27/11/2023
Huu ugonjwa unaitwa PID
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
PID ni maambukizi katika via vya uzazi, maambukizi haya yana tabia ya kusambaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndio maana ni muhimu kujitibu mapema pale tu unapogundua umepata maambukizi hayo. HUU NI UGONJWA WA ZINAA
DALILI YA KUWA NA PID
🌾Kutokwa na uchafu ukeni unaweza kuwa wa kijani, njano na wakati mwingine unakuwa mweupe k**a mtindi.
🌾Maumivu wakati wa tendo la ndoa wakati mwingine hupelekea kuvuja kwa damu wakati au baada ya tendo la ndoa.
🌾Sehemu za uke kwa laini sana.
🌾Maumivu ya nyonga.
🌾Maumivu chini ya tumbo.
🌾Kujihisi ni mjamzito haliyakuwa si mjamzito.
JE PID UNAWEZA KUUPATA KWA NJIA ZIPI?
🌵Ngono (kujamiiana) ikiwa mpenzi mmoja anao anaweza kumwambukiza mwenziwe kupitia tendo la ndoa.
🌵Wakati wa kujifungua
🌵Wakati wa kutoa mimba ikiwa hujapata huduma sahihi huweza kupata maambukizi haya.
🌵Kutia vitu visivyo salama ukeni kwa lengo la kubana uke.
🌵Kuchangia nguo za ndani za mtu aliyekuwa na maambuki