Tengeru Deaf Group

Tengeru Deaf Group Tengeru Deaf Group is a community group based in patandi village and registered by Tanzania government under Meru District Council.

it was founded in 1/8/2020 and registered in 13/8/2020 for registration number :- MER/US/KND/0669

Dear, Customer.To place your order for our products catalog which you want it and you will be delivered your package/par...
30/07/2023

Dear, Customer.
To place your order for our products catalog which you want it and you will be delivered your package/parcel by EMS Worldwide for honestly and truthful.

Our products catalog (kind of the blanket, size, and its price):-
1. King blanket - size 260x220 cm - US$ 73
2. Queen blanket - size 240x220 cm - US$ 58
3. Double blanket - size 220x200 cm - US$ 49
4. Single blanket - size 220x160 cm - US$ 39
5. Warrior Maasai - size 220x130 cm - US$ 33

Welcome all customers.

Habari za majukumu wataalamu! Naomba niwatangazie kuwa ofisi ya waziri mkuu,kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu kwa kus...
06/04/2023

Habari za majukumu wataalamu!

Naomba niwatangazie kuwa ofisi ya waziri mkuu,kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu kwa kushirikiana na wizara ya Elimu kupitia mamlaka ya elimu Tanzania (TEA) imetoa fursa ya ufadhili kwa ajili ya vijana wenye ulemavu 92 kupata mafunzo ya ufundi stadi katika chuo cha ufundi kwa watu wenye Ulemavu Sabasaba, Singida.

Vijana wanatakiwa kureport chuoni tarehe 12 april 2023.

Fani zitakazotolewa:
- Ushonaji nguo,
- Useremala,
- Ufundi simu,
- Uokaji keki na mikate,
- Ufundi umeme wa majumbani,
- Uchomeleaji vyuma,
- Ususi na urembo.

Vijana watapata mafunzo bure,malazi,chakula, posho ya kujikimu, nauli ya kuja na kurudi chuoni.

Umri: miaka 15 hadi 40.

Aina ya ulemavu: Ulemavu wa aina zote na muombaji awe na uwezo wa kujihudumia k**a kula n.k.

Muda wa mafunzo: Miezi 3

Hivyo wasiliana na uongozi wa chuo kwa ajili ya fomu za kujiunga pamoja na taratibu za kujiunga kwa namba
Mratibu wa mafunzo:0755261127
Mkuu wa chuo: 0753032727

Copy and paste

Dear customer, Welcome, you let's get all kind of blanket  items (Hand woven/weaving) which are made by deaf tanzanians ...
04/12/2022

Dear customer,

Welcome, you let's get all kind of blanket items (Hand woven/weaving) which are made by deaf tanzanians hand weaver's, we are selling wholesale or retail. Our price is a very cheap. Also, internationally we are sending for a great trusteeship.
100% Original cotton
100% delivery up to your home

To place your order for our products catalog which you want it and you will be delivered your package/parcel for honestly and truthful.

Our blanket products catalog
1. King blanket - size 260x220 cm
2. Queen blanket - size 240x220 cm
3. Double blanket - size 220x200 cm
4. Single blanket - size 220x160 cm
5. Warrior Maasai - size 220x130 cm

Our blankets price for different countries due to shipping cost/postage:-
1. Netherlands, Canada, USA, Germany, Finland, Sweden, Spain, Switzerland & France countries
- king blanket - €129/ US$ 134
- queen blanket - € 105/ US$ 109
- double blanket - € 95/ US$ 99
- single blanket - € 81/ US$ 84
- warrior Maasai - € 73/ US$ 75

2. Austria, Belgium, Czech, Denmark, Ireland, Italy, Monaco, Luxembourg, Norway, Portugal, Bulgaria & Romania countries
- king blanket - € 120/ US$ 124
- queen blanket - € 99/US$ 102
- double blanket - € 90/US$ 93
- single blanket - € 76/US$ 78
- warrior Maasai - € 63/US$ 65

3. Argentina, Andorra, Australia, China, Chile, South Korea, Latvia, Peru & Russia countries
- king blanket - € 127/ US$ 131
- queen blanket - € 104/ US$ 108
- double blanket - € 95/ US$ 99
- single blanket - € 81/ US$ 84
- warrior Maasai - € 73/ US$ 75

Remember, if you buy blanket product from us, you will be helping more deaf peoples why this fund aims to ensure that deaf peoples are getting the opportunity to learn tanzania sign language, read and write.

Make your order through our email (tengerudeafgroup@gmail.com) for quality customer service and cheap shipping cost/postage.

Buy your blanket now!

You don't forget to share or tell your friend, relative or family about this message on social media platforms (Facebook, Instagram, Twitter, Whatsapp & Telegram) or your email.

Thank you.

01/11/2022

Happy November Month

 🙆🙆🙆
04/09/2022

🙆🙆🙆

24/08/2022
Happy International Youth Day    World Federation of the Deaf Ry
12/08/2022

Happy International Youth Day






World Federation of the Deaf Ry

Happy Farmers Day
08/08/2022

Happy Farmers Day

Asanteni watu wote kwa kutufikisha vipendwa 2,000 na wafuasi zaidi ya 2,000 kwenye ukurasa wetu wa Facebook ... Endelee ...
05/08/2022

Asanteni watu wote kwa kutufikisha vipendwa 2,000 na wafuasi zaidi ya 2,000 kwenye ukurasa wetu wa Facebook ...

Endelee utufuatilie ili tunakufikisha taarifa na matukio yetu utakayoyapata.

Usisahau ku-LIKE na ku-FOLLOW ukurasa huu na ku-SHARE na mwenzako...

Kubariki kwa wote wanaofuata ukurasa huu.

02/08/2022

MFUMO WA MICHEZO YA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA.

Moja ya tafiti muhimu nilizowahi kufanya juu ya watu wenye ulemavu ulionesha kwamba "kuna njia mbili tu za kufanya ili kuleta ustawi kwa jamii ya watu wenye ulemavu nchini. Njia hizo ni Elimu na Michezo pekee".
Leo Nita fafanua zaidi eneo la michezo kwa kuangalia mifumo inayo beba michezo ya watu wenye ulemavu Tanzania.

Michezo ya watu wenye ulemavu nchini ina simamiwa na taasisi tatu za michezo k**a ifuatavyo:

1. TPC (k**ati ya Paralympiki Tanzania)
K**ati ya paralympiki Tanzania ilianzishwa mwaka 2002 ikiwa ni maazimio ya nchi wanachama wa jumuiya ya madola. K**ati ya kimataifa ya Olympiki ili kubali kukasimu baadhi ya majukumu yake ya kuratibu michezo ya walemavu kwa K**ati mpya ya kimataifa ijulikanayo K**a IPC (international Paralympics Committee). Lengo kuu la k**ati za paralympiki za nchi wanachama ni kuratibu michezo na mashindano yanayo tambuliwa na k**ati ya kimataifa IPC. Michezo iliyo chaguliwa na Paralypiki ipo zaidi ya 24 ambayo mtu mwenye ulemavu anaweza kushiriki kulingana na matamanio yake. Pia michezo hiyo imegawanywa kwenye madaraja (classification) mbalimbali kulingana na aina na kiwango cha ulemavu wa mchezaji.
Mashindano makubwa yanayo ratibiwa na IPC kwa ushirikiano wa k**ati za nchi wanachama ni pamoja na mashindano ya jumuiya ya madola kwa Afrika na kwa Dunia, mashindano ya paralympiki ya Dunia yanayo fanyika baada ya Olympiki ya Dunia.
Michezo hii ya Paralympiki imekuwa na umaarufu mkubwa na uungwaji mkubwa kutoka kwa wadau mbalimbali wa ndani na wa kimataifa, hali hii imekuwa ikitengeneza fursa nzuri kwa watu wenye ulemavu kwa nchi wanachama wa IPC. Baadhi ya michezo ni k**a wheelchair basketball, sitting volleyball, para table tennis, wheelchair tennis, power lifting, para swimming na mengine mengi.

2. SOC (k**ati ya Olympiki Maalum)
Mashindano ya Olympiki maalum yame anzishwa kwa lengo la kutoa fursa ya michezo kwa watu wenye ulemavu wa akili. Twimu zina onesha kwamba ulemavu wa akili unazidi kuongezeka duniani huku njia pekee ya kupunguza athari za ulemavu huu ni kuhusisha michezo kwa walemavu wa akili. Olympiki maalum imeanzishwa miaka ya karibuni na imekuwa ikiratibu michezo mbalimbali kwa watu wenye ulemavu wa akili.

3. TAFF (shirikisho la mpira wa mguu kwa Walemavu).
Hili ni shirikisho jipya lililo undwa kwa lengo la kufufua, kuratibu na kusambaza mchezo wa mpira wa mguu kwa watu wenye ulemavu nchini. Mpira wa mguu ndio mchezo pekee wenye mashabiki wengi zaidi duniani. Ina aminika kwamba mchezo huu unaweza kutumika Kuleta maelewano na amani Katina sehemu ambazo zina mafarakano na Vita.
Kwa umaarufu wa mchezo huu, ina aminika kwamba ndio mchezo wa kwanza wenye mashabiki wengi kuliko michezo mingine ya watu wenye ulemavu nchini. Ni mchezo unao unganisha watu wa makundi tofauti na kuwa kitu kimoja. Kwa sasa shirikisho lipo kwenye maandalizi ya ligi ndogo ya mkoa wa Dar itakayo anza karibuni. Mpira wa mguu kwa watu wenye ulemavu wa viungo una simamiwa na shirikisho la mpira huo Duniani linajulikana k**a World Amputee Football Federation (WAFF) ambao wanafanya kazi kwa karibu na FIFA. shirikisho la Dunia ikishirikiana na mashirikisho ya mchezo huo katika nchi na mabara mbalimbali wamekuwa wakiandaa mashindano makubwa ya mchezo huo ya kibara na kombe la Dunia. Mwaka guy, WAFF imeandaa kombe la dunia nchini Mexico litakalo anza fanyika mwishoni mwa mwezi huu. Hili litakuwa kombe la nne la dunia kwa mchezo huu.

Hivyo kuna vyama vikuu vitatu k**a ilivyo ekelezwa halo juu wenye dhamana ya kutoa fursa za michezo kwa watu wenye ulemavu nchini, kuna kila sababu ya kuendeleza michezo ya watu wenye ulemavu.

Wenye dhamani hizi hasa TPC na TAFF ni vizuri kujipanga na yajayo .

Asanteni

Peter Sarungi
President - TAFF
Chairman - Africa Disability Friends

31/07/2022

Happy Sunday to All Our Followers..

Jumapili Njema kwa Wafuasi Wetu Wote..

mawakili wa kujitegemea wanaombwa kuwasaidia walemavu kwa changamoto wanazokabili nazo lazima kufuata na Sheria hii..
02/07/2022

mawakili wa kujitegemea wanaombwa kuwasaidia walemavu kwa changamoto wanazokabili nazo lazima kufuata na Sheria hii..

FAHAMU: Siku ya Lugha ya kiswahili Duniani kufanyika katika tarehe 7 mwezi wa Saba Kila mwaka...      Bakitatz
24/06/2022

FAHAMU: Siku ya Lugha ya kiswahili Duniani kufanyika katika tarehe 7 mwezi wa Saba Kila mwaka...





Bakitatz

Today is Happy   2022
16/06/2022

Today is Happy 2022

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tengeru Deaf Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tengeru Deaf Group:

Share