
28/12/2023
Biblia inasema “Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia;...” —1Petro 4:7.
Hivyo yapo mambo Muhimu sana toka katika Neno la Mungu jinsi ya kusimama imara katika Nyakati hizi za mwisho ! 👉Nenda Kwenye somo zima https://youtu.be/DaWvt6jZ2Zg?si=b44JNzwb_pktUQcN.
Kuwa na akili, kukesha katika sala (maombi) na kukuza upendano wa kindugu, Ni muhimu sana kwa ajili ya Nyakati hizi ambazo Biblia inasema "mwisho wa mambo yo...