Peptic & Acid Solution

Peptic & Acid Solution Ninawasaidia Wahanga Wa Vidonda Vya Tumbo Na Kuzidi Kwa Acid Tumboni Kwa Kutumia Mimea Dawa Na Lishe

DIGESTIVE SYSTEM __________________________ Are you a victim of the problem of ACID REFLUX or STOMACH ULCER .❓ ➡️ If the...
01/05/2024

DIGESTIVE SYSTEM
__________________________

Are you a victim of the problem of ACID REFLUX or STOMACH ULCER .❓

➡️ If the Answer is YES, then I would like to know your situation and the stage you have reached Are you ready.?

● My personal name is Herbalist Rucho

➖️ I help victims of DIGESTIVE SYSTEM problems such as: Acid reflux, Peptic Ulcers and Gastritis

👉 Through the NUTRITION MEDICINE program along with IMPORTANT GUIDELINES

➡️ But I also wanted to prepare TOTALLY FREE CLASS for you on how to solve your problem of heartburn or stomach ulcers. Are you ready to attend the Class?

👉 If you don't mind, then click the LINK below to get me directly on WhatsApp so that I can get your complete answers and information.

⤵️⤵️⤵️

https://wa.me/message/PGIVY6D5OKDFG1

🤝 I am Rucho who cares about your health and success

__________________
Pongwe, Tanga 🇹🇿
WhatsApp: +255 787 278 758

____________________________Je, Wewe Ni Muhanga Mwenye Tatizo La Kiungulia tumboni au Vidonda vya tumbo.?>> K**a Jibu Ni...
29/03/2024

____________________________

Je, Wewe Ni Muhanga Mwenye Tatizo La Kiungulia tumboni au Vidonda vya tumbo.?

>> K**a Jibu Ni Ndio, Basi Ningependa Kuongea Na Wewe.

● Kwa Jina Naitwa Herbalist Rucho

○ Nawasaidia Wahanga Wa Matatizo Ya Mfumo Wa Mmeng'enyo wa Chakula Kutatua Tatizo La Kiungulia tumboni au Vidonda vya tumbo.

👉 Kupitia Program Ya Lishe dawa Na Miongozo Muhimu

● Nataka Kuandaa Darasa La Bure Kwaajili Yako La Namna Ya Kutatua Tatizo Lako La Vidonda Vya Tumbo Au Kiungulia Tumboni.

🪀 K**a Utapenda Kuhudhuria Darasa Hilo, Naomba Ucomment Namba Yako Ya WhatsApp Hapa Chini, Au Nitumie Ujumbe WhatsApp Kwenda No.+255 787 278 759

🩺 Kisha Nitawasiliana Na Wewe Ili Kuelewa Vizuri Changamoto Uliyonayo, Ili Nipate Kukuandalia Wewe Pamoja Na Wenzako Darasa La Bure Kabisa Kupitia Group La WhatsApp

👉 🪀 Comment Namba Yako Hapa Chini Mara Moja Kabla Group Letu Kujaa.

🤝 Ni Mimi Rucho Mwenye Kujali Mafanikio Yako

From: Rucho Herbal Clinic 🇹🇿
🪀 +255 787 278 759
📲 +255 717 668 927

____________________________

Feedback of Lishe Dawa
14/03/2024

Feedback of Lishe Dawa

Feedback of Lishe Dawa
14/03/2024

Feedback of Lishe Dawa

Mrejesho/Feedback of Lishe Dawa
14/03/2024

Mrejesho/Feedback of Lishe Dawa

Mrejesho/Feedback Lishe Dawa
14/03/2024

Mrejesho/Feedback Lishe Dawa

____________________________Je, Wewe Ni Muhanga Mwenye Tatizo La Vidonda Vya Tumbo Au Kiungulia Tumboni.?>> K**a Jibu Ni...
10/03/2024

____________________________

Je, Wewe Ni Muhanga Mwenye Tatizo La Vidonda Vya Tumbo Au Kiungulia Tumboni.?

>> K**a Jibu Ni Ndio, Basi Ningependa Kuongea Na Wewe.

● Kwa Jina Naitwa Herbalist Rucho

○ Nawasaidia Wahanga Wa Matatizo Ya Mfumo Wa Chakula Kutatua Tatizo La Vidonda Vya Tumbo Au Kiungulia Tumboni.

👉 Kupitia Program Ya Lishe dawa Na Miongozo Muhimu

● Nataka Kuandaa Darasa La Bure Kwaajili Yako La Namna Ya Kutatua Tatizo Lako La Vidonda Vya Tumbo Au Kiungulia Tumboni.

🪀 K**a Utapenda Kuhudhuria Darasa Hilo, Naomba Ucomment Namba Yako Ya WhatsApp Hapa Chini, Au Nitumie Ujumbe WhatsApp Kwenda No.+255 787 278 759

🩺 Kisha Nitawasiliana Na Wewe Ili Kuelewa Vizuri Changamoto Uliyonayo, Ili Nipate Kukuandalia Wewe Pamoja Na Wenzako Darasa La Bure Kabisa Kupitia Group La WhatsApp

👉 🪀 Comment Namba Yako Hapa Chini Mara Moja Kabla Group Letu Kujaa.

🤝 Ni Mimi Rucho Mwenye Kujali Mafanikio Yako

From: Rucho Herbal Clinic 🇹🇿
🪀 +255 787 278 759
📲 +255 717 668 927

____________________________

VICHOCHEZI NA PIA VINAWEZA KUWA NI SABABU WAKATI FULANI______________________⚫️ Matumizi ya mara kwa mara ya dawa fulani...
08/03/2024

VICHOCHEZI NA PIA VINAWEZA KUWA NI SABABU WAKATI FULANI
______________________

⚫️ Matumizi ya mara kwa mara ya dawa fulani za kupunguza maumivu. Kumeza aspirini, pamoja na dawa fulani za maumivu zinazoitwa nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) , zinaweza kuwasha au kuwasha utando wa tumbo na utumbo mwembamba.

Dawa hizi ni pamoja na ibuprofen (Advil, Motrin IB, wengine), sodiamu ya naproxen (Aleve, Anaprox DS, wengine), ketoprofen na zingine.

NB: Ni muhimu kuzingatia matumizi sahihi ya dawa. Pia kuepuka kutumia dawa kabla ya kuonana na mtaalamu wako wa Afya ili kuepukana na matatizo mengine makubwa zaidi.

Hakikisha unafanya vipimo na kupata matibabu sahihi kwa wakati sahihi.

🤝 Kwa ushauri zaidi na msaada wa kimatibabu, basi usisite kuwasiliana nasi.

_____________________
& Acid Solution
From: Rucho Herbal Clinic
+255 717 668 927

FANYA HIVI KUJITIBU MWENYEWE UGONJWA WAKO_____________________Tafuta Unga Fresh wa mbegu za parachichi (ambao haujachang...
08/03/2024

FANYA HIVI KUJITIBU MWENYEWE UGONJWA WAKO

_____________________

Tafuta Unga Fresh wa mbegu za parachichi (ambao haujachangwa wala kuchakachuliwa) kiasi cha nusu kilo ½.
Tumia kwa kuchota na kijiko kidogo cha chai ujazo wa wastani chota kijiko kimoja tu. Changanya ndani ya maji ya moto ujazo wa kikombe kimoja cha chai (robo lita ¼Ltr).
Koroga vizuri dawa yako mpaka ichanganyike vizuri kabisa kwa muda wa dk 2 mpaka 3, acha ipoe kidogo na uichuje kisha kunywa ikiwa ni ya uvuguvugu na siyo baridi.

Fanya hivyo kila siku kutwa mara 3 au 2, tumia doze hiyo kwa muda wa mwezi mmoja. Ijapo doze ni kulingana na muda na ukubwa wa tatizo lako.

NB: Kumbuka kuwasiliana na mtaalamu wa Afya kabla ya kutumia dawa ya aina yoyote hile, Ili kupata uchunguzi zaidi na ushauri mzuri zaidi.

🤝 Usisite kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi.

_________________
& Acid Solution
From: Rucho Herbal Clinic
+255 717 668 927

SABABU KUU YA VIDONDA VYA TUMBO NI BACTERIA___________________⚫️ Vidonda vya peptic hutokea wakati asidi katika njia ya ...
08/03/2024

SABABU KUU YA VIDONDA VYA TUMBO NI BACTERIA
___________________

⚫️ Vidonda vya peptic hutokea wakati asidi katika njia ya utumbo inakula kwenye uso wa ndani wa tumbo au utumbo mdogo. Asidi hiyo inaweza kuunda kidonda kilicho wazi ambacho kinaweza kuvuja damu.

- Njia yako ya utumbo imefungwa na safu ya mucous ambayo kwa kawaida hulinda dhidi ya asidi. Lakini ikiwa kiasi cha asidi kitaongezeka au kiasi cha utando kitapungua, inaweza kuendeleza kidonda.

Sababu za kawaida ni pamoja na:

⚫️ Bakteria. Bakteria aina ya Helicobacter pylori kwa kawaida huishi kwenye safu ya mucous inayofunika na kulinda tishu zinazozunguka tumbo na utumbo mdogo. Mara nyingi, bakteria aina ya H. pylori husababisha matatizo yoyote, lakini inaweza kusababisha kuvimba kwa safu ya ndani ya tumbo, na kuzalisha kidonda.

🖇 Haijulikani jinsi gani maambukizi ya H. pylori huenea. Ispokuwa Inaweza kupitishwa kutoka kwa mtu hadi kwa mtu kwa mawasiliano ya karibu, k**a vile kumbusu. Watu wanaweza pia kuambukizwa H. pylori kupitia chakula, matapishi, kinyesi na maji.

👉 Ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa Afya ili kupata msaada zaidi wa kimatibabu.

__________________
& Acid Solution
From: Rucho Herbal Clinic
+255 717 668 927

Address

Machinjioni
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Peptic & Acid Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Peptic & Acid Solution:

Share