14/03/2022
𝑭𝑼𝑵𝑮𝑼𝑺 𝑲𝑾𝑨 𝑾𝑨𝑵𝑨𝑼𝑴𝑬 ( 𝑲𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝑼𝒖𝒎𝒆/𝑵𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒚𝒂 𝑲𝒐𝒓𝒐𝒅𝒂𝒏𝒊 )
SEHEMU YA 1 🔨
📚 Ugonjwa huu wa fungus sehemu za siri umekua ukihusishwa sana na Wanawake na wengi hudhani kwamba wanaume hawapati fungus sehemu za siri. Hili si kweli , fungus huwezi kumuathiri mtu yeyote yule. K**a fungus ya uume ( Pe**le yeast infection ) isipotibika mapema huweza pelekea madhara mengi tu ikiwemo maumivu makali, kutokua huru n.k
📚 Pia isipotibika mapema huweza pelekea madhara makubwa tu hasa katika mfumo wa damu.
📤 JE, DALILI NI ZIPI ZA UGONJWA HUU ?
☂ Dalili za mwanzo za fungus ya uume ni k**a vile muwasho, mba, na ngozi ya eneo husika kuuma kwa mbali. Uchafu mweupe hivi ulioganda waweza onekana katika sehemu zenye mikunjo kwenye uume wako au katika govi k**a hujatahiriwa.
☂ Utasikia maumivu k**a ya kuungua vile na muwasho pia
📚 Wakati mwingine , wekundu , muwasho na maumivu katika uume huweza kukueleza kuhusu magonjwa mengine ya zinaa . Kwahiyo unapoona dalili k**a hizo katika uume wako usichelewe kuonana na daktari kupata msaada wa haraka.
📤 NINI HUSABABISHA FUNGUS YA UUME NA NGOZI YA KORODANI ?
Fungus ya uume na ngozi ya korodani husababishwa na fungus aina ya candida. Kwa kawaida kuna kiwango kidogo cha Candida katika miili yetu . Kwahiyo unapopatwa na fungus hawa maana yake ni kwamba Candida wamekua kwa kiwango kikubwa . Hali ya unyevunyevu ni rafiki sana kwa ukuaji wa candida.
Lakini sababu moja maarufu sana na kubwa kwa mwanaume kupata fungus ya uume ni pale anapokua amefanya ngono na mwanamke mwenye fungus ya uke ( Vaginal Yeast infection). Lakini waweza pia kupata fungus ya uume hata k**a hujafanya mgono na mwanamke . Pia usafi hafifu hupelekea fungus kukua na kuzaliana kwa wingi, mfano : k**a unavaa boxer na hubadilishi kwa muda mrefu , unavaa boxer mbichi , unaoga weekend tu , unavaa nguo za ndani nyingi n.k
INAENDELEA...
SEHEMU YA 2
📤 USHAURI :
Ikiwa hutaki kupata tatizo hili la fungus ya uume na hata maeneo ya ngozi ya korodani , basi epuka mambo haya :
☂ Usifanye ngono na Mwanamke mwenye fungus bila kutumia condom
☂ Fanya usafi wa sehemu zako za siri , ziwe safi na kavu
☂ Punguza idadi ya wapenzi
☂ Fanya usafi wa choo na bafu , uchafu wa maeneo hayo hupelekea urahisi sana wa wewe kupata fungus , na huenda ikawa inakurudia kila mara
NI HAYO TU
MWISHO NA ASANTENI 🤝🙏
Wasiliana nasi:0752988248