemikali (chemicals)

MATIBABU
Hakika mpaka sasa unaweza kujijua tatzo lako limetokana na nin ili uweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako.
Lakin kwanza, mchakato wako wa kutafta matibabu upitie njia zifuatazo
I. Salimu amri kuwa una tatizo na usijione huna tatizo kumbe una tatzo litakuwa kubwa Zaidi utajilaumu bdae
II. Thamini afya yako ya mwili na akili
III. Vijue vyanzo vya tatzo lako maana ukishajua chanzo umepiga hatua kubwa katika matibabu
IV. Jadili na mke wako au mwenza wako, kuna baadhi ya wanaume wengi mno wanaogopa kutafta ufumbuzi wa tatzo hilo wakiona ni unyonge mkubwa sana na wengine huona aibu kabisa kwa wake zao matokeo yake tatzo huwa kubwa na baadae kuwa shida kutibika

JITIBU KIASILI KWA DAWA BORA KABISA *“ALCALIN*”tulieleza habari nzur za mlingo na baadhi wameshaitumia na wametoa feedback nzuri sana ,,,,,,
= huponyesha kabisaa
Tunazo dawa bora kabisa ambazo huboresha mzunguko wa damu,
 huufanya uume kuwa imara na mgumu
 na hudumisha uimara huo kwa muda mrefu
 huongeza ham ya mapenzi
 huongesa stamina na misismko wa mapenzi
 pia hukufanya uchelewe kufika kileleni kias cha kufurahia tendo la ndoa
dawa yetu ni mchanganyiko wa mimea zaid ya9. Dawa yetu ni ya asili kabisa ambayo haina madhara na matokeo yake ni ya ajabu sana kwa wale walioitumia.

• *ALCALIN 1* huinua kiwango cha testosterone ,ambayo hushughulika na kuongeza ham ya tendo la ndoa
• *RISTO LIFE 2* hutibu matatzo ya mkojo na viungo vya uzaz. Huongeza utoaji wa nitric oxide ndani ya mwili ambayo huboresha mzunguko wa dam , huifanya misuli kutanuka na mishipa ya ateri kutanuka pia kufanya dam kutiririka vzur
• *NATURAL CELTICAS 3* huongeza stamina , hukufanya uchelewe kufika kileleni na uume kuwa mgumu zaid
• MLINGO huongeza shahawa na kuzifanya kuwa na afya bora na kuongeza maji ya shahawa

Kuishiwa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa na ndo maana kabla hatujakupa tiba lazima tujue kwanza chanzo cha tatzo lako hasa na k**a tatzo lako ni tata tutakushauri pia cha kufanya. Baadhi ya watu wataona matokeo ndani ya saa chache , na wengine sku chache, na wengine pia wanaweza kuchkua wiki moja au mbili kulingana na ukubwa wa tatzo lao.

Tunao uzoefu wa kutibu wagonjwa wa dalili zote na sababu zote . tunazo dawa aina 6 zenye uwezo wa kutibu vyanzo 18 vya upunguf wa nguv za kiume, hvyo tunapoanza matibabu hatubahatishi , tunajua tunachotibu .
Kwa mahitaji ya matibabu au ushauri
Nb:habari NJEMA za *ALCALIN* Imeleta mafanikio mazuri kwa walioitumia na wamefanikiwa ,ushuuda upo

Arusha, dar es salam utafikishiwa ALCALIN popote ulipo na pia mikoani tunakutumia kwa bus na Zanzibar tunakutumia kwa boat za azam express na nje ya nchi ya Tanzania tunakutumia kwa DHL

K**a unahitaji mlingo tuachie ujumbe WhatsApp 0746633559 ANDIKA
ALCALIN NIKO____________TAJA ENEO Nitakujib haraka
Pia tuma SMS za kawaida kwa wasio na WhatsApp 0746633559 au piga kwa maelezo zaidi

OMBI:NJOO KWETU UKIWA NA ROHO YA UAMINIFU TULIOIJENGA KWA WATU WETU KWA MUDA MREFU ,TUNAOMBA TUSIHARIBU UAMINIFU WETU KWA AJILI YA MTU MMOJA

Share na sambaza ujumbe huu kwa ndugu jamaa na marafiki

Kupata mafunzo zaidi K**a haya gusa link yetu kuingia kwenye group
https://chat.whatsapp.com/F3vkei5UtGt3ZoVrNJW8X1

Address

Sinza
Sinza

Opening Hours

Monday 01:00 - 23:00
Tuesday 11:00 - 17:00

Telephone

+255746633559

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Heston & Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Heston & Health:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram