Dr. Love Tanzania

Dr. Love Tanzania UKISHINDWA KUMUDU MAHUSIANAO YA AINA YEYOTE UMESHINDWA KILA KITU,
TECHNOLOGY IS INFLUENTIAL ETERNALLY.

Mara nyingi watu wengi huumizwa hasa kihisia na watu wanaowaani kupita maelezo.   #
23/08/2025

Mara nyingi watu wengi huumizwa hasa kihisia na watu wanaowaani kupita maelezo.
#

Maisha yana fumbo kubwa sanaa.Mungu wa mbinguni atujalia nguvu ya kusonga mbele
14/06/2024

Maisha yana fumbo kubwa sanaa.
Mungu wa mbinguni atujalia nguvu ya kusonga mbele

05/06/2024

Ukiwa kiongozi wa aina yeyote tambua kuwa Kuna watu wanauwezo.
Na wanaweza kukuongoza wewe pia
Just a matter of time.

05/06/2024

Linda sana hivi vitu visikupotee.
Furaha,
Upendo,
Amani.

05/06/2024

Kamwe usisubiri watu wayatambue madhaifu yako kabla yako.
Inakupasa uyajue mwenyewe.
Sio mpaka uambiwe

Uwezekano wa kuishi visuri na mpenzi/familia; unatafsiriwa na aina ya tabasamu lako la muda uliopita inaweza kuwa ni mia...
27/05/2024

Uwezekano wa kuishi visuri na mpenzi/familia; unatafsiriwa na aina ya tabasamu lako la muda uliopita inaweza kuwa ni miaka kumi au zaidi

I love you not only for what you are, but for what I am when I am with you. I love you not only for what you have made o...
22/09/2023

I love you not only for what you are, but for what I am when I am with you. I love you not only for what you have made of yourself, but for what you are making of me. I love you for the part of me that you bring out.

Huu ndiyo ukweli wapendwa
18/09/2023

Huu ndiyo ukweli wapendwa

Ikiwa mwanaume utamwamini mama yako mzazi kiasi cha kumwandikisha Mali zako zote basi Ww na mama yako ni malumbukeni kwa...
17/04/2023

Ikiwa mwanaume utamwamini mama yako mzazi kiasi cha kumwandikisha Mali zako zote basi Ww na mama yako ni malumbukeni kwa sababu mama yako kabla ya kuwa mama alikuwa mpenzi ama mchumba wa kijana k**a HAKIMU.
BY SirYonah PHILOSOPHER by NATURE.

Kila MWANAMKE/MWANAUME ni mzuri na ni wakawaida TUU. Isipokuwa ww unampa nafasi gani Katika maisha na michakato yako.Mwi...
16/03/2023

Kila MWANAMKE/MWANAUME ni mzuri na ni wakawaida TUU. Isipokuwa ww unampa nafasi gani Katika maisha na michakato yako.
Mwisho wa yote tupunguze njaa na uroho wa kutaka kufullfill needs zetu kifedha , maana kwa Sasa wanawake na wanaume wote wanadanga.

16/03/2023

Ukiweza kuishi haya maisha nje na ndani ya mitandao ndo pale ambapo utkuwa umeweza kulitumia Neno mapenzi ama mahaba .
KingKiba anasema hayapo.
#

Mapenzi si k**a maua ambayo huchanua na mwisho hunsinyaa na kunyauka kabisa hivyo vijana lazima tuwe na utambuzi tusiwe ...
13/02/2023

Mapenzi si k**a maua ambayo huchanua na mwisho hunsinyaa na kunyauka kabisa hivyo vijana lazima tuwe na utambuzi tusiwe k**a maua kwenye mapenzi.
By Dr.Love Tanzania z!

Address

NO. 7
Tanga

Telephone

+255716032187

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Love Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Love Tanzania:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram