21/06/2023
๐๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ ๐๐ ๐๐จ๐ฒ๐จ ๐๐ค๐จ ๐๐๐ญ๐๐ซ๐ข๐ง๐ข ๐๐ฎ๐ฒ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐๐๐ฆ๐ ๐๐ฎ๐ฃ๐๐๐ก๐ข๐๐ข๐ญ๐ข ๐๐ซ๐๐ฌ๐ก๐
Unaweza Kudhibiti Presha. Pia unaweza kuepuka madhara ya presha. Usipodhibiti, shinikizo la damu la juu, au k**a linavyojulikana sana , linaweza kuwa na athari kubwa kwa afya ya moyo na kusababisha matatizo mbalimbali.
Presha inapokuwa juu huleta ukinzani na kusababisha moyo kufanya kazi ya kusukuma damu kwa kutumia nguvu zaidi, hivyo kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
Baadhi ya matatizo yanayoweza kusababishwa na presha kwenye moyo ni k**a yafuatayo:
๐ญ. ๐จ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐๐ต๐ถ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ผ๐๐ผ
Presha inaweza kusababisha mishipa inayosambaza damu kwenye moyo kukak**aa na kuwa membamba zaidi na kupunguza mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo..
๐ฎ. ๐ ๐ผ๐๐ผ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐บ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ
Kazi kubwa ya kusukuma damu ambayo moyo hufanya kwasababu ya presha inaweza kusababisha misuli ya moyo kuwa mikubwa.
Hii ni k**a kwa watunisha misuli, misuli yao huongezeka kadiri wanavyonyanyua uzito mkubwa.
Tofauti ya ukuaji wa misuli ya moyo huathiri uwezo wa moyo kusukuma damu kwa ufanisi.
Matokeo yake moyo hushindwa kufanya kazi vizuri, mapigo ya moyo, na kuongeza hatari shambulio la moyo.
๐ฏ. ๐ ๐ผ๐๐ผ ๐ธ๐๐ณ๐ฒ๐น๐ถ
Presha isiyodhibitiwa inaweza kusababisha moyo kufanya kazi kwa nguvu zaidi na kupoteza uwezo wake wa kusukuma damu kwa ufanisi. Maana yake ni kwamba k**a moyo utashindwa kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa, hautaweza kupokea damu kwa kiwango kinachotakiwa.
๐ฐ. ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฝ๐ถ๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ผ๐๐ผ
Presha inaweza kuvuruga shughuli ya kawaida ya umeme katika moyo, hivyo kusababisha mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida (matatizo ya mapigo ya moyo).
Matatizo haya ya mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida yanaweza kuongeza hatari ya matatizo k**a vile kuganda kwa damu, kiharusi, na shambulio la moyo.
๐. ๐๐ก๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ ๐๐จ๐ฒ๐จ
Shinikizo la damu la juu (presha) linachangia kuharibu mishipa ya damu, hali inayosababisha kujengeka kwa utando ndani ya mishipa.
Iwapo utando utabandukana na kuziba njia ya damu kwenye mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye moyo. Shambulio la moyo hutokea pale misuli ya moyo inapokosa damu ya kutosha.
Nimekuandikia makala kukufahamisha kwa kina kuhusu somo hili na namna ya kujikinga lakini hapa hapatoshi.
Kufahamu zaidi 0744 064 283