05/05/2025
BAWASIRI
Bawasiri katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa
Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.
Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.
Kuna aina kuu mbili za bawasiri :
1. Bawasiri ya nje
2.Bawasiri ya ndani.
Bawasiri hii ya ndani ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri yandani kutokua na maumivu wakati inaanza.
SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI
Ugonjwa huu wa bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo;
(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
Bawasiri iliyotokeza nje katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa
ATHARI ZA BAWASIRI
* Upungufu wa damu mwilini
* Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
* kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
* kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
* kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
* Kupata tatizo la kisaikolojia
NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
* Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
* kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
* Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
* Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
AINA ZA BAWASIRI
{1}BAWASIRI YA NDANI
~hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii ya bawasiri imegawanyika katika madaraja manne
DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
DARAJA LA TATU ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
DARAJA LA NNE ~hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
[2}BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI
~Ugonjwa huu wa bawasiri mpaka sasa chanzo chake hasa hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo na hukuweka katika hatari ya kupata tatizo hili
~KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
~TATIZO SUGU LA KUHARISHA
~UJAUZITO
~UZITO MKUBWA
~MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
~KUPATA KINYESI KIGUMU KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
kupata kinyesi chenye damu
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
~ matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI bawasiri fluid na bawasiri powder hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata k**a ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri
ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI
MADHARA YA BAWASIRI
~Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri
KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI
HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU
HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
KUPATA KANSA YA YTUMBO
✍⭕🤦🏻♂️ CHUKUA DAKIKA MOJA SOMA KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻♂️⭕
➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA KUKIMBIZWA HOSIPITALI KWA TATIZO AMBALO UNAUWEZO WAKULITATUA MAPEMA?
➖KWANINI UNASHINDWA KUUTHAMINI MWILI WAKO WAKATI NDIO UNAOKUFANYA UFANIKIWE?
🎯 AFYA NJEMA YA MWILI WAKO NI UZIMA WAKO, NA NDIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA.
💌 KARIBU UFANYE CHECKUP YA MWILI MZIMA KWA 30000 TU
🔰 HII NI OFA KWA AJILI YAKO.
🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,
📲 K**a Ndio Napenda Nikukaribishe katika ofisi zetu
💥Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya/ Mwili Mzima(Fullbody Checkup) Kwa 30,000 tu
Tunapatikana Dar es salaam na mikoani pia
🌹KARIBUNI SANA
Tupigie Kwa Namba
📞 +255750666774
🩸Au Wasiliana na Doctor kwa Njia ya Whatsapp https://wa.me/message/EH762NL4UTVWN10750 666 774