Tanzanite Hospital

  • Home
  • Tanzanite Hospital

Tanzanite Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzanite Hospital, Hospital, .

A MULTY SUPER SPECIALITY REFFERAL HOSPITAL LOCATED AT ISENI, BUTIMBA, MWANZA, TANZANIA
Super Specialized in Brain, Spine, Orthopedic & Trauma Surgeries
+255-744-442-444
ceo@tanzanitehospital.co.tz

https://chat.whatsapp.com/F3Jfogb9EQl4sQTKwL5H2r

Habari za wakati huu? Tunakutakia heri ya Mwezi mpya. Ikiwa utahitaji huduma za daktari Bingwa wa akina mama. Usisite ku...
01/09/2025

Habari za wakati huu? Tunakutakia heri ya Mwezi mpya. Ikiwa utahitaji huduma za daktari Bingwa wa akina mama. Usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0744-442-444

HUDUMA ZA UPASUAJI WA MIFUPA NA UTI WA MGONGOIkiwa ndugu, Jamaa au rafiki yako anauhitaji wa huduma zifuatazo1. Anamaumi...
08/07/2025

HUDUMA ZA UPASUAJI WA MIFUPA NA UTI WA MGONGO
Ikiwa ndugu, Jamaa au rafiki yako anauhitaji wa huduma zifuatazo

1. Anamaumivu ya muda mrefu ya goti au nyonga na anahitaji upasuaji (KNEE & HIP REPLACEMENT SURGERY)

2. Anamaumivu ya mgongo ya muda mrefu, Pingili za mgongo zimetuna, anahisi ganzi au amevunjika uti wa mgongo na anahitaji upasuaji (SPINE SURGERY)?

3. Amevunjika Mfupa na anahitaji upasuaji?

Huduma hizi zinapatikana kila siku J3 hadi Ijumaa Saa 2 kamili asubuhi hadi saa 11 Jioni

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA, UNISURE, GA na wanaolipa fedha taslim
Tembelea kliniki ya upasuaji wa mifupa Iseni, Butimba Mwanza
Wasiliana nasi kwa namba 0744-442-444

07/07/2025

UPASUAJI WA MIFUPA KUBADILISHA GOTI & NYONGA. Mzazi, Ndugu, Jamaa au rafiki yako anateseka na Maumivu ya Nyonga au Goti kwa muda mrefu? Sisi tunalosuluhisho la Matibabu yake, Tunapenda kukujulisha kuwa Tunaendelea kutoa huduma hizi kila siku. Picha ya X Ray inaonyesha upasuaji uliobadilisha nyonga kwa mgonjwa ambaye nyonga yake iliharibika kutokana na maradhi ya Sickle Cell na mguu mmoja kuwa mfupi ambao umerekebishwa na sasa miguu yote inalingana urefu

Pia tunatoa huduma za Upasuaji wa
1. Uti wa mgongo
2. ⁠Mifupa iliyovunjika
3. ⁠kurekebisha 'matege'

Ikiwa una changamoto zifuatazo
1. Maumivu ya goti au nyonga ya muda mrefu
2. ⁠maumivu ya uti wa mgongo
3. ⁠Umevunjika Mfupa au uti wa mgongo
4. ⁠umezaliwa na matege au mguu wenye kifundo

Tembelea Kliniki yetu Mtaa wa Iseni Butimba Jijini Mwanza

☎️ 0744-442-444

A MULTY SUPER SPECIALITY REFFERAL HOSPITAL LOCATED AT ISENI, BUTIMBA, MWANZA, TANZANIA
Super Specialized in Brain, Spine, Orthopedic & Trauma Surgeries
+255-744-442-444
ceo@tanzanitehospital.co.tz

https://chat.whatsapp.com/F3Jfogb9EQl4sQTKwL5H2r

UPASUAJI WA KUONDOA MFUKO WA NYONGO (CHOLECYSTECTOMY) wenye ukubwa wa Takribani Sentimita 12 uliokuwa umejaa 'mawe' ya n...
29/06/2025

UPASUAJI WA KUONDOA MFUKO WA NYONGO (CHOLECYSTECTOMY) wenye ukubwa wa Takribani Sentimita 12 uliokuwa umejaa 'mawe' ya nyongo

Timu yetu ya wataalamu imefanikiwa kufanya upasuaji huu kwa mafanikio makubwa.

Mgonjwa alikuwa na maumivu ya tumbo upande wa kulia kwa takribani miaka 5 na sasa anaendelea vizuri

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA, UNISURE, GA na wanaolipa FEDHA TASLIM

Wasiliana nasi kwa namba 0744-442-444

KNINIKI YA DAKTARI BINGWA WA UZAZI NA MAGONJWA YA AKINA MAMAUnahitaji huduma zifuatazo?1. Kliniki ya kufatilia ujauzito?...
27/06/2025

KNINIKI YA DAKTARI BINGWA WA UZAZI NA MAGONJWA YA AKINA MAMA
Unahitaji huduma zifuatazo?
1. Kliniki ya kufatilia ujauzito?
2. Kujifungua kawaida na kwa upasuaji?
3. Uchunguzi na matibabu ya mfumo wa uzazi na kizazi?

Tunalo suluhisho kwa ajili yako, tembelea kliniki yetu ya daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama na uzazi

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, CIGNA, UNISURE, GA, NHIF na wanaolipa kwa FEDHA TASLIM

☎️ 0744-442-444

Una maumivu ya Goti au Nyonga kwa muda mrefu? Umeambiwa unahitaji uoasuaji wa KUBADILISHA GOTI au NYONGA? Tembelea klini...
26/06/2025

Una maumivu ya Goti au Nyonga kwa muda mrefu? Umeambiwa unahitaji uoasuaji wa KUBADILISHA GOTI au NYONGA? Tembelea kliniki yetu leo kwa ushauri, Uchunguzi na matibabu ikiwemo UPASUAJI

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA, UNISURE, GA na wanaolipa fedha taslim
☎️ 0744-442-444

25/06/2025

HUDUMA ZA UPASUAJI WA KUBADILISHA NYONGA/GOTI (HIP/KNEE REPLACEMENT SURGERIES) ZINAENDELEA!
Tunatambua mateso unayopitia kwa kuwa na maumivu makali ya nyonga au goti yasiyopata nafuu kwa matibabu ya dawa. Pole sana! Tunalosuluhisho la tatizo lako kwa kukupatia upasuaji wa kubadilisha nyonga au goti

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, NHIF, ASSEMBLE, BRITAM, CIGNA, UNISURE NA WANAOLIPIA FEDHA TASLIM
☎️ 0744-442-444
TUNAPATIKANA KITUO CHADALADALA ISENI, BUTIMBA MWANZA

A MULTY SUPER SPECIALITY REFFERAL HOSPITAL LOCATED AT ISENI, BUTIMBA, MWANZA, TANZANIA
Super Specialized in Brain, Spine, Orthopedic & Trauma Surgeries
+255-744-442-444
ceo@tanzanitehospital.co.tz

https://chat.whatsapp.com/F3Jfogb9EQl4sQTKwL5H2r

Tutembelee wakati wowote unapohitaji Huduma saa 24 ikiwemo za Upasuaji mbali mbali mfano1. Mifupa iliyovunjika, Ubadilis...
22/06/2025

Tutembelee wakati wowote unapohitaji Huduma saa 24 ikiwemo za Upasuaji mbali mbali mfano
1. Mifupa iliyovunjika, Ubadilishaji wa Goti na Nyonga (Knee & Hip Replacement Surgery)
2. Uzazi na mfumo wa Kizazi
3. Upasuaji wa Jumla (General Surgery)
3. Mfumo wa Sikio, Pua na Koo
4. Mfumo wa Mkojo
Tunatoa huduma kwa wanchama wa JUBILEE. ASSEMBLE, BRITAM, UNISURE, AUMS, NHIF, CIGNA na wanaolipa fedha taslim
☎️ 0744-442-444

Unasumbuliwa na Bawasiri (Haemorrhoids)? Unapata maumivu eneo la haja kubwa? Unakosa Choo mara kwa mara? Tunalosuluhisho...
19/06/2025

Unasumbuliwa na Bawasiri (Haemorrhoids)? Unapata maumivu eneo la haja kubwa? Unakosa Choo mara kwa mara? Tunalosuluhisho kwa ajili yako

Tembelea kliniki yetu kila siku J3 hadi Jmosi

Tunahudumia wanachama wa JUBILEE, NHIF, ASSEMBLE, AUMS, BRITAM, CIGNA, UNISURE, GA na FEDHA TASLIM
☎️ 0744-442-444

Ikiwa ni mama mjamzito na ungependa kupata kliniki kwa ajili ya ufatiliaji wa ujauzito, sisi tunalo suluhisho kwa ajili ...
12/06/2025

Ikiwa ni mama mjamzito na ungependa kupata kliniki kwa ajili ya ufatiliaji wa ujauzito, sisi tunalo suluhisho kwa ajili yako. Tembelea kniliki yetu ya daktari Bingwa wa magonjwa ya akina mama na uzazi
Tunahudumia wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, AUMS, NHIF, BRITAM, UNISURE, GA
☎️ 0744-442-444

11/06/2025

UPASUAJI WA KUBADILISHA GOTI & NYONGA. Mzazi, Ndugu, Jamaa au rafiki yako anateseka na Maumivu ya Nyonga au Goti kwa muda mrefu? Sisi tunalosuluhisho la Matibabu yake, Tunaendelea kutoa huduma za UPASUAJI WA KUBADILISHA NYONGA NA GOTI

Tembelea Kliniki yetu iliyopo Mtaa wa Iseni Butimba Jijini Mwanza

Tunatoa Huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, NHIF, AUMS, BRITAM, UNISURE, CIGNA, GA na wanaolipa fedha TASLIM

Wasiliana nasi kwa namba 0744-442-444

A MULTY SUPER SPECIALITY REFFERAL HOSPITAL LOCATED AT ISENI, BUTIMBA, MWANZA, TANZANIA
Super Specialized in Brain, Spine, Orthopedic & Trauma Surgeries
+255-744-442-444
ceo@tanzanitehospital.co.tz

https://chat.whatsapp.com/F3Jfogb9EQl4sQTKwL5H2r

UPASUAJI WA KUONDOA MIMBA ILIYOTUNGA NJE YA MFUKO Tutembelee kwa Huduma za daktari Bingwa wa Akina mama kila sikuTunahud...
06/06/2025

UPASUAJI WA KUONDOA MIMBA ILIYOTUNGA NJE YA MFUKO
Tutembelee kwa Huduma za daktari Bingwa wa Akina mama kila siku
Tunahudumia wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, AUMS, NHIF, UNISURE, GA, na wanaolipa fedha taslim
☎️ 0744442444

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanite Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram