AFYA KWA WOTE

AFYA KWA WOTE NINATOA USHAULI NA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA KIAFYA

JE WEWE NI HUYU..❗• Unapata maumivu makali ya tumbo ?•Unapata hedhi ya mabonge ?•Mimba zinahalibika?•Huoni siku zako?• U...
18/02/2023

JE WEWE NI HUYU..❗
• Unapata maumivu makali ya tumbo ?
•Unapata hedhi ya mabonge ?
•Mimba zinahalibika?
•Huoni siku zako?
• Ukavu Umpetiliza?
•Unawashwa kiasi? kwamba umechoka kumeza antibiotics?
•Mimba haziingii kabisa?
•Mirija imeziba?
•Maumivu ya makali wakati wa tendo la ndoa?
•Kutokwa uchafu mweupe ukeni?
•Unahitaji kujikinga dhidi ya Uvimbe na maradhi yote hayo?
Basi k**a wewe ni huyi👆
Kila kitu kipo kwaajili ya kujiweka Sawa na kusahau changamoto hizo unatakiwa kuja inbox tu na kujieleza.
Kila kitu kipo kwaajili yako

D_S_CARE 0747878942

05/02/2023

Je wewe ni mwanamke, umekuwa ukisumbuliwa na hizi changamoto?
Piga ☎️ 0747878942

1. Kutokwa na uchafu ukeni (P.I.D)
2. Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
3. Uke kuwa mkavu
4. Miwasho sugu ukeni
5. U.T.I sugu (yakujiludia ludia)
6 Uvimbe kwenye kizazi
7. Kukosa hedhi
8. Mrija ya uzazi kuziba
9. Mimba kupolomoka
10. Ugumba

Usikubali kuendelea kuteseka wakati suluhisho lako lipo Piga simu ☎️ 0747878942

DALILI ZA BAWASIRI Piga ☎️ 0747878942↪Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia ↪Maumivu au usumbufu katika nji...
03/02/2023

DALILI ZA BAWASIRI
Piga ☎️ 0747878942

↪Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
↪Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
↪Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
↪Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
↪Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
↪Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

ATHARI ZA BAWASIR

↪Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
↪STRAGULATED HEMORRHOID
↪Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
↪Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
↪Kuathirika kisaikolojia
↪Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
↪Kupungukiwa nguvu za kiume

Piga ☎️ 0747878942

FAHAMU KUHUSIANA NA UGOJWA WA P.I.D {Pelvic Inflammatory Disease}Piga ☎️ 0747878942▪️Ni maambukizi katika via vya uzazi....
01/02/2023

FAHAMU KUHUSIANA NA UGOJWA WA P.I.D
{Pelvic Inflammatory Disease}
Piga ☎️ 0747878942
▪️Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuli wa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.
DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
MADHARA YA P.I.D
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

Piga ☎️ 0747878942

Address

Tunduma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255747878942

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA KWA WOTE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram