14/11/2025
Je unatamani kufanya biashara kubwa ila unashindwa kuifanya kutokana na changamoto mbali mbali??
Hii ni kwa ajili yako wewe Muajiriwa, Mwanachuo au Mama wa nyumbani,au mtu yoyote ambaye ungependa kujiongezea kipato kwa muda wako wa ziada..
Tumeandaa SEMINAR KUBWA YA BIASHARA
Hapa block 4 mlimani city kuanzia sa 8 mchana na kuendelea..
Tunahitaji watu 10 tu..ambao wapo tayari kuanza fursa mpya na kuwafundisha namna ya kufikia ndoto zao kwa mtaji wa elfu 56 tu
Mafunzo ni BURE
K**a ungependa. Kuhudhuria
Andika neno SEMINAR kwenda what's up 0748103769 ili tukuwekee nafasi yako tafadhali..
Chakula kitakuwepo.
Wote mnakaribishwaa