Tiba Fasta

Tiba Fasta Ukurasa wa dondoo na makala za afya kwa lugha nyepesi.

Kulingana na watafiti: Ikiwa unahitaji kutuliza mwili baada ya kazi za kutwa nzima ni vyema kunywa mvinyo/divai (wine) n...
06/01/2025

Kulingana na watafiti: Ikiwa unahitaji kutuliza mwili baada ya kazi za kutwa nzima ni vyema kunywa mvinyo/divai (wine) na ukiwa unahitaji kujiamini na kuhisi hamu ya mapenzi kunywa vinywaji vikali (spirits).

Hatua kubwa katika kudhibiti Virusi vya UKIMWI (VVU) imepigwa ambapo wanaoishi na VVU kutotumia dawa kila siku badala ya...
27/11/2024

Hatua kubwa katika kudhibiti Virusi vya UKIMWI (VVU) imepigwa ambapo wanaoishi na VVU kutotumia dawa kila siku badala yake watatumia dawa za mara mbili kwa mwaka, mara 6 kwa mwaka au mara 12 kwa mwaka mzima.

Bill Gates explains new HIV PrEP drugs—lenacapavir, cabotegravir, MK-8572, and combined PrEP-contraception—that offer protection without needing daily pills.

Kupata usingizi wa kutosha angalau masaa 7 hadi 8 wakati wa usiku husaidia mwili kupambana na mkazo (stress) na kuimaris...
24/11/2024

Kupata usingizi wa kutosha angalau masaa 7 hadi 8 wakati wa usiku husaidia mwili kupambana na mkazo (stress) na kuimarisha mifumo ya mwili.

Unapokuwa na hasira au wasiwasi mwingi, kuvuta pumzi nzito na kuitoa taratibu ni moja ya njia bora inayoweza kukupa aman...
05/08/2024

Unapokuwa na hasira au wasiwasi mwingi, kuvuta pumzi nzito na kuitoa taratibu ni moja ya njia bora inayoweza kukupa amani ya moyo na akili kwa uharaka zaidi. https://buff.ly/3ks5pwV

UTAFITI: Wanaume kufanya mazoezi huboresha mbegu za kiume na kufanya ziongeze uwezo wa kusababisha mimba. Vitu vingine v...
05/08/2024

UTAFITI: Wanaume kufanya mazoezi huboresha mbegu za kiume na kufanya ziongeze uwezo wa kusababisha mimba. Vitu vingine vinavyopendekezwa ni kula mlo kamili, kuwa na uzito unaoendana na kimo chako kiafya n.k! https://buff.ly/3kDgY4M

Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele (Neglected Tropical Diseases/NTDs) mfano minyoo, kichocho, trakoma, matende na mabusha ni...
04/02/2023

Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele (Neglected Tropical Diseases/NTDs) mfano minyoo, kichocho, trakoma, matende na mabusha ni kundi la magonjwa linaloathiri zaidi ya watu bilioni 1.6 duniani kote hasa watu wenye hali ya chini. Kufahamu mengi ungana nami saa 4:30 hadi saa 5:00 kupitia

Watafiti wamedai kuna athari kubwa kwenye vipodozi vinavyotumika kwa ajili ya urembo k**a shampuu za nywele ambazo zimed...
11/08/2022

Watafiti wamedai kuna athari kubwa kwenye vipodozi vinavyotumika kwa ajili ya urembo k**a shampuu za nywele ambazo zimedaiwa kusababisha nywele kunyonyoka na kusababisha kipara kwa baadhi ya watumiaji.

Vitamini D ambayo mara nyingi hutokana na mwanga wa jua ni muhimu kwa kuimarisha mifupa na ubongo. Ila tafiti za hivikar...
10/08/2022

Vitamini D ambayo mara nyingi hutokana na mwanga wa jua ni muhimu kwa kuimarisha mifupa na ubongo. Ila tafiti za hivikaribuni zimedai vitamini hiyo huimarisha kinga ya mwili na kumkinga mtu dhidi ya maradhi ya mfumo wa upumuaji k**a mafua.

Mgonjwa anahitaji vyakula vya kujenga mwili zaidi kuliko mtu mzima. Pia anahitaji vyakula vinavyoweza kumsaidia apone ha...
09/08/2022

Mgonjwa anahitaji vyakula vya kujenga mwili zaidi kuliko mtu mzima. Pia anahitaji vyakula vinavyoweza kumsaidia apone haraka mfano matunda, mboga za majani, maziwa, nyama, mayai na samaki.

Dumisha uzito unafaa kiafya yaani uwiano wa uzito na kimo chako (body mass index) uwe mzuri kiafya. Kuwa na uzito kupita...
06/08/2022

Dumisha uzito unafaa kiafya yaani uwiano wa uzito na kimo chako (body mass index) uwe mzuri kiafya. Kuwa na uzito kupita kiasi au chini ya kiasi pendekezwa cha afya huathiri homoni za uzazi na kufanya kupungukiwa ufanisi kwenye tendo la ndoa.

Kukanda mwili hulegeza misuli, huboresha mzunguko wa damu na kuondoa kemikali zinazorundamana kwenye tishu. Wenye matati...
01/08/2022

Kukanda mwili hulegeza misuli, huboresha mzunguko wa damu na kuondoa kemikali zinazorundamana kwenye tishu. Wenye matatizo k**a vile maumivu ya mgongo, maumivu ya kichwa na matatizo ya mmeng’enyo wa chakula wanaweza kukandwa mwili na kupona haraka.

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Fasta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba Fasta:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram