Afya ya mama na mtoto

  • Home
  • Afya ya mama na mtoto

Afya ya mama na mtoto Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ya mama na mtoto, Women's Health Clinic, .

Afya ya mama na mtoto: Ni jukwaa la ushauri linaloweza kukupa elimu nakuwafikia watu wa jinsia zote mahali popote kwa kuungana na kujibu maswali papohapo mahali popote; Karibu na asante.

10/08/2022
Ijue Faida Ya Femicare Kwa Mwanamke!!Femicare Ni dawa inayotumiwa na wanawake wote,  Inayotengezwa bila kemikali yeyote ...
10/08/2022

Ijue Faida Ya Femicare Kwa Mwanamke!!

Femicare Ni dawa inayotumiwa na wanawake wote, Inayotengezwa bila kemikali yeyote kitaalamu kwaajili ya ulinzi na usalama wa Afya yako ya ukeni.

*Faida za FEMICARE kwa mwanamke:-*

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo.

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu.

3⃣Ni nzuri sana kwa wenye tatizo la P.I.D.

4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika.

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.

6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.

8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango).

9⃣ inaondoa michubuko ukeni, vidonda na vijipele vyote.

🛄Kwa ushauri na tiba mbalimbali na kwa mahitaji ya femicare wasiliana nasi kwa nambari 0620324795

🔸Uke ni sehemu ya wazi yenye unyevu unyevu ni rahisi Kuvurugwa na kupata Maambukiz ya Mara kwa mara, Utibu na Utunze kwa kutumia Femicare feminine cleaner, Kiboko ya Maambukizi yote Ukeni na kwenye via vya Uzazi.

KUKOSA HAMU YA CHAKULA (appetite) KWA MAMA MJAMZITOImeandaliwa na wataalamu wabobezi wa Afya ya uzazi.Hatua muhimu zinaz...
16/12/2021

KUKOSA HAMU YA CHAKULA (appetite) KWA MAMA MJAMZITO

Imeandaliwa na wataalamu wabobezi wa Afya ya uzazi.

Hatua muhimu zinazofaa kufuatawa katika kipindi cha ujauzito.

Kuna baadhi ya wanawake wajawazito ambao wamekuwa wanakabiliwa na tatizo la kutojiskia hamu ya kula,jambo hili ni baya sana kwa vile mama mjamzito anahitaji apate chakula cha kutosha ili mwili uweze kufanya kazi zake kiufanisi,anatakiwa pia ale kwa wingi mboga za majani hasa matembele na mchicha ambayo yanaelezwa kuwa yanaongoza kwa kuongeza damu.

Mwanamke wakati wa kujifungua hupoteza damu nyingi hivyo lazima ale chakula cha kutosha pamoja na mboga za majani na vitoweo k**a samaki,nyama nk

Sasa inapotokea mama mjamzito akawa hana hamu ya chakula msimuache tuu na kusema ni mimba inamsumbua bali hili ni tatizo na uzuri ni kwamba kuna njia za asili ambazo zitamfanya awe na hamu ya chakula kwa sana .

1.MAJI YA MACHUNGWA
~Atengeneze juice ya maji ya machungwa kiasi cha lita moja,kisha awe anakunywa glass moja moja kila baada ya muda fulani katika siku hadi itakapomalizika kwani hii itamfanya awe na hamu ya kula vizuri na itakapomtokea tena ile hali ya kutotamani chakula basi na atengeze tena na kutumia k**a hapo juu.

2.HABBATSAUDA NA LIMAO
~Dakika kumi kabla ya kutayarishwa kwa chakula chukua kijiko kidogo cha habbatsauda koroga kwenye glass ya maji na weka maji ya limao kiasi cha kijiko kikubwa humo kwenye glass na unywe,baada ya muda mfupi utajiskia njaa kali sana na utatamani msosi usichelewe kufika mezani.

Hapo sasa jitahidi kula chakula cha kutosha zikiwemo mbogamboga nilizozitaja hapo juu pamoja na matunda k**a papai bivu,parachichi,nyanya,fenesi,machungwa na aina zingine za matunda yanayoweza kupatikana.

____________________
MAMBO MUHIMU YANAYOHITAJIKA KUFUATWA WAKATI WA KIPINDI CHA UJAUZITO KWA BABA NA MAMA MJAMZITO.

Umepata habari nzuri ya package ya Zamini'?

Je;
Wafahamu umuhimu wa Zamin' kwa mama mjamzito?

Je;
Umewahi tumia Zamin' wakati wa ujauzito?

Ikiwa umetumia hii bilashaka utakua shuhuda wa kweli leo.

Je; ungependa kutumia package hii ufurahie vipindi vizuri vya miezi 9 ya Ujauzito?

USITUMIE zamin' kabla ya kufahamu faida zake hizi

Zamin' husaidia....
-kuondoa tatizo la maradhi hatali kwa mama mjamzito
-huzuia upumgufu wa damu na husaidia ongezeko la Damu mwilini katika usawa mzuri wa miezi yote ya ujauzito
-husaidia ongezeko la Madini muhimu yanayohitajika katika ukuaji wa mtoto tumboni
-husaidia Madini ya Zinc muhimu kwa mjamzito
-ongezeko la Calcium muhimu kwa utengenezwaji wa mifupa Bora ya mtoto katika ukuaji wa umbo
-husaidia kukua vema kwa afya ya mtoto
-huzuia ugonjwa hatari la mtoto kuzaliwa na ugonjwa wa (utindio ubongo)
-huondosha tatizo hatari la (mgongo wazi kwa mtoto)
-hii husaidia kukata haraka kwa damu wakati wa kujifungua
-humsaidia mamajamzito kujifungua salama
-humsaidia mama mjamzito kupona haraka sana mala baada ya kukifungua

Faida kubwa ya Package hii ni maalumu kwa mama mjamzito.

Wanawake wengi wametoa maoni wakionyesha kufurahia Package hii ya Zamin'

Je;
Ungependa kujipatia package hii?

Hii huuzwa katika maduka maalum Tanzania Tsh. 56,000 Tu.

Katika kipindi cha mwezi huu December.

Jukwaa la ushauri la
ya mama na mtoto na Afya

Wametoa pinguzo la bei kwa wajawazito wote wanaohitaji package hii inayopendwa sana.

Sasa wataipata kwa Tsh. 46,000 badala ya 56,000

Offa hii ni mikoa yote ikiwemo
-Dar es salaam wanawake 32

-pwani wanawake 27

-morogoro wanawake 35

-Iringa wanawake 31
-Dodoma wanawake 15
-Singida wanawake 35
-Tabora wanawake 20
-Kigoma wanawake 31
-Mwanza wanawake 26
-Arusha wanawake 37

Zingatia:
Kupata punguzo hili mkoa uliopo Tuma ujumbe wa sms
Nambari:.
0713 264 378 / 0624 149 617

Utapewa maelekezo moja kwa moja na kujipatia package ya Zamin.

01/12/2021

Mafanikio ndani ya UJASILIAMALI na MTANDAO kwa wanawake kwa kuisaidia jamii yetu na kupata mafanikio makubwa

Hii ndio maana halisi ya jukwaa hili mtandaoni na jinsi inavyowasaidia wanawake wengi zaidi Tanzania.

Tunahitaji kuwapa fursa hii wanawake wengi zaidi hususa waliomaliza chuo, waajiliwa na wasio waajiliwa.

Sifa za kujiunga na mafunzo haya.
1. Mwanamke mwenye nia ya kufanya mabadiliko katika maisha yako.

2. Mwanamke mwenye maono na moyo wa kujifunza biashara hii kwa juhudi.

3. Uwe na muda wa ziada na usiwe mzembe katika mafunzo haya ya siku 5.

4. Uwe tayari kufundishwa na kutekeleza yote utakayofundishwa k**a mimi nilivyotii na kufikia ndoto yangu leo.

NB:
Tunahitaji nidhamu na heshima zaidi.

Saidia ku-share zaidi video hii kwa group lako ili fursa hii iwafikie wanawake zaidi ya 50 Tu wajiinue kiuchumi.

Hakuna malipo ya mafunzo wala kiingilio katika mafunzo haya ya ujasiliamali.

Chat nasi kupitia WhatsApp.
__________________
https://chat.whatsapp.com/Dlqm36DWDz3DrJenIzG8Jg
__________________

Waweza tutumia Ujumbe wa sms:.
:.
0713 264 378.

Je; unafahamu yakua Aina 5 za VIRUTUBISHO LISHE huondoa tatizo hili?Ufumbuzi wa kitaalamu kuhusu tatizo la Shinikizo la ...
30/11/2021

Je; unafahamu yakua Aina 5 za VIRUTUBISHO LISHE huondoa tatizo hili?

Ufumbuzi wa kitaalamu kuhusu tatizo la Shinikizo la juu la damu

Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu, HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya.

Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi.

Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ya damu wakati moyo unadunda. Shinikizo au presha ya diastole inapima nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ya damu wakati moyo umetulia au kati ya mapigo ya moyo (diastole).

Kipimo cha kawaida cha shinikizo la damu ni 100–140 milimita za zebaki (mmHg) upande wa systolic (kipimo cha juu) na 60–90 milimita za zebaki upande wa diastolic (kipimo cha chini). Shinikizo la juu la damu hutokea k**a kipimo kikiwa zaidi ya 140/90 mmHg kwa muda mrefu.

Kuna aina mbili za shinikizo la juu la damu: shinikizo la juu la damu la asili na shinikizo la damu linalosababishwa na magonjwa mengine. Kadiri ya asilimia 90–95 za watu wanaathiriwa na "shinikizo la juu la damu la asili", yaani wana ugonjwa huu bila kuwa na chanzo cha kisayansi kinachofahamika.[1] Magonjwa mengine ya mafigo, mishipa, moyo, mfumo wa homoni huathiri asilimia 5–10 iliyobaki ya watu wenye shinikizo la damu (ndilo shinikizo la damu linalosababishwa na magonjwa mengine).

Ili kudhibiti shinikizo la damu, lishe bora na mabadiliko katika mtindo wa kuishi lazima yazingatiwe pamoja na kupunguza matatizo yanayoathiri afya. Hata hivyo, matumizi ya dawa ni muhimu kwa watu ambao mabadiliko ya mtindo wa maisha hautoshelezi kupunguza shinikizo la juu la damu, kutuna kwa ukuta wa ateri mithili ya p**o kutokana na udhaifu wa sehemu hiyo

Kwa kutumia Program maalumu ya kupunguza shinikizo la juu la damu kwa kutumia (food supplement) chakula lishe

Wasiliana nasi ukiwa mahali popote tukupe maelekezo.

Shiriki kiungo hiki kupata msaada wa maelekezo ya matibabu ya Shinikizo la damu kwa kutumia virutubisho lishe nyumbani. 👇🏼
Shiliki sasa hapa
_________________
https://wa.me/+255766181183?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20program%20shinikizo%20la%20damu%20matumizi
_________________

Au tutumie ujumbe jukwaa la
SIMU:.0766181183

Karibu nasi

28/11/2021

SUPPORT HII IWAFIKIE WANAWAKE ZAIDI YA 10,000 TANZANIA UOKOE AFYA ZAO.

zaidi na watumie wanawake uwapendao wasaidike kupitia wewe wapate huduma hii nchi nzima.

20/11/2021

NJIA SAHIHI YA KUONDOSHA KABISA BAWASIRI AMA KINYAMA KATIKA NJIA YA HAJAKUBWA BILA UPASUAJI KWA HARAKA ZAIDI NA GHALAMA NAFUU UKIWA NYUMBANI

Hii ndio njia inayozidi kusaidia mamia ya wagonjwa wa Hemorrhoids Africa wakiwa nyumbani

KARIBU
0 766 181 183

19/11/2021

NJIA SAHIHI MADHUBUTI KWA KUONDOSHA BACTERIA NA FUNGUS SUGU KWA AKINA MAMA.

Tatizo la Fangasi / Sehemu Za Siri
(Vaginal Thrush)

Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu Mwanamke na Uke kwa Maana ya kusafisha na kurudisha asili ya via vya uzazi

Uke ni kiungo cha uzazi wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Abao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix. Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa. Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi.

ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au K**a Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika

vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni

kunasababu Nyingi Sana Baadhi Ya Hizo Ni;

1.matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za K**e

2. Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

3.kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

4.kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali K**a Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

5.ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

6.kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

dalili Zinazoonesha Kuwa Unaugonjwa Wa Fangas Za Ukeni

kuna Dalili Nyingi Sana K**a Zifuatavyo;

~muwasho Sehemu Za Siri

~vipele Vidogo Vidogo Ukeni

~kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

~vidonda Au Michubuko Ukeni

~kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

~kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa

~kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke

~kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

kinga Ya Fangasi Za K**e

1.epuka Kusafisha Uke Kwa Kutumia Vitu Vyenye Kemikali K**a Sabuni

2.epuka Kutumia Marashi Yenye Chemikali Ukeni Na Kuingiza Vitu Mbàlimbali Ukeni K**a Vidole, Asali, Mgagani N.k

3.epuka Kutawadha Kutokea Nyuma Kwenda Mbele Baada Ya Kujisaidia Haja Kubwa Au Ndogo

4.mtibu Mpenzi Wako Alie Na Ugonjwa Wa Fangasi

5.safisha Uke Na Kujifuta Kwa Kitambaa Safi Ilikuuacha Mkavu

6.hakikisha Kinga Ya Mwili Wako Iko Juu

7.vaa Chupi Zitengenezavyo Kwa Vitu Harisi K**a Pamba Na Hariri

8.epuka Ulaji Mbaya Wa Chakula Hasa Punguza Vyakula Vyenye Kukupayia Sukari Kwa Wingi Mwilini

9.tumia Pads Zisizo Na Kemikali Na Zenye Vitu Vya Kukulinda Na Maambukizi,kukufanya Uwe Mkavu Na Huru.

n:B Ni Muhimu Kutumia Dawa Za Asili Za Virutubisho Na Kuacha Zenye Kemikali Wakati Wa Kutibu Fangasi Za Ukeni.

Siku 7 za kusafisha mfumo was uke na kutokomeza infections sugu ukeni.

Kupata maelekezo:.
Tutumie ujumbe wa sms Kwa nambari yetu ya ushauri:.

0 766 181 183

Karibu

TATIZO LA MIKONO/MIGUU KUFA GANZI Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuh...
19/11/2021

TATIZO LA MIKONO/MIGUU KUFA GANZI

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili
yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na
hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.

Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex)
2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na Virusi vya UKIMWI
3.Uzito mkubwa wa mwili
4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy)
5.Shinikizo la damu

KUFA Ganzi katika mikono na miguu inaweza kuwa imesababishwa kutokana na sababu kadhaa na ni kuchukuliwa k**a dalili muhimu za matatizo fulani, hasa ya neva matatizo. Soma juu ya kujua zaidi ...

Lazima mara nyingi niliona hisia katika mikono yangu na miguu kwamba ninahisi k**a kuchomwa na sindano (Paresthesia). Hisia hii, inaojulikana k**a ni ganzi, inaweza kuwa na uzoefu wakati shinikizo ni kutumiwa kwa mikono yako au miguu na wakati wa kubaki katika nafasi hiyo kwa muda mrefu. Ganzi na Kuwakwa kwamba huchukua kutoka

Sekunde chache kwa dakika chache anahesabiwa kuwa kawaida kabisa. Hata hivyo, kuganda kuwa ni uliokithiri na itaendelea kwa masaa kadhaa ni tatizo kubwa na haipaswi kupuuzwa. Aina hii ya kufa ganzi inaweza kuwa imesababishwa kutokana na sababu mbalimbali na utambuzi mwafaka ni muhimu kwa ajili ya matibabu yake sahihi. Hebu kuwa na kuangalia sababu inawezekana na matibabu ya ganzi na ganzi katika mikono na miguu.

Sababu
Mikono na miguu numb husababishwa kutokana na sababu mbalimbali kuanzia lishe kwa ugonjwa au mishipa ya Neva na machafuko ya mfumo. Hapa chini ni chache ya sababu yake ya kawaida.
Wasiwasi na Ugonjwa wa kichwa kipanda uso kuumwa na kichwa upande mmoja

Mbili ya sababu ya kawaida ya kufa ganzi katika miguu na mikono ni mashambulizi ya wasiwasi au au kipanda uso kuumwa na kichwa upande mmoja. Wasiwasi katika mtu

inaongoza kwa mabadiliko fulani ya kisaikolojia k**a kiwango cha kuongezeka moyo na kinga ya kina kirefu, kuganda k**a vile. Vile vile mwanzo wa kuumwa kichwa upande mmoja huwa umeandamana na kupoa na uziwi katika mikono, miguu, shingo na mdomo.

Upungufu wa Vitamin Mwilini.
Upungufu wa vitamini muhimu k**a B5 vitamini, B6 na B12, vitamini A na vitamini D unaweza kusababisha kuganda pamoja na mikono na miguu baridi, uchovu, udhaifu wa misuli na kupoteza hisia. Kwa hiyo ni muhimu sana kwa kula vitamini kwaajili ya kutibu miguu kufa ganzi na k**a vile ganzi mikononi.

Kisukari
Ganzi katika mikono na miguu ni dalili muhimu ya ugonjwa wa kisukari, hasa aina II kisukari. high damu sukari na glucose ngazi ya kisukari husababisha mfumo wa neva malfunction na hatimaye husababisha uharibifu wake.

Multiple Sclerosis
Ganzi katika mikono na miguu wakati umelala ni dalili muhimu ya multiple sclerosis, hasa wakati wa hatua yake ya awali. Sclerosis Multiple ni sifa kwa hasara taratibu za ala myelin ambayo ni kifuniko kulinda ya seli ujasiri. Hii inasababisha uharibifu wa neva, pia inajulikana k**aneurodegeneration na ni wajibu kwa ganzi.

Unazidi Ischemic Attack (tia)
muda mfupi ischemic mashambulizi, pia inajulikana k**a kiharusi mini, ni ugonjwa unaosababishwa na kupoteza muda wa usambazaji wa damu kwa ubongo na hivyo kukatiza ubongo kazi. Ganzi juu ya upande wa mwili ambao unadumu kwa chini ya saa moja au mbili, ni dalili ya ugonjwa huu.

Raynaud Mwilini
Syndrome Raynaud ni machafuko ambayo spasms chombo damu ni uzoefu ama kutokana na joto chini sana au kutokana na outburst ghafla, na nguvu ya kihisia. spasms kuzuia au kukataza mtiririko wa damu kwa maeneo k**a ya vidole na miguu ambayo inaongoza kwa ganzi katika vidole vya mikononi na miguuni.
Carpal Tunnel Mwilini
Carpal syndrome handaki unasababishwa na kuumia kwa neva kuzunguka mkono. Forearm na kufa ganzi kushoto mkono ni mbili ya ishara muhimu sana ya ugonjwa huu.

Angina
Angina ni disorder wanaotambuliwa na usambazaji kupunguzwa oksijeni kwa moyo kutokana na thickening ya mishipa. Upande wa kushoto ganzi akiongozana na kiasi fulani ya maumivu ni dalili muhimu ya ugonjwa huu.

Pembeni ateri Magonjwa
Pembeni ateri ugonjwa ni ugonjwa unaosababishwa kutokana na mkusanyiko wa plaque, ambayo ni dutu fatty, katika mishipa. Mkusanyiko Hii husababisha kupungua na ugumu wa mishipa ambayo inapinga mtiririko wa damu. Ganzi katika vidole, miguu na mikono pamoja na mikono na miguu baridi ni dalili muhimu ya ugonjwa huu.

Sababu nyingine
Kuna sababu nyingine ambayo inaweza kusababisha hisia ya Ganzi katika mikono na miguu. Baadhi ya hizi ni pamoja, wadudu na kuumwa wanyama, k**a athari ya aina fulani ya dawa uharibifu, ujasiri kuletwa juu na pombe na tumbaku, na risasi, na zaidi.

KWA MATIBABU TUWASILIANE UPATE SULUHISHO la KUDUMU
📱+255766181183

𝐔𝐬𝐢𝐬𝐢𝐭𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐞𝐥𝐞𝐳𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐮𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚𝐞.Siku 7 za mwonekano mpya wa ngozi.OFFER KWA WANAWAKE 15Wahitji 15 wanawake wenye wat...
03/11/2021

𝐔𝐬𝐢𝐬𝐢𝐭𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐞𝐥𝐞𝐳𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐮𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚𝐞.

Siku 7 za mwonekano mpya wa ngozi.

OFFER KWA WANAWAKE 15
Wahitji 15 wanawake wenye watoto wanchanga watapata punguzo BURE

𝐇𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐣𝐞𝐦𝐚 𝐦𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐤𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐰𝐚 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐞𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐟𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐛𝐨𝐫𝐚.

Mwonekano mpya wa ngozi yako; ifanye na iweke ngozi yako katika mng'ao thabiti na wenye kuvutia kwa kutumia _Anatica S_.
Chukua Anatic, ifanye familia yako kua yenye furaha na ngozi yenye mng'ao na sula mpya yenye tabasamu

Pata maelekezo hapa👇:.
-------------------------------
Tutumie Ujumbe wa Sms:
Nambari ya maelekezo:
0713264378
0766181183
--------------------------------

OFFER KWA WANAWAKE 15
Wahitji 15 wanawake wenye watoto wachanga watapata punguzo BURE

Anatic hupatikana nchi nzima katika maduka maalumu.

Usikose maelekezo jinsi ya kupata anatic BURE

Offer ya wiki ya ya mama na mtoto ni kuweka mwonekano mpya wa ngozi yangu na familia kwa siku 7 tu.

Usikose maelekezo jinsi ya kujipatia Anatic H s.
-------------------------------
Tutumie Ujumbe wa Sms:
Nambari yetu ya maelekezo:
0713264378
0766181183
--------------------------------

Afya ya ngozi kw siku 7 Tu Mwonekano mpya wa ngozi yako; ifanye na iweke ngozi yako katika mng'ao thabiti na wenye kuvut...
30/10/2021

Afya ya ngozi kw siku 7 Tu

Mwonekano mpya wa ngozi yako; ifanye na iweke ngozi yako katika mng'ao thabiti na wenye kuvutia kwa kutumia _Anatica S_.

Piga simu / kupata maelekezo jinsi ya kupata sabuni hii.

Bofya kiungo 👇🏼:.
-------------------------------
https://wa.me/+255766181183?text=Naomba%20maelekezo%20kuhusu%20Ngozi%20yangu%20na%20matumizi
--------------------------------

Wahitji wa 5 wa kwanza watapata punguzo la bei BURE

Anatic huptikana nchi nzima katika maduk maalumu.

Usikose maelekezo jinsi ya kupata anatic BURE

Offer ya wiki ya Afya ya mama na mtoto kuweka mwonekano mpya wa ngozi yangu kwa wiki 1 tu.

Usikose maelekezo jinsi ya kujiptia Anatic H s.

UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU KUFAHAMUIni ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi za...
18/10/2021

UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU KUFAHAMU

Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu.
Kutokana na sababu mbalimbali k**a pombe iliyopita kiasi, sumu kwenye damu au maambukizi; ini hupata shida na kuvimba na kushindwa kufanya kazi vizuri. Hii hali huitwa HOMA YA INI au HEPATITIS.
Katika maeneo yetu, bara la Afrika maambukizi ya virusi wa Homa ya ini ndio sababu kuu ya shida kwenye ini. Virusi vya Homa ya ini vipo vya aina 5 (A,B,C,D,E).
Aina mbili za virusi (B na C ) ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini na husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.
Homa ya ini ni sawa janga linaloua kimya kimya kulingana na takwimu za vifo za dunia inakadiriwa Kirusi cha homa ya ini aina ya B pekee huua watu 600,000 hivi kila mwaka.
Kwa wastani zaidi ya watu bilioni mbili, yaani, asilimia 33 hivi ya watu wote ulimwenguni, wameambukizwa virusi vya HBV, na wengi wao hupona baada ya miezi michache. Watu milioni 350 hivi huendelea kuwa na virusi hivyo mwilini, wengi huishi bila dalili na kuendelea kuambukiza watu wengine
NAMNA GANI UNAWEZA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA HOMA YA INI (B NA C)…….?
Virusi vya homa ya ini B na C husambaa kupitia damu, shahawa au maji maji mengine ya mwili.
Virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI.
Njia hizi husambaza virusi hivi vya homa ya ini..:
Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
➡️Mama aliye na maambukizi ya Hepatitis B kumuambukiza mtoto wakati wa kujifungua, iwapo hamna juhudi za kitiba za kuzuia maambukizi kuna uwezekano hadi asilimia 90 kwa mama kumuambukiza mtoto.
Kufanya mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini
Kuchangia vifaa vyenye ncha Kali k**a sindano hasa kwa watumia madawa ya kulevya au wachora tattoo, miswaki
Kuongezewa damu ambayo ina maambukizi ya homa ya ini.
Virusi vya homa ya ini vinaweza ishi nje ya mwili kwa muda mrefu…
Tafiti zinaonyesha virusi vya homa ya ini vinaweza ishi nje ya mwili hadi kwa muda wa siku 7, bado vikiwa na uwezo wa kuambukiza mtu. Tafiti zimeonyesha hata iliyokauka huwa na uwezo wa kuambukiza virusi hivi.

NB : Iwapo kuna damu imemwagika inatakiwa isafishwe na chlorine au spirit ili kuua virusi
NANI YUPO KATIKA HATARI ZAIDI YA KUPATA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA HOMA YA INI?
° Watoto wachanga waliozaliwa na mama aliye na maambukizi ya virusi vya homa ya ini
° Watu wanaofanya biashara ya ngono
°Wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao
°Watu wanaojidunga dawa za kulevya
° Mtu mwenye mpenzi ambaye anaishi na maambukizi ya virusi vya homa ya ini
° Wafanyakazi wa sekta ya Afya
° Watu wa familia wenye ndugu anayeishi na maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini
°Wagonjwa wa figo wanaotumia huduma za kusafisha damu (dialysis)
UGONJWA WA VIRUSI VYA HOMA YA INI HUJA NA DALILI MBALIMBALI…..
Dalili za muda mfupi (acute hepatitis)
➡️ Dalili hizi za mwanzo hutokea ndani ya miezi 6 baada kuambukizwa virusi vya homa ya ini, hutokea kwa baadhi ya watu hazitokei kwa kila mtu.
Mgonjwa mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini hujiskia kuumwa
Hupoteza hamu ya kula
Kichefuchefu na kutapika
Mwili kuuma
Mkojo kuwa na rangi iliyokolea k**a Coca-Cola
Kupata manjano kwenye macho, vinganja vya mikono/kucha au mwili mzima.

Kuna kundi dogo la wagonjwa wa homa ya ini hupata ugonjwa mkali wa ini na kusababisha ini kushindwa kabisa kufanya kazi pia huweza kusababisha kifo. Hii hatua huitwa “fulminant liver failure”.
Maambukizi ya kudumu ya virusi vya Homa ya ini (chronic hepatitis)
Watu wenye maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini mara nyingi huwa hawana dalili, kadri muda unavyoenda virusi husababisha ini kusinyaa (cirrhosis) na kushindwa kufanya kazi vyema.

Pia Maambukizi ya virusi vya homa ya ini huchangia pia kupata Saratani ya ini.

Kwa nini ni muhimu kupima ili kujua k**a una maambukizi ya virusi vya homa ya ini? ….
Watu wengi huishi na maambukizi ya virusi vya homa ya ini bila kufahamu. Kwa kawaida katika kipindi fulani cha maisha mtu 1 kati ya watu 3 huambukizwa virusi vya homa ya ini. Baada ya kuambukizwa, kuna kundi la watu hubaki na maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini ambayo huwa hayana dalili yoyote na kuendelea kuua ini kimyakimya. Dalili huja kuonekana waziwazi miaka mingi baada ya mtu kuambukizwa. Huonekana wakati tayari ini limenyauka au lina kansa.
Hivyo Mtu aliye na maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini aina B akianza matibabu mapema, anaweza kuzuia ini lake lisiharibike sana. Pia kwa wenye maambukizi ya virusi aina C matibabu ya dawa wiki 12 humaliza virusi vyote.
NANI ANAHITAJI KUPIMWA MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI?

Watu kutoka makundi yafuatayo ni sharti kupimwa k**a wana maambukizi ya virusi wa homa ya ini……
Watu wanaoishi kwenye maeneo yenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini kwa zaidi ya asilimia 2. -Tanzania ni moja ya nchi zenye kiwango cha maambukizi ya virusi vya homa ya ini kwa wastani wa 5% hivyo watanzania wote ni muhimu kupima
Watu wote wanaotumia dawa za kulevya na kujidunga
Wafanyakazi katika sekta ya afya
Watu wote wanaoishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI
Watu wote ndani ya familia wanaoshi na ndugu aliyeambukizwa virusi vya homa ya ini
Watu wote wanaotumia dawa za kufubaza kinga ya mwili (immunosuppressive therapy)
Watu wote wenye ugonjwa wa figo wanahitaji kuanza dialysis
Kina mama wajawazito wote
Wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao.
UGONJWA WA HOMA YA INI HUWA NA MATOKEO MABAYA…..
Kwa wastani watu 25 kati ya 100 walioambukizwa virusi vya homa ya ini wakiwa watoto na 15 kati ya 100 waliopata maambukizi ya kudumu ya homa ya ini baada ya utoto hufariki wakiwa na umri mdogo kwa ugonjwa wa ini (ini kushindwa kufanya kazi) au saratani ya ini.
CHANJO YA DHIDI YA VIRUSI VYA HOMA YA INI

Chanjo dhidi ya homa ya ini hutolewa kwa watoto wote k**a ilivyo kwenye mpango wa chanjo wa Taifa, pia hutolewa kwa watu wazima ambao hawajawahi kupata chanjo.
Chanjo hutolewa kwa njia ya sindano, ambapo huwa ni sindano 3; sindano ya kwanza hutolewa baada ya kupimwa kujua k**a hauna maambukizi tayari, sindano ya pili hutolewa baada ya mwezi mmoja na sindano ya 3 baada ya miezi 6.
Makundi ambayo ni lazima kupatiwa chanjo ya homa ya ini
Watoto wote
Watu wote wanaotumia dawa za kulevya na kujifungua
Watu wote wanaoishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI
Watu wote ndani ya familia wanaoshi na ndugu aliyeambukizwa virusi vya homa ya ini
Watu wote wanaotumia dawa za kufubaza kinga ya mwili (immunosuppressive therapy)
Wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao
Watu wote wanaoufanya biashara ya ngono
Watu wote ambao wana mpenzi zaidi ya mmoja ndani ya miezi 6
Watu wenye maradhi ya kudumu ya ini
Watu wengine wote wanahitaji KUJIKINGA dhidi ya virusi vya homa ya ini
DONDOO ZA MSINGI KUHUSU HOMA YA INI……
👉Asilimia 95 ya wagonjwa wa homa ya ini hutokana na maambukizi ya virusi vya homa ini aina B na C.
👉 Inakadiriwa katika kila watu watatu, mtu 1 huambukizwa virusi vya homa ya ini katika kipindi fulani kwenye maisha yake.
👉 Takwimu za shirika la afya duniani zinaonyesha takribani watu milioni 325 duniani wanaishi na maambukizi ya virusi vya homa ya ini, wengi hufariki na maradhi ya ini ikiwemo saratani ya ini.
👉 Asilimia 95 ya watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya homa ya ini hawajui k**a wana maambukizi

Hepatitis inatibika
Bofya 👇🏼
https://wa.me/255766181183 kupata ushauri kuhusu matibabu ya Hepatitis

Leo tutizamie tatizo la Sukari mwilini.Wagonjwa wengi wenye tatizo la sukari mwilini hukutana na changamoto kubwa ya kut...
03/09/2021

Leo tutizamie tatizo la Sukari mwilini.

Wagonjwa wengi wenye tatizo la sukari mwilini hukutana na changamoto kubwa ya kutumia dawa nyingi ili kupunguza kiwango cha sukari na wengine hukosa kabisa mtibabu ta unakika kutibu tatizo hili.

Wengi huchoka kabisa kwa hali ya matumizi yamala kwa mala ya madawa bila kupona.

Ni wakati sasa wa kuondoa kabisa tatizo la sukari mwilini kwa siku zisizo pungua 90 hadi 120 tu.

Ni wakati sasa wa kuondoa kabisa tatizo la sukari mwilini kwa siku zisizo pungua 90 hadi 120 tu.

Unachohitaji ni Elimu kwanza kuhusu Tatizio la SUKARI MWILINI kisha ungana nami moja kwa moja kupata PROGRAM MAALUM YA SUKARI KWA SIKU 90 HADI 120 TU.

Usikate kiungo chako cha mwili kwasababu ya tatizo la sukari.

Tatizo la Sukari mwilini LINATIBIKA kabisa.

Fuatana nami leo

Ugonjwa wa Kisukari ni Nini? Chanzo, Dalili na tiba yake

KISUKARI NI NINI HASWA?

Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya chembe hizo inahitaji insulini. Insulini ni kemikali (Homoni) ambayo hutokezwa na kongosho (Pancrease).

Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.

Ugonjwa wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo

NINI CHANZO HASA CHA KISUKARI?

Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu. Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea. Moja ni sukari inayoitwa glucosi ambayo ni chanzo cha nishati/nguvu mwilini huingia katika damu. Tukio la pili ni kiungo kinachoitwa kongosho (Pancrease) kutengeneza kichocheo cha insulini. Kazi ya insulini ni kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika k**a nishati.

Watu wenye kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu. Hii ni kutokana na moja ya sababu zifuatazo, huenda kongosho zao haziwezi kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili wao haziathiriwi na insini k**a inavyotakiwa au sababu zote hizo

K**a wewe ni mnene kupita kiasi, hufanyi mazoezi kwa ukawaida au una watu wa ukoo walio na kisukari, huenda tayari una kiwango cha juu cha sukari kwenye damu. Ongezeko la sukari kwenye damu mbali na kuwa kisababishi cha kisukari, hali hiyo inahusianishwa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa akili uitwao 'DEMENTIA'.

Kula sukari nyingi sio sababu ya ugonjwa wa kisukari. Lakini lazima tuseme kwamba kula sukari nyingi si nzuri kwa afya yako kwani utaongeza uzito wa kuweza kuathiri uwezo wa mwili wako kujikinga na maradhi tofauti. Ugonjwa wa kisukari umeitwa kwa kufaa "ugonjwa unaoathiri kiini cha nishati ya mwili". Mwili unaposhindwa kutumia glukosi, mifumo mbalimbali ya mwili inaweza kuacha kufanya kazi au hata kusababisha kifo.

Ugonjwa wa Kisukari kitaalamu hujulikana k**a 'DIABETES MELLITUS'. Jina 'Diabetes Mellitus' linatokana na neno la Kigiriki linalomaanisha 'kunyonya' na neno la Kilatini linalomaanisha 'tamu k**a asali'. Maneno hayo yanafafanua vizuri sana ugonjwa huo, kwani maji hupita mwilini mwa mtu aliye na ugonjwa wa kisukari kana kwamba yananyonywa na mdomo na kupitia kwenye njia ya mkojo kisha kutoka nje ya mwili. Isitoshe mkojo huwa na ladha tamu kwa kuwa una sukari. Ndiyo sababu kabla ya kuvumbua njia bora za kupima ugonjwa huo, mbinu moja ya kutambua k**a mtu ana ugonjwa wa kisukari ilikuwa kumwaga mkojo wa mgonjwa karibu na kichuguu cha sisimizi. Ikiwa sisimizi wangevutiwa na mkojo huo basi hilo lilimaanisha kwamba mkojo una sukari.

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?

Watu walio katika makundi yafuatayo wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kisukari:-

– Wenye uzito uliozidi,

– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao,

– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,

– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi,

– Wenye shinikizo la damu,

– Wenye msongo wa mawazo na

– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.

Watu hawa wanashauriwa kupima sukari yao kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.

Kuna hatari kubwa ya kuugua ugonjwa huo ikiwa mtu ana mafuta mengi katika tumbo na kiuno chake kuliko katika mapaja yake. Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.

Wavutaji wa sigara wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi kwani zoea hilo hudhuru moyo na mfumo wa mzunguko wa damu na kubana mishipa ya damu. Kitabu kimoja kinasema kwamba asilimia 95 ya watu wanaougua kisukari ambao hulazimika kukatwa viungo ni wavutaji wa sigara.

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI

~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.
~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana.
~ Wanawake kuwashwa ukeni.
~ Kutoona vizuri.
~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.
~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole.
~ Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata ganzi

PROGRAM MAALUM KWAAJILI YA KUONDOA KABISA TATIZO LA SUKARI MWILINI KWA SIKU 90 HADI 120 BILA KUTUMIA DAWA TENA.

Ushauri zaidi na jinsi ya kuanza Program hii maalumu bofya👇🏼

___________________
https://wa.me/+255766181183
------------------------------

Address


Telephone

+255620324795

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mama na mtoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya mama na mtoto:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram