Mr Nasir Herbalist Masapliment

Mr Nasir Herbalist Masapliment Tunasaidia kutatua changamoto mbali mbali za kiafya Kwa kutumia tiba lishe zisizo na kemikali yoyote

20/01/2023

Kwa MATATIZO ya mifupa na maungio, magoti kuuma au kusagana, Maumivu ya mgongo na kiuno tupigie/Whatsapp

LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE.        Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya ...
11/12/2022

LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE.

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

1) Kuwa na halemu (Cholesterol)
2) Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
3) Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
4) Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
5) Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
6) Kisukari
7) Kuwa na mawazo na wasiwasi
8) Matumizi ya madawa mbalimbali
9) Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
10)Kuwa na tatizo la kibofu
11) Tabia za kujichua kwa mda mrefu
12) Kutopata usingizi kamili
13) Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

1) Kuwahi kufika kileleni
2) Kukosa hamu ya mapenzi
3) Kushindwa kurudia tendo la ndoa
4) Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
5) Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
6) Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
7) Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
8) Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Tunatumia virutubisho lishe vya asili visivo na kemikali ambavo humfanya mtu kupona mazima changamoto yake. Virutubisho hivo hutibu kwa muda mfupi tu kuanzia siku 6 had week 2 changamoto itakua imeshakwisha baada ya kutumia doz.
KWA MAHITAJI
Tupigie

*ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI NA KWANINI UTUMIE DETOX*06216723941. Matatizo ya ngozi kwa mfano c...
11/12/2022

*ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI NA KWANINI UTUMIE DETOX*
0621672394

1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. Kuwa na uzito wa kupindukia
3. Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. Kichwa kuuma kila mara
6. Kupata miwasho
7. Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
8. Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. Tumbo kujaa gesi nk

MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
Detox ndio suluhisho
Zipo kwenye ofa
0621672394 Mr Nasir M Juma

*UVIMBE ( Fibroids) KWENYE KIZAZI  UNAVYO TOKEA NA JINSI GAN  UNALETA MADHARAA,_*  _0621672394_ Kwanza kabisa vimbe huto...
11/12/2022

*UVIMBE ( Fibroids) KWENYE KIZAZI UNAVYO TOKEA NA JINSI GAN UNALETA MADHARAA,_*
_0621672394_
Kwanza kabisa vimbe hutokea kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke na uvimbe huo pind ikitokea huwa una leta athari nyingi katika afya ya mwanamke.

*Aina za Uvimbe*
• Kuna Uvimbe unao tokea ndan ya kizazi.
•kuna unaotokea nje ya kizazi.

*Sababu ambazo husababisha uvimbe kutokea kwenye mfumo wa uzazi.*

🌑historia kwenye familia K**a Kuna mtu alishawahi kupata (Genetic history)

🌑Homones imbalance, hususan hormone ya estrogen ( hii ndio kichocheo wakat wa hedhi ndio hufanya kuta za uzazi kuwa nyembamba kwa maandaliz ya kupokea yai kutungwa,

🌑kuwa na mawazo kupita kiasi(Kuna pelekea mvurugiko wa vichocheo pia)

🌑ukosefu wa vitamin D hupelekea kupata Uvimbe

🌑matumizi ya dawa za kuzuia mimba mfano kitanzi, sindano n.k

*Dalili za ugonjwa huu,*

🛑 kukojoa Mara kwa Mara, maana Uvimbe hukandamiza kibofu

🛑kutokwa na damu nying wakat wa hedhi na mda mwingne mabonge mabonge ya damu

🛑kupata hedhi katikat ya mwezi na wakat huo huo maumivu ya kiuno

🛑kupata maumivu wakat wa tendo la ndoa

🛑kupata maumivu ya mgongo

🛑kushindwa kubeba ujauzito au ujauzito kunaribika

_Uvimbe ukizid Sanaa miguu huvimba,kupungukiwa damu,_

*Watu walio kwenye hatarii ya kupata ugonjwa huu*

🔴 mwanamke ambae hajawahi kuzaa kabisa

🔴wanawake wanene hususan unene was kujiongezea

🔴wanaopata hedhi mapema

*Ni kwann Uvimbe humfanya mwanamke asipate ujauzito.*

Pale Uvimbe ukiota kwenye mfuko wa uzazi huweza kuziba mirija inayo safirisha mayai kutoka kwenye o***y kwenda kwenye uterus ( sehem ambapo mtoto hutungwa)..

Na K**a huo Uvimbe usipo ziba mirija bhasi mimba hutungwa na huharibika pia na kutoka,

*Matibabu yake*

🔵hupelekwa hospital na kufanyiwa Upasuaji na K**a Uvimbe Ni mkubwa umeathiri sehem kubwa
.. Huwa anatolewa kizazi kabisa na kubaki bila kizazi. Na huwaga Uvimbe unarudia Tena K**a hormones zikiwa hajizasawazishwa mwilin.

*Wasiliana nami Sasa nikupatie muongo

*DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI* 0621672394Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili cha...
11/12/2022

*DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI*
0621672394
Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

✔Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

1➡Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2➡Kupiga mingurumo tumboni.

3➡Kujaa gesi tumboni.

4➡Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5➡Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.

6➡Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7➡Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8➡Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.9➡Nuru ya macho hupotea taratibu.

10➡Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11➡Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12➡Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13➡️. Kende (pumbu)moja au mbili kuvimba

14➡️kende (pumbu) moja au mbili kupotea

15➡️maaumivu makili juu ya kinena na kwenye kende

16➡️kujaa upepo semeh ya juu ya kinena

17➡️kende kujaaa majii

18➡️Kuwa Na Uume Mfupi

KWA UPANDE WA WANAWAKE

1➡Hutokea kuumwa sana na chango asubuhi au jioni au kabla ya kupata siku zake.

2➡Husababisha anaenda haja ndogo mara kwa mara kuwashwa sehemu za siri.

3➡Anapostarehe (jimai) huona adha na dhiki wala hahisi ladha yoyote na dalili nyingine ni ambazo zimetajwa upande wa wanaume.
0621672394

*Chanzo Cha Goita Ni Nini?*   0621672394.Goita ni uvimbe usio wa kawaida wa tezi ya thyroid. Thyroid ni tezi yenye umbo ...
11/12/2022

*Chanzo Cha Goita Ni Nini?*
0621672394.
Goita ni uvimbe usio wa kawaida wa tezi ya thyroid. Thyroid ni tezi yenye umbo la kipepeo iliyo sehemu ya chini ya shingo chini kidogo ya kikoromeo. Pamoja na kuwa goita hazina maumivu, goita kubwa inaweza kuleta kikohozi au kusabaisha matatizo ya kumeza au kupumua.

Chanzo kikubwa cha goita katika sehemu nyingi za dunia ni ukosefu wa madini ya iodine katika chakula. Katika maeneo ambayo madini ya iodine huongezwa kwenye chumvi inayotumika, goita huwa zinatokana na uzidifu au upungufu katika uzalishwaji wa homoni ya thyroid au vivimbe vinavyojijenga kwenye tezi ya thyroid.

Tiba hutegemea ukubwa wa goita, dalili ambazo zimejitokeza na chanzo halisi cha goita hiyo. Goita ndogo ambazo hazionekani na ambazo hazileti usumbufu hazihitaji tiba.

*Dalili Za Goita*
➡️Si goita zote ambazo huonyesha dalili. Pale ambapo dalili zitaonekana, zinaweza kuwa:
1. Uvimbe unaooneka eneo inapoanzia shingo.
2. Kusikia kubanwa kooni.
3. Kukohoa.
4. Sauti kukwaruza.
5. Shida kumeza.
6. Shida kupumua.

*Madhara ya Goita*
1.Shida wakati wa kumeza na kupumua.
2.Saratani ya Tezi ya thyroid
2.Kifo ,kwani kwa wanaopata matibabu kwa operation wanaweza kupona au kufariki.

*TIBA YA GOITA *
-Dose kamili inapatikana TUPIGIE 0621672394

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO       06216723941. UCHOVU - Kuwa Mchovu Wakati WoteFigo Hutengeneza Homoni Inayoitwa Erythropo...
11/12/2022

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO 0621672394
1. UCHOVU - Kuwa Mchovu Wakati Wote
Figo Hutengeneza Homoni Inayoitwa Erythropoietin (EPO) Inayouambia Mwili Wako Utengeneze Chembe Nyekundu Za Damu Zinazobeba Oksijeni. Figo Zinaposhindwa Hupelekea EPO Kuwa Kidogo. Kwa Kuwa Na Chembe Nyekundu Chache
Za Damu Kubeba Oksijeni, Misuli Na bongo Huchoka Haraka.
2. KUHISI BARIDI - Wakati Wengine Ni Joto
Anemia Inaweza Kukufanya Uhisi Baridi Wakati Wote, Hata Kwenye Chumba Chenye Joto.
3. TATIZO LA KUPUMUA - Hata Baada Ya Jitihada Kubwa Kukosa Pumzi Kunaweza Kuhusishwa Na Figo Kwa Njia Mbili. Kwanza, Maji Ya Ziada Katika Mwili Yanaweza Kujilimbikiza Kwenye Mapafu. Na Pili, Upungufu Wa Damu (Upungufu Wa Chembe Nyekundu Za Damu Zinazobeba Oksijeni) Unaweza
Kuuacha Mwili Wako Ukiwa Na Njaa Ya Oksijeni Na Kukosa Pumzi.
4. KUHISI KUZIMIA, KIZUNGUZUNGU, AU DHAIFU
Anemia Inayohusiana Na Kushindwa Kwa Figo Inamaanisha Kuwa bongo Haupati Oksijeni Ya Kutosha. Hi Husababisha Kizunguzungu, Kuzimia Na Udhaifu Wa Mwili.
5. SHIDA YA KUFIKIRI VIZURI
Ubongo Usipopata Oksijeni Ya Kutosha Kutokana Na Kushindwa Kwa Figo, Uwezo Wa Kufikiri,Kumbukumbu Na Umakini Huathirika Sana.
6. KUHISI KUWASHWA SANA
Figo Huondoa Uchafu Kutoka Kwa Damu. Figo Zikishindwa,Mkusanyiko Wa Taka Kwenve Damu, Husababisha Muwasho Mkali.
7. KUVIMBA KWA MIKONO AU MIGUU NA USO Figo
Zinazoharibika Haziondoi Maji Ya Ziada, Ambayo Hujilimbikiza Katika Mwili Wako Na Kusababisha Uvimbe Kwenye Miguu,Vifundoni, Miguu Na/au Mikono Na Uso.
8. CHAKULA KINA LADHA YA CHUMA
USUMBUFU WA TUMBO, KICHEFUCHEFU, KUTAPIKA.
Mkusanyiko Wa Uchafu Katika Damu (Uremia) Hufanya Ladha Ya Chakula Kuwa Tofauti Na Kusababisha Harufu Mbaya Ya Kinywa. Huondoa Hamu Ya Chakula Na Kusababisha Kupunguza Uzito.
9. PUMZI YA AMONIA
Mkusanyiko Wa Uchafu Katika Damu (Uremia) Husababisha Harufu Mbaya Ya Kinywa.
10. MATATIZO KWENYE MKOJO,
KUKOJOA MARA KWA MARA, MKOJO WENYE POVU, HARUFU
KALI, RANGI YA KAWHIA NK
Figo Hufanya Mkojo, Hiv

*CHANZO CHA MATATIZO YA UTI WA MGONGO* *_0621672394_* ☑️Mgandamizi mkali kwenye pingili☑️Pingili kujipanga vibaya☑️Tatiz...
11/12/2022

*CHANZO CHA MATATIZO YA UTI WA MGONGO*
*_0621672394_*
☑️Mgandamizi mkali kwenye pingili
☑️Pingili kujipanga vibaya
☑️Tatizo la kansa ya uti wa mgongo
☑️Maambukizi ya fangasi, virusi au bakteria kwenye uti wa mgongo
☑️Kuumia au kudondoka
☑️Matatizo mengine ya magonjwa ya mifMatunzmaungio

*DALILI*
☑️Maumivu makali ya mgongo kuanzia juu hadi chini
☑️Maumivu wakati wa tendo la ndoa au kushindwa kabisa tendo la ndoa
☑️Shingo kukak**aa
Kuhisi kuungua au kuchomwa moto maeneo mbali mbali ya mwili
☑️Kushindwa kudhibiti utokaji wa mkojo
☑️Miguu kua dhaifu nakushindwa kutembea
☑️Kutembea kwa kuMatunz️Kupoteza hisia kabisa hususani maeneo ya miguuni

Ukimuona mwenzako ana shida k**a hizi, au kwa wewe mwenye shida ya pingili na maumivu ya viungo kabla hujafikia hatua ya kufanyiwa upasuaji, njoo tusaidiane.
*by Mr Nasir M Juma 0621672394*

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*    0621672394*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba ...
11/12/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*
0621672394
*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika

Call➖text&sms➖whatsap
0621672394
SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏

Address

Kwerekwe/ilala
Zanzibar City
00000

Telephone

+255621672394

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Nasir Herbalist Masapliment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share