AFYA YAKO

AFYA YAKO Hellow Friends, I am glad to tell you that For the First time I'm up to you trying to share some he

Jali afya yakooo na πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
06/06/2024

Jali afya yakooo na πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Watch, follow, and discover more trending content.

Hii ni Brain wash. Unatakiwa kuwa unafanya challenges ndogo ndogo za ubongo ili kuufanya uwe Active always.
02/06/2024

Hii ni Brain wash. Unatakiwa kuwa unafanya challenges ndogo ndogo za ubongo ili kuufanya uwe Active always.

Watch, follow, and discover more trending content.

Jifunze Kutambua Nyakati....mbaya na nzuri
23/05/2024

Jifunze Kutambua Nyakati....mbaya na nzuri

Watch, follow, and discover more trending content.

TIPSπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡1... Jipende2.... Jilinde na magonjwa3..... Jikubali4.... Pima kwa maana ya Checkup hata k**a             ...
23/05/2024

TIPSπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1... Jipende
2.... Jilinde na magonjwa
3..... Jikubali
4.... Pima kwa maana ya Checkup hata k**a
huumwi
5..... Jipe Muda wa kupumzika
6.... Kula vizuri na Kunywa Vizuri
7..... Furahia maisha yako kwa wakati uliopo
8.....Fanya mazoezi
9.....Tembelea mazingira unayo yapenda walau maramoja kwa wiki
10.... Wasiliana na familia yako

19/05/2024

Ishi Maisha ya kujali afya yako kila wakati ....

1. Usilazimishe kufikiri kufanya vitu ambavyo kwa wakati husika hauwezi kuvifanya. Mfano. Unakipato cha sh. Lakimoja kwa mwezi unawaza kujenga nyumba mjini. Huko ni kuumiza akili wacha kujifariji ati inawezekana.

2. Usiweke watu na matendo yao katika kichwa chakoo....
Kichwa chako kina thamani na kina weza kufikiri au kuhifadhi mambo muhimu kuliko kuliko majina yao wala maisha yao.

3. Weka utaratibu wa kupima afya yako kila wakati hata k**a huumwi na haswa vipimo vya magpnjwa ambayo si ya kuambukiza. Mfano SUKARI na PRESHA YA DAMU na MAPIGO YA MOYO

4. Kula vizuri, Kunywa vizuri, Fanya starehe unayo ipenda mara nyingi lakini hakikisha haikwazi wengine ikiwemo mazoezi madogo madogo.

5. Pata muda wa Kutafakari maisha yako ukiwa pekeako au na wengine. Hili linamaanisha Mshirikishe Mungu au nguvu za kiroho kadri unavyo amini wewe ili kuamsha uwezo wa kutambua nyakati kiroho zaidi.

Hapa utaish kwa raha sana rafikiangu.

19/07/2023

TUAMBIEE UNACHOKIJUA HAPA LEO.

TUTHAMINI KUPIMA KWA USAHIHI...KULIKO TULICHOZOEA KUSIKIA.

Afya yako.... Je?Si mhimu kuliko? ISHI KWA MSISIMKO. AFYA KAMILI LADHA YA MAISHA.
19/07/2023

Afya yako.... Je?
Si mhimu kuliko?
ISHI KWA MSISIMKO. AFYA KAMILI LADHA YA MAISHA.

I have reached 700 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰
19/07/2023

I have reached 700 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Address

Tanga Town
Tanga
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram