Rucho Herbal Clinic

Rucho Herbal Clinic Tunahusika na Tiba Asili/Tiba mbadala na Lishe pamoja na kutoa Elimu juu ya magonjwa mbalimbali na Tiba zake
Karibu sana ndugu mpendwa �

____________________________Je, Wewe Ni Muhanga Mwenye Tatizo La Kiungulia tumboni au Vidonda vya tumbo.?>> K**a Jibu Ni...
29/03/2024

____________________________

Je, Wewe Ni Muhanga Mwenye Tatizo La Kiungulia tumboni au Vidonda vya tumbo.?

>> K**a Jibu Ni Ndio, Basi Ningependa Kuongea Na Wewe.

● Kwa Jina Naitwa Herbalist Rucho

○ Nawasaidia Wahanga Wa Matatizo Ya Mfumo Wa Mmeng'enyo wa Chakula Kutatua Tatizo La Kiungulia tumboni au Vidonda vya tumbo.

👉 Kupitia Program Ya Lishe dawa Na Miongozo Muhimu

● Nataka Kuandaa Darasa La Bure Kwaajili Yako La Namna Ya Kutatua Tatizo Lako La Vidonda Vya Tumbo Au Kiungulia Tumboni.

🪀 K**a Utapenda Kuhudhuria Darasa Hilo, Naomba Ucomment Namba Yako Ya WhatsApp Hapa Chini, Au Nitumie Ujumbe WhatsApp Kwenda No.+255 787 278 759

🩺 Kisha Nitawasiliana Na Wewe Ili Kuelewa Vizuri Changamoto Uliyonayo, Ili Nipate Kukuandalia Wewe Pamoja Na Wenzako Darasa La Bure Kabisa Kupitia Group La WhatsApp

👉 🪀 Comment Namba Yako Hapa Chini Mara Moja Kabla Group Letu Kujaa.

🤝 Ni Mimi Rucho Mwenye Kujali Mafanikio Yako

From: Rucho Herbal Clinic 🇹🇿
🪀 +255 787 278 759
📲 +255 717 668 927

____________________________

_________________________________________KWANINI WAKATI MWINGINE NI NGUMU KUPONA ACID REFLUX.?Jawabu⬇️⬇️⬇️⚫Acid reflux n...
07/06/2023

_________________________________________

KWANINI WAKATI MWINGINE NI NGUMU KUPONA ACID REFLUX.?

Jawabu
⬇️⬇️⬇️

⚫Acid reflux ni hali ambayo tindikali kutoka kwenye tumbo hupanda juu hadi kwenye umio na koo. Sababu za kwa nini inaweza kuwa ngumu kupona acid reflux ni pamoja na:

1.🖇️ Kula vyakula vyenye tindikali: Vyakula k**a vile matunda ya citrus, pombe, kahawa, na vyakula vyenye mafuta mengi vinaweza kusababisha acid reflux.

2.🖇️ Kuvaa nguo zisizolingana: Nguo zinazobana sana kwenye tumbo na kiuno zinaweza kuchochea acid reflux.

3.🖇️ Kuzidi uzito: Kuzidi uzito kunaweza kusababisha shinikizo kubwa kwenye tumbo na kusababisha tindikali kupanda juu hadi kwenye koo.

4.🖇️ Kuvuta sigara: Sigara inaweza kusababisha misuli ya umio kuwa dhaifu na hivyo kuwezesha tindikali kupanda juu.

5.🖇️ Kula chakula kabla ya kulala: Kula chakula na kulala mara moja baadaye kunaweza kusababisha tindikali kupanda juu hadi kwenye koo.

6.🖇️ Kupungua kwa sphincter ya chini ya umio: Kupungua kwa sphincter ya chini ya umio kunaweza kusababisha tindikali kupanda juu hadi kwenye koo.

Matibabu ya acid reflux yanaweza kujumuisha dawa, mabadiliko ya maisha, na upasuaji katika hali mbaya zaidi. Kwa kuwa sababu za acid reflux ni nyingi, inaweza kuwa ngumu kupona kabisa. Ni muhimu kufuata ushauri wa daktari na kufanya mabadiliko ya maisha ili kupunguza dalili za acid reflux.

⚫ WAHI MATIBABU MAPEMA KABLA HAIJAKULETEA MADHARA MAKUBWA YASIYOTIBIKA KIRAHISI

________________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

_____________________________________________D. HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CAN...
07/06/2023

_____________________________________________

D. HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER)

Hatua hii inawakilisha matatzo makubwa zaidi kwa GERD ya muda mrefu na inakadiriwa ya kwamba,asilimia 10% ya wagonjwa wa GERD hufikia hatua hii ikiwa GERD haijadhibitiwa kwa muda mrefu. Hatua hii mgonjwa anaweza kupata Kansa ya koo nk.

DALILI ZA GERD HATUA YA NNE

1.🖇️ Kiungulia kikali
2.🖇️ Kucheua vyakula na vinywaji
3.🖇️ Sauti kukwaruza
4.🖇️ Kikohozi kikali
5.🖇️ Chakula kukwama kooni/kunasa koona wakati wa kula.
6.🖇️ Pamoja na dalili zote zilizopo katika hatua ya 3 ya GERD.

⚫Katika hatua hii mgonjwa anaweza kupata changamoto k**a vile esophageal strictures ,Barrett’s esophagus na hata KANSA YA KOO *(esophageal cancers)

______________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

07/06/2023

_____________________________________________

C. HATUA YA TATU YA GERD (SEVERE GERD)

Katika hatua hii,asilimia 15% ya wagonjwa waliopo katika hatua hii hupata dalili za GERD kali mara nyingi zaid kwa wiki au kila siku.

*DALILI ZA GERD HATUA YA TATU (SEVERE GERD)*

1.🖇️ Kiungulia kikali
2.🖇️ Kucheua sana chakula na vinywaji na wakati mwingine kucheua Acid (uchachu)
3.🖇️ Kuvimba kwa koo(sore throat)
4.🖇️ Kikohozi kisichoisha
5.🖇️ Sauti ya kukwaruza
6.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda kasi
7.🖇️ Wasiwasi uliopita kiasi bila sababu
8.🖇️ Kuota ndoto za kutisha
9.🖇️ Kichwa Kuvurugika na kuhisi kuchanganyikiwa
10.🖇️ Kizunguzungu
11.🖇️ Maumivu ya kichwa
12.🖇️ Macho kupungua nguvu ya kuona
13.🖇️ Maumivu makali ya mgongo
14.🖇️ Mwili kudhoofika
15.🖇️ Kuhisi dunia imekutenga
16.🖇️ Kujisaidia choo kigumu zaidi.

⚫ Katika hatua hii,GERD isipochukuliwa hatua basi kuna hatari ya mtu kupata matatzo makubwa zaid ya kiafya k**a vile KANSA YA KOO (EUSOPHAGEAL CANCER).

_____________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

07/06/2023

_____________________________________________

B. HATUA YA PILI YA GERD (MODERATE GERD)

Katika hatua hii,watu wenye GERD hupatwa na dalili za GERD mara kadhaa ndani ya wiki na dalili zake hutokea mara kwa mara ukilinganisha na Hatua ya kwanza na dalili huanza kuwa kali kiasi.

DALILI ZA GERD HATUA YA PILI (MODERATE GERD)

1.🖇️ Kiungulia kikali kiasi
2.🖇️ Maumivu ya kifua
3.🖇️ Kuhisi uteute wenye kunata kooni
4.🖇️ Kucheua chakula au vinywaji
5.🖇️ Moyo kupaparika(Heart palpation)

⚫ Katika hatua hii,mtu anahitajia matibabu ya dawa pia kumshirikisha daktar kwaajili ya ushauri wa kimatibabu na dawa.

____________________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

07/06/2023

______________________________________________

A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD).

● Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana.

DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD GERD)

1.🖇️ Kiungulia
2.🖇️ Maumivu ya kifua
3.🖇️ Kuhisi k**a kuna vitu vya kunata katika kooni
4.🖇️ Kucheua chakula au vinywaji

⚫ Katika Hatua hii,mtu anaweza kujitibia kwa kubadili mfumo wake wa maisha kwa kuepuka vyakula na mifumo isiyofaa kutokana na hali yake mfano ajiepushe na Caffeine, pombe,vyakula vyenye mafuta mengi nk. Lakini pia ni rahisi mgonjwa kupona akitumia dawa katika hatua hii ya awali.

____________________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

07/06/2023

______________________________________________

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)

⚫ Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🖇️Kichefuchefu na kutapika.

_______________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

07/06/2023

______________________________________________

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI

1.🖇️ Uvutaji wa sigara
2.🖇️ Unywaji wa pombe
3.🖇️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🖇️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🖇️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🖇 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🖇️ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.🖇️ Kuwa Mjamzito
9.🖇️ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🖇️ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

_________________________
Dr.Rucho
+255 787 278 759
+255 717 668 927

________________________________________________TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)Gastroeso...
07/06/2023

________________________________________________

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

Gastroesophageal reflux disease (GERD);

⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

__________________________
Dr.Rucho
From Rucho Herbal Clinic Tanzania
+255 787 278 759
+255 717 668 927

Address

Pongwe
Tanga
12345

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rucho Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Rucho Herbal Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram