09/07/2025
FAHAMU SIKU ZA KUPATA UJAUZITO
KUTOKANA NA
MZUNGUKO WAKO;-
1. K**a mwanamke ana mzunguko wa
siku 22 inabidi afanye k**a ifuatavo:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
menstration cycle k**a hapa chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th,
17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.
Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi
nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona
kuwa siku ya kumi na tano inaangukia
kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo
8th day ndiyo siku ya mimba kwa
mwanamke yeyote ambaye ana
menstration cycle ya siku 22.
Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku
anayoanza ku-bleed!
2. K**a mwanamke ana mzunguko wa
siku 28 inabidi afanye k**a ifuatavo:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
mzunguko k**a hapa chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th,
17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd,
24th, 25th, 26th, 27th, 28th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi
nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona
kuwa siku ya kumi na tano inaangukia
kwenye 14th day. Inamaana kwamba
14th day ndiyo siku ya mimba kwa
mwanamke yeyote ambaye ana
menstration cycle ya siku 28.
Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku
anayoanza ku-bleed!
3. K**a mwanamke ana mzunguko wa
siku 35 inabidi afanye k**a ifuatavo:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
mzunguko k**a hapa chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th,
17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd,
24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th,
31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi
nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona
kuwa siku ya kumi na tano inaangukia
kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st
day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke
yeyote ambaye ana menstration cycle ya
siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo
siku anayoanza ku-bleed!
4. K**a mwanamke ana mzunguko wa
siku 15,BASI KUNA UWEZEKANO WA
KUTOPATA MIMBA KABISA K**A
INAVYOONEKANA HAPA CHINI:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
menstration cycle k**a kawaida:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi
nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona
kuwa siku ya kumi na tano inaangukia
kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the
1st day of her bleedind ndiyo siku ya
mimba kwa mwanamke yeyote ambaye
ana menstration cycle ya siku 15.
Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku
anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo
siku ambayo mwanamke wa kundi hili
anaweza kupata mimba!
Hii inamaana kwamba, siku ambayo
linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo
siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa
pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa.
Mwanamke wa aina hii anaweza kupata
mimba tu k**a atakutana na mwanaume
siku ile anayoanza kubleed, kwani siku
ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio
siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa
pili linakuwa tayari kurutubishwa![LAKINI
TUKUMBUKE KUFANYA MAPENZI NA
MWANAMKE ANAYEBLEED NI HARAMU]
Na wanawake wa kundi hili la nne
ukiwauliza vizuri watakiri kwamba
hawajawahi kuona au ku-feel ule ute
mweupe ambao wenzao huwa wanaupata
siku ile yai linapokuwa tayari kwa
kurutubishwa, kwani ute wa wanawake
wa kundi hili la nne huwa
unachanganyikana na damu kwa vile
unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed.
Pia wanawake wa kundi hili huwa
wanatokwa na kiasi kidogo sana cha
damu; na bleed hukatika ndani ya siku
moja au mbili tu!
Jambo la kushangaza ni kwamba,
wanawake wengi hawana knowledge ya
kutosha juu ya hili suala la siku ya mimba;
hasa wale ambao wana menstration cycle
inayobadilikabadilika! Wao husitukia tu
wameanza ku-bleed. Ndo maana
hawawezi hata ku-plan kutopata mimba!
Hawana ujanja kabisa ndio sababu wengi
wanatumia sindano na njia zingine nyingi
za artificial ambazo mwisho wa siku
huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi
hufunga njia ya uzazi! Nimeona wengi
wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa
na hizi artificial family planning. Wengine
hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili
wapate mimba jambo ambalo ni hatari
kwa afya zao!.....! itaendelea t
Tembelea huu Kurasa wetu
+255745998149, call and whatsaap
Dr. Habibu Bakari
Tembelea kurasa wetu kila mara
kufahamu huduma zetu zaidi za tiba mbadala za dawa za miti shamba π―
Share & Like