
02/05/2025
๐จ๐๐จ๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐ง๐๐ง๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐จ๐ ๐ - ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐ฌ๐ก๐๐๐ข๐ ๐๐ฆ๐ง๐๐:
Gynecomastia ni ugonjwa unao sababishwa na ongezeko la kiasi cha tishu za tezi za mat**i kwa wavulana au wanaume.
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ก๐ ๐ฆ๐๐๐๐๐จ ๐ญ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐ฌ๐ก๐๐๐ข๐ ๐๐ฆ๐ง๐๐:
โ
Ukosefu wa usawa wa homoni za estrojeni na testosterone husababisha ugonjwa wa Gynecomastia.
โ
Ugonjwa huu unaweza kuathiri ukuaji wa mat**i inaweza kuwa t**i moja au mat**i yote mawili.
โ
Pseudogynecomastia ni ongezeko la mafuta katika tishu za tezi katika mat**i ya mwanaume.
โ
Gynecomastia mara nyingi husababishwa na mabadiliko katika viwango vya homoni za estrojeni na testosterone.
โ
Gynecomastia inaweza kuwa athari ya upande wa dawa fulani, k**a vile dawamfadhaiko, antibiotics, chemotherapy, dawa za saratani ya tezi dume, au kidonda au dawa za moyo na mishipa.
โ
Dawa haramu, k**a vile anabolic steroids, heroini, au bangi pia inaweza kusababisha gynecomastia.
โ
Baadhi ya magonjwa na hali za kiafya zinazo weza kusababisha ugonjwa wa gynecomastia:
โช๏ธMabadiliko ya homoni za uzazi baada ya kubalehee.
โช๏ธWingi wa mrundikano wa mafuta kwenye seli na tishu za mat**i.
โช๏ธMagonjwa ya ini
โช๏ธUgonjwa wa figo
โช๏ธSaratani ya mapafu
โช๏ธSaratani ya tezi dume
โช๏ธUvimbe wa tezi za adrenal au tezi ya pituitary
โช๏ธBaadhi ya hali ambazo mtoto huzaliwa nazo (matatizo ya kuzaliwa nayo)
โช๏ธMatatizo ya tezi
โช๏ธUnene kupita kiasi
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐ฌ๐ก๐๐๐ข๐ ๐๐ฆ๐ง๐๐:
โ
Saratani au kansa ya mat**i.
โ
Kupoteza hali ya kujiamini (kukosa confidence).
โ
Kutokuweza kuvaa nguo za kubana.
โ
Upungufu wa nguvu za kiume.
โ
Ugumba kwa wanaume.
โ
ganzi
โ
Kupoteza maisha.
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐ง๐จ๐๐๐ฃ๐ข: Hospitali, tunapatikana Dar es salaam Mbezi luis.
๐๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐๐ผ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐ต๐๐๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ฏ๐๐ฟ๐ฒ๐ฒ.
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp: 0788 192 738 +255788192738
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ.