Afya ya mwanaume

Afya ya mwanaume �Huduma ya afya ya uzazi na ushauri
�Lishe&Mazoezi
�Tibu chanzo cha tatizo
�Athari za punyeto

+255625773883 Whatsapp

Umejifunza nini hapo.??
11/04/2022

Umejifunza nini hapo.??

How would you like your Aloe Vera?
11/04/2022

How would you like your Aloe Vera?

Je, wajua.!! Tuendelee kujifunza zaidi ya hapa🥑
11/04/2022

Je, wajua.!! Tuendelee kujifunza zaidi ya hapa🥑

DALILI ZA MTU ALIYEATHIRIWA NA PUNYETO*"Dalili kuu za mtu aliyeathiriwa na punyeto ni K**a ifutavyo"i. Uume kusinyaa na ...
11/04/2022

DALILI ZA MTU ALIYEATHIRIWA NA PUNYETO*

"Dalili kuu za mtu aliyeathiriwa na punyeto ni K**a ifutavyo"

i. Uume kusinyaa na kuwa k**a wa mtoto mdogo.

ii.Uume kurudi ndani

iii.Uume kusimama ukiwa legelege

iv.Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa
Ndoa unakuja kuoa binti wa watu baada ya muda mfupi tu anashangaa tendo la ndoa huwezi anahisi una mchepuko njee au humpendi tena migogoro inaanza.... Kumbe kuna jambo lilishaharibika na hukuwahi kujua nini ili kurejesha hali imara murua.

MSAADA WA UHAKIKA UPO.
Hata hivyo inawezekana kabsa kuondoa hizo... Athari hizo zinazosababishwa na kujichua na muda mrefu.ingaweje ni lazima kuongea na mhusika na kujua amefanya hivyo kwa mdaa gani na mara ngapi kwa wiki n.k kwa mdaa wa miaka mingapi, na kufahamu mazingira aliyopo na mambo yaliyofanya akaanza kujichua, yote hayo tunasema in case to case basis.ila kuna njia za kukusaidi na kurejesha nguvu zako za kiume na kuimarisha tena misuli ya uume.

K**a unataka kusaidiwa na kuondoka na athari hizo karibu tuzungumze kwa ajili ya msaada zaidi.

JINSI PUNYETO (MA********ON) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.*+255625773883K**a wewe upo kwenye mitandao mbalimbali...
11/04/2022

JINSI PUNYETO (MA********ON) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.*
+255625773883

K**a wewe upo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii utakua umeshaona jinsi magroup ya mambo za picha za uchi na video za ngono yalivyo mengi kuanzia instagram facebook na whatsApp.washiriki wengi ni wanaume hasa ni vijana , na tafiti mbali mbali zinaonyesha kuwa wanaathiriwa na picha hizo huchochea kujichua (kupiga punyeto) ili kumaliza hamu zinazohamshwa na hisia kali za ngono baada ya kutizama picha hizo na video hizo.
Wengi wao hawafahamu namna gani swala hilo masterbation(kupiga punyeto) linavyoweza kuathiri afya ya uzazi hasa nguvu za kiume.
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalowakabili mamilioni ya wanaume duniani. Of course zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi ya kisukari,presha,shinikizo la damu, moyo,figo,matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya utii wa mgongo ,matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafirisha damu mwilini ,maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa mdaa mrefu.
Na leo nataka tuangalie namna suala la upigaji punyeto linavyoathiri nguvu za kiume .

*JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.*

Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya tendo la ndoa ubongo hutoa ishara kwenye mishipa ya utii wa mgongo ambayo nayo husafirisha taarifa hadi kwenye mishipa & misuli ya uume.
Mishipa ya uume inapokea taarifa hiyo,hutanuka na mishipa ya uume inapotanuka, hufanya mambo mawili muhimu sana.

i.Husababisha mishipa ya ateri kupanuka na hivyo huruhusu damu kuingia kwa kasi sana ndani ya mishipa mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume usimame na kuwa imara bara bara.

ii.Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya ama kufyonza damu iliongia ndani ya mishipa ya uume.

( KAZI KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYOKARIBU NA MISHIPA YA UUME NI KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA MISHIPA YA UUME, HIVYO BASI DAMU INAPOINGIA NDANI MISHIPA YA UUME , MISHIPA YA VENA HU "SENSE" JAMBO HILO KWA HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA DAMU KUTOKA KWENYE MISHIPA YA UUME YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA UUME , NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI YA MISHIPA YA UUME

We often become addicted to substances that make us feel good right away but depressed, fatigued and unhealthy hours lat...
11/04/2022

We often become addicted to substances that make us feel good right away but depressed, fatigued and unhealthy hours later.

👉When eating or drink ask yourself, are you feeding disease or fighting it?

Understand that you were designed💡 “The body is not made up of any alphabetical order it is made up of minerals and when...
11/04/2022

Understand that you were designed💡 “The body is not made up of any alphabetical order it is made up of minerals and when those minerals have been depleted, a disease ensues💛

11/04/2022
Forever health resolution inawatakia heri ya ramadhani na mfungo mwema🙏🙏🙏🙏🙏🙏Click link hapo chini ili huweze join katika...
03/04/2022

Forever health resolution inawatakia heri ya ramadhani na mfungo mwema🙏

🙏

🙏

🙏

🙏

🙏

Click link hapo chini ili huweze join katika group la AFYA NA MTINDO BORA WA MAISHA🙏

https://chat.whatsapp.com/Hc0Pylz9Cf59pp1TK2f8jO

  WA KUFANYA MAZOEZI NA KUPATA FAIDA ZA KIAFYA # karibu, **Wakati tatizo la unene kupindukia (obesity) likiongezeka kati...
11/03/2022

WA KUFANYA MAZOEZI NA KUPATA FAIDA ZA KIAFYA #


karibu,

**Wakati tatizo la unene kupindukia (obesity) likiongezeka katika jamii zetu, watu wengi wenye tatizo hili wamekuwa wakihangaika hapa na pale bila kujua njia mojawapo ya kulikabili ni kufanya mazoezi.

👉Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mtu kutofanya mazoezi, Baadhi yazo ni maradhi aliyo nayo mtu, kutoyapa mazoezi ya mwili kipaumbele, ukosefu wa maarifa na kadhalika.

anahitajika kujitahidi kunufaika kutokana na mazoezi #

#1.Mazoezi husaidia kuimarisha siha ya mtu,

Kukimbia angalau muda wa saa chache kwa wiki kutakufanya uwe mchangamfu na kuimarisha utendakazi wako, Hivyo mtu anakuwa bila mawazo hasi yanayoweza kudhoofisha afya.

#2.Huimarisha moyo na mapafu

Kwa mtu wa kawaida, mwili hutumia hewa aina ya oksijeni mara 10 zaidi wakati wa kufanya zoezi rahisi la kukimbia ukilinganisha na akiwa amekaa.

#3.Mtu anapofanya zoezi huimarisha mfumo wa moyo wa usukumaji damu hivyo moyo na mapafu pia hufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi,

#4.Huboresha utendaji kazi wa ubongo na kuongeza uwezo wa mtu kufikiri

👉Pamoja na kwamba mazoezi yana manufaa mengi kiafya, pia inaaminika mazoezi ya kukimbia husababisha ubongo kuzalisha homoni iitwayo “endorphin’’ ambayo huibua hisia za furaha na kumfanya mtu awe katika hali ya kuwa na raha na mwenye mawazo mazuri.

**Sio tu kwamba mazoezi haya yatakufanya ujihisi kuwa katika hali ya furaha kwa muda bali yatakufanya pia uongeze ujasiri wako wa kujiamini na kujikubali mwenyewe, Hapo utapunguza msongo wa mawazo na matatizo mengine yanayosababishwa na kuchoka kwa ubongo.

#5.Hupunguza uzani wa mwili na mafuta mwilini

Sote tunajua unapofanya mazoezi, baada ya muda utajisikia mchovu kwelikweli ambapo unatokwa na jasho, kuhema sana na kadhalika. Haya yote ni matokeo baada ya kufanya zoezi la kukimbia. Unapofanya maozezi, unachoma kalori ‘calories’ mwilini na hatimaye kupunguza mafuta.

**Ikiwa utakuwa unafanya mazoezi ya kukimbia ipasavyo na kwa malengo, ni rahisi kwako kuona mabadiliko ya mwili wako baada ya wiki chache.

**K**a wewe ni mnene na una uzani mkubwa wa mwili, huu ndio wakati wako wa kuanza kufanya mazoezi ya kukimbia🤝.

FAHAMU ZAIDI VYAKULA VINAVYOWEZA KUSAIDIA KUONGEZA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA💪.???👉Mfumo wa maisha ya sasa unaathiri ...
11/03/2022

FAHAMU ZAIDI VYAKULA VINAVYOWEZA KUSAIDIA KUONGEZA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA💪.???

👉Mfumo wa maisha ya sasa unaathiri sana afya ya wengi na kupelekea magonjwa na madhara mengine makubwa katika mwili wa binadamu.

👉Vyakula tunavyokula ndio tatizo kubwa sana ambalo huchangia katika kuharibika kwa afya zetu na kufanya tushindwe kufanya kazi kwa ufasaha, ikiwemo pia kupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na kupoteza nguvu za kiume.

👉Hivyo basi, vifuatavyo ni baadhi ya vyakula ambavyo vinasaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwani husaidia kuwa na mzunguko mzuri wa damu wakati wa kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni k**a;

🍉 Mboga za majani. Hizi zina madini mbalimbali K**a zinc, manganese pia vitamini ambavyo husaidia utengenezaji wa homoni za kiume na k**e na kusaidia kuboresha tendo la ndoa,

🍉Ndizi mbivu. Hizi, hasa kwa jinsia ya kiume, husaidia sana katika kuzalisha homoni ya testosterone ambayo inasaidia sana katika tendo la ndoa,

🍉 Matunda. Matunda k**a machungwa, matikiti husaidia sana. Mbegu za tikiti ni mahususi.

🍉Karanga, korosho, walnut na jamii nyingine k**a hizi pia huwa na msaada mkubwa sana katika kuboresha tendo la ndoa,

🍉Mbegu za maboga. Mbegu hizi zina madini ya zinc na kemikali ya omega 3 ambazo huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa na husaidia katika uzalishaji wa mbegu,

🍉Samaki wa maji ya chumvi na mazao mengine ya baharini k**a vile pweza. Hivi vina kemikali ya omega 3 kwa wingi sana na madini ya zinc ambavyo husaidia sana katika kuzalisha homoni na kuongeza hamu ya tendo la ndoa,

🍉 Mafuta ya olive na baadhi ya viungo k**a pilipili, tangawizi n.k husaidia sana kuleta hamu ya tendo na pia uzalishaji wa homoni.

MUHIMU: Endapo umejaribu njia mbalimbali na kushindwa Kutatua changamoto juu ya tendo la ndoa,Basi tuna virutubisho vilitengenezwa tayari kutoka kwenye matunda na mimea maalum Pamoja na kuongezewa Madini Mengi vitakusaidia kutibu tatizo Hilo👇

Karibu, wasiliana nasi ili kufahamu zaidi.!!

😞ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO😞👉Kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni WHO, msongo wa mawazo ambao ni m...
11/03/2022

😞ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO😞

👉Kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni WHO, msongo wa mawazo ambao ni mvurugano katika akili hutokana sababu kadhaa k**a vile mkwamo katika uhusiano, uchumi na mengineyo, huwakumba mtu mmoja kati ya wanne kwa nyakati tofauti.

Kwa takribani watu milioni 350 duniani wameathiriwa na msongo wa mawazo. WHO inasema, unyanyapaa dhidi ya wagonjwa, huzuia watu wengi kutafuta msaada.

K**a hiyo haitoshi, zaidi ya asilimia 75 ya watu wanaokabiliwa na ugonjwa huu katika nchi zinazoendelea hawapati matibabu.

Cha kusikitisha zaidi msongo wa mawazo ni chanzo namba mbili kwa vifo vya vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 29.

👉pia msongo wa mawazo unajulikana k**a sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo ni athari mbaya za msongo wa mawazo..

1. Uharibu mzunguko wa usingizi

kwanza ya madhara ya juu ya msongo wa mawazo kwenye mwili ni kuvuruga mzunguko wako wa usingizi. Inaweza kuathiri vibaya juu ya ubora wa usingizi wako na kusababisha kukosekana kabisa kwa usingizi. K**a tunavojua usingizi ni sehemu muhimu ili kuhakikisha afya yako kuwa nzuri na usingizi huweza kusababisha madhara hasi kwa afya yako ya akili na ya kimwili k**a ukikosekana.ukiona umekosa kabisa usingizi kwa sababu ya msongo wa mawazo inapaswa umuone daktari.

2. maumivu ya kichwa

Maumivu ya kichwa ni moja ya madhara 8 ya msongo wa mawazo kwenye mwili.Hali hii hasa hutokea kwa sababu ya kemikali k**a vile cortisol na adrenaline (epinephrine) iliyotolewa na mwili wako wakati wa msongo wa mawazo.

3. Kupotea kwa nywele kupelekea uwalaza

Huwezi kutaja madhara ya msongo wa mawazo ukaiacha hii. Hii ni athari us kawaida ambayo wengi wa wale wanaopata msongo wa mawazo lazima wapate. msongo wa mawazo husababisha athari mbaya kwenye mizizi yako ya nywele na hivyo kusababisha kupoteza nywele.

  is not the herbs doing the fix. It’s the body that is healing itself. The herbs enable the body to have the ability to...
11/03/2022

is not the herbs doing the fix. It’s the body that is healing itself. The herbs enable the body to have the ability to do that. Healing is not an overnight process, it is a daily cleansing of pain. It is a daily healing of your life

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 22:00
Tuesday 09:00 - 22:00
Wednesday 09:00 - 22:00
Thursday 09:00 - 22:00
Friday 09:00 - 22:00
Saturday 09:00 - 22:00

Telephone

+255625773883

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mwanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram