Oky Tanzania

Oky Tanzania Programu janja ya kufuatilia siku za hedhi kwa ajili ya wasichana wa rika balehe Tanzania.

Merry Christmas 🎄With love from Team Oky to our amazing family ❤️Download the OkyTanzania App and stay informed, confide...
25/12/2025

Merry Christmas 🎄

With love from Team Oky to our amazing family ❤️
Download the OkyTanzania App and stay informed, confident, and safe about your menstrual health.

Ukiwa na Oky Tanzania, Unakua umepata rafiki mwenye taarifa muhimu zitakazo kusaidia kusimamia mwili wako na kujua juzi ...
11/12/2025

Ukiwa na Oky Tanzania, Unakua umepata rafiki mwenye taarifa muhimu zitakazo kusaidia kusimamia mwili wako na kujua juzi mbalimbali za digitali

Utajifunza ukiwa na Oky Tanzania App, Download sasa kutoka Playstore na Appstore ili kujifunza



04/12/2025

HEALTH TIPS: Kila msichana ana namna yake hasa katika ulaji anapokua kwenye kipindi cha hedhi, Lakini japo muhimu ni kujua namna nzuro ya kula ili kuwa salama kiafya nyakati zote

Tazama episode hii ili kujifunza namna ya ulaji wakati wa hedhi kutoka kwenye channel yetu ya YouTube (Tai Impact)


Karibu kwenye mwezi mpya na Oky Tanzania, Kila mwezi kwetu ni furaha na nyakati mpya za kujua masuala mbalimbali kuhusu ...
02/12/2025

Karibu kwenye mwezi mpya na Oky Tanzania, Kila mwezi kwetu ni furaha na nyakati mpya za kujua masuala mbalimbali kuhusu Afya zetu na kuhakikisha tupo salama

Pakua Aplikesheni ya Oky Tanzania kwenye App Store na Play Store ili kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Hedhi salama na elimu ya afaya ya uzazi

Kuwa bora kiafya ni uamuzi tu! 🦅❤️Pakua Aplikesheni ya OkyTanzania ili kupata taarifa zote za msingi kubusu Afya yako, L...
28/11/2025

Kuwa bora kiafya ni uamuzi tu! 🦅❤️

Pakua Aplikesheni ya OkyTanzania ili kupata taarifa zote za msingi kubusu Afya yako, Lishe, Mazoezi ya msingi bila kusahau juzi muhimu za digitali.

Elimu kuhusu hedhi salama sasa inawafikia wasichana wengi nchini Tanzania na duniani kote. 🌍Haya ni matokeo ya juhudi zi...
27/11/2025

Elimu kuhusu hedhi salama sasa inawafikia wasichana wengi nchini Tanzania na duniani kote. 🌍

Haya ni matokeo ya juhudi zinazofanywa na wadau mbalimbali wa maendeleo kupitia mifumo k**a Oky Tanzania. Sasa unaweza kujifunza zaidi kuhusu hedhi na kufuatilia mzunguko wako kidigitali kwa urahisi na kwa usiri.

Changia ongezeko hili la 64% la wasichana wanaopata elimu sahihi ya hedhi kwa kutumia Oky Tanzania jiongezee uelewa, nguvu na ujasiri.

Pakua Oky Tanzania kwenye App Store na Play Store leo.

Elimu kuhusu hedhi salama sasa inawafikia wasichana wengi nchini Tanzania na duniani kote. 🌍Haya ni matokeo ya juhudi zi...
26/11/2025

Elimu kuhusu hedhi salama sasa inawafikia wasichana wengi nchini Tanzania na duniani kote. 🌍

Haya ni matokeo ya juhudi zinazofanywa na wadau mbalimbali wa maendeleo kupitia mifumo k**a Oky Tanzania. Sasa unaweza kujifunza zaidi kuhusu hedhi na kufuatilia mzunguko wako kidigitali kwa urahisi na kwa usiri.

Changia ongezeko hili la 64% la wasichana wanaopata elimu sahihi ya hedhi kwa kutumia Oky Tanzania jiongezee uelewa, nguvu na ujasiri.

Pakua Oky Tanzania kwenye App Store na Play Store leo.



24/11/2025

Unajua namna nzuri ya kuhifadhi PEDI baada ya kuitumia?

Baada ya kuitumia PEDI inabidi ihifadhiwe sehemu sahihi kwa usalama zaidi baada ya matumizi. Hizi ni njia sahihi za kuiweka sehemu salama na kuepusha kuhatarisha mazingira yoyote baada ya kuitumia

Download Aplikesheni ya Oky Tanzania kwa taarifa sahihi za afya yako.

History in the making Team Tai joined six other countries in Lusaka, Zambia for the first ever Oky inception meeting uni...
20/11/2025

History in the making Team Tai joined six other countries in Lusaka, Zambia for the first ever Oky inception meeting united by one mission: strengthening the Oky app journey from where it began, where it is now, and the powerful future we are building together.

With teams from Tanzania, Kenya, Burundi, South Africa, Zambia, Côte d’Ivoire, and Madagascar, the space was filled with energy, innovation, and bold ideas.

From insightful market visits to deep discussions on disability inclusion, MEL, and low-tech accessibility, the experience was transformative.

The highlight came during dynamic knowledge-sharing sessions, where each country proudly showcased the unique features they’ve introduced to their Oky app, sparking fresh inspiration across borders.



Mambo vipi Binti,Mtaani kwako wanasema nini kuhusu hedhi salama?!Tuambie tujifunze kupitia wewe 🦅Drop a comment✨
20/11/2025

Mambo vipi Binti,

Mtaani kwako wanasema nini kuhusu hedhi salama?!
Tuambie tujifunze kupitia wewe 🦅

Drop a comment✨


18/11/2025

, Sasa hewani!

Tunakuletea taarifa mbalimbali za kiafya kipindi cha hedhi, lishe bora, na mbinu za kujitunza ili ujisikie huru na kujiamini wakati wote.

Pakua Oky Tanzania sasa kupitia Play Store au App Store ili kupata maudhui sahihi na rafiki kuhusu hedhi salama.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oky Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram