16/11/2025
Usipuuze 'chai' hii ya ajabu—inaweza kuwa jibu la matatizo mengi mwilini mwako.🌿
Umewahi kuitazama miti ya mpera ukafikiri ni matunda tu? —Fikiri tena!
Katika kila jani la mpera, kuna duka zima la dawa asili ambalo huenda hujui, Hii ndiyo siri ambayo babu na bibi zetu walijua, na sasa sayansi inaanza kudhibitisha!....🩺 Utaniuliza
INATIBU NINI!?...👇
↳ Hutibu UTI Sugu na PID — Pelvic Inflammatory Disease (antibacterial & antimicrobial).🦠
↳ Hutibu tatizo la Ugumba kwa Wanaume na wanawake.
↳ Hutibu Fangasi za Ukeni & Miwasho na Harufu mbaya .
↳ Husaidia kushusha shinikizo la damu na kiwango cha mafuta mabaya (LDL cholesterol) mwilini.🔘
↳ Husaidia kupunguza hatari ya mawe ya figo kutokana na uwezo wake wa kusaidia kusafisha mfumo. 🫘
↳ Hupunguza Homa , Matatizo ya Tumbo, kichefuchefu ,kuharisha na kutapika.
↳ Husaidia kupambana na vimelea vya malaria 🦟 na kupunguza dalili za Magonjwa ya zinaa k**a kaswende
↳ Husaidia kupunguza Maumivu ya Jino na Joints🦵
•Namna ya kuandaa na kutumia...👇
→ Chemsha majani fresh au makavu ya mpera kwa dakika 10–15, chuja, kisha kunywa glasi moja dakika 30 baada ya chakula cha usiku....
Ni tiba rahisi lakini yenye matokeo makubwa kwa wale wanaopambana kimya kimya na maradhi niliyokutajia hapo juu…
Je, Umewahi kutumia Majani ya mpera katika Tiba zako ..?
Niambie uliyatumia kutatua changamoto Gani kwenye comment tujadiliane kitaalamu....FUNGUKA...👇
Jifunze na chukua hatua kuboresha afya yako...🩺📌