AFYA TIBA

AFYA TIBA Karibu upate elimu kuhusu matatizo ya uti wa mgogo na mifupa

Eddy b ft best naso Coming soon
02/10/2023

Eddy b ft best naso
Coming soon

Happy birthday to you
13/07/2023

Happy birthday to you

Afya ya mifupa na maungio hujengwa zaidi na madini ya calcium na uwepo wa vitamin D ,hivyo basi Ili kuepukana na changam...
08/08/2022

Afya ya mifupa na maungio hujengwa zaidi na madini ya calcium na uwepo wa vitamin D ,hivyo basi Ili kuepukana na changamoto za mifupa ,maungio ,mikono na miguu kuwaka moto tunakukaribisha kwenye huduma zetu za kiafya .

Karibu utatue changamoto yako

Call/Whatsapp 0699143720

07/08/2022

Je? Ni vyakula Gani vinavyo weza kuimarisha mifupa yako?
Vyakula ni muhimu Sana katika kuimarisha Afya yako kwa ujumla sio mifupa tu, vyakula hubeba sehemu kubwa katika kuimarisha Afya yako.
Leo nitakupa orodha ya baadhi ya vyakula vinavyoweza kufanya kazi ya kujenga mifupa na maungio.

1:MAZIWA
Maziwa hasa mtindi husaidia kwakiasi kikubwa kuimarisha mifupa yako , kwasababu mtindi unamadini ya calcium ambayo ni mhimu Sana katika Afya ya mifupa

2: MAHARAGE
Maharage ni muhimu Sana katika mifupa , kwasababu maharage Yana protein ambayo hujenga mifupa.

3:SAMAKI
Kwakawaida samaki Huwa na mafuta yaitwayo omega-3,na vitamin D na hayo mafuta ya samaki omega-3 husaidia mifupa kuimarika na kupona haraka endapo itavunjika.

4: MBEGU ZA MABOGA
pia husaidia kuimarisha mifupa yako .

5:PILIPILI MBOGA
Haswa nyekundu inavitamini C ambayo husaidia kutengeneza collagen , ambayo ni mhimu Sana katika kutengeneza mifupa iliyo vunjika.

Kwa ushauri zaidi kuhusu Afya yako

Piga/Whatsapp 0699143720

06/08/2022

MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO ( JOINTS)
Huenda limekuwa tatizo linalokusumbua Sana kwa mda mrefu bila kujua jinsi Gani utaweza kudhibiti hili tatizo , usihofu Cha msingi jaribu kusoma makala hii kuhusiana na matatizo ya mifupa na joints(MAUNGIO)

Kwanza kabisa inakupasa ufahamu jinsi mifupa ilivyo unganika katika sehem mbalimbali za mwili, mfano kwenye goti la binadamu kuna mifupa miwili ,mfupa wa paja na mfupa wa mguu, hii mifupa miwili imeunganishwa na ligaments ambazo zime zunguka joint na hizi ligaments ziko flexible zinaweza kukunjwa bila shida, pia kuna katika ya joint kuna sehemu laini ya nyma inayo itwa cartilage (gegedu) hii usaidia kuzuia msuguano wa mifupa hii miwili yaani mfapa wapaja na mfupa wa mguu, pia kuna utando ( synovial membrane) ambao huzalisha Ute Ute kwenye joint (synovial fluid) inayosaidia kulainisha MAUNGIO kusiwepo na msuguano wowote,hivyo basi nimuhimi Sana kulinda hizi sehemu zisidhurike kwa namna yoyote Ile.

SABABU ZINAZO PELEKEA MAUMIVU KATIKA MIFUPA NA MAUNGIO.

1.UPUNGUFU WA MADINI YA CALCIUM
Calcium ni madini yanayo imarisha cell zinazo Unda mifupa, hivyo basi k**a haya madini yatapungua kunauwezekano mkubwa wakupa magonjwa ya mifupa.

2.KUPUNGUA KWA UTE UTE KWENYE MAUNGIO YA MIFUPA
K**a tulivo ona mwanzoni ,Ute Ute huu ( synovial fluid) husaidia kulainisha maungio ya mifupa yasikak**ae, kwa hivyo ikitokea uteute umepungua kwa kukosa virutubisho sahihi hupelekea kupata shida ya mifupa.

3.KUHARIBIKA KWA GEGEDU (CARTILAGE)
Gegedu ( cartilage) huzuia msuguano katikati ya maungio ya mifupa , hivyo endapo cartilage itaharibika matokeo yake ni mifupa kusagana jambo ambalo hupelekea Maumivu makali hata ulemavu.

4.UZITO MKUBWA
Uzito mkubwa nichanzo kikubwa Cha matatizo ya mifupa haswa uti wa mgongo na magoti maana hizi ni sehemu muhimu kwa ajili ya kubalansi uzito wa mwili ,hivyo basi uzito ukizidi uti wa mgongo hupata hitirafu kubwa na kupelekea kuathiri utendaji kazi wa neva na mishipa ya fahamu.

Kwa msaada 0768455318

30/07/2022

Maumivu ya uti wa mgongo ,ni changamoto ambayo Imekuwa ikiwasumbua watu wa rika tofauti tofauti ,ikitegemea zaidi mfumo wa maisha ya kila siku , Mambo yanayoweza kusababisha hii Hali ni pamoja na:-

1:UMRI, umri umekuwa sababu kubwa inayo sababisha Maumivu ya uti wa mgongo kwa sababu ya kuchoka zaidi kwa mifupa au pingili zinazo Unda uti wa mgongo.

2: KUBEBA MIZIGO, kuna namna bora ya kitaalam jinsi ya kubeba mizigo ,lakini watu wengi hawana elimu juu ya ubebaji sahihi wa mizigo hivyo kupelekea kuumia uti wa mgongo kwa sababu ya ubebaji mbovu wa mizigo


3:KUKAA MDA MREFU,hii huwasumbua Sana watu wanao fanya kazi zao kwa kukaa k**a vile madereva , mafundi ,wasusi, n.k,hii hupelekea mgongo kuanza kuuma kwa sababu ya kukaa Sana.

4:KUTOKUFANYA MAZOEZI, Mazoezi ni jambo mhimu Sana katika Afya ya mwanadamu ,hivyo basi k**a hutojihusisha kufanya mazoezi kuna asilimia kubwa ya kupata shida mbali mbali za kiafya likiwemo la uti wa mgongo.

5: ULEMAVU,Hii huwapa zaidi watu wenye ulemavu k**a vile mguu mmoja kuwa mfupi hii inaweza kusababisha uti wa mgongo kutokupata balansi Hadi kupelekea Maumivu

6: MAGONJWA,Kuna baadhi ya magonjwa yanayoweza kushambulia uti wa mgongo ,k**a vile homa ya uti wa mgongo, TB ya uti wa mgongo, hivyo basi huweza kusababisha Maumivu makali

HONGERA KWA KUJALI AFTA YAKO!! KARIBU

Send a message to learn more

Address

Dar Es Salaam
Tabata

Telephone

+255699143720

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA TIBA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram