AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Afya ndio utajiri wa kwanza kisha mengine yanafuata
Lakinii afya salama hukaa kwenye Mwili salama

Jinsi ya kupona maradhi yote ya Mfumo Mzima Wa uzazi kwa wanawake na wanaumeHuenda Wewe ni mwanamke na Unachangamoto ya ...
14/03/2025

Jinsi ya kupona maradhi yote ya Mfumo Mzima Wa uzazi kwa wanawake na wanaume

Huenda Wewe ni mwanamke na Unachangamoto ya kutokwa na uchafu ukeni, fangas zisizokwisha, uvimbe kwenye kizazi na Matatizo mengine mbalimbali yanayohusu Mfumo wa uzazi

Au Wewe Ni Mwanaume Na unasumbuliwa na tatizo la Kuwahi Kufika Kileleni, uume kuwa mlegevu wakati wa tendo, tezi dume, manii Zako kushindwa kulifikia yai na kusababisha Kutopata Mtoto pamoja na Matatizo mengine ya mfumo wa uzazi

K**a wewe ni miongoni mwa watu Wanaosumbuliwa na haya matatizo Basi Ujumbe Huu Ni Kwa Ajili Yako

Naitwa Dr. Hussein ni mtaalamu wa masuala ya uzazi kwa wanawake na wanaume na nimeshasaidia watu Zaidi ya 200 Kuwapa Mwongozo Wa Jinsi Gani Wanaweza Kupata Suluhisho La Matatizo Yao na wengi wao walikuwa akihitaji watoto

Mwongozo Huo Umewasaidia Kuwapa Elimu Pamoja Na vipimo vilivyowasaidia kugundua chanzo Cha Matatizo Yao

Ili Kupata Mwongozo Huu Bonyeza Neno WhatsApp Apo Chini Kisha Tutawasiliana...

Kwa Kuwa Nimeandaa Darasa La Bure Nahitaji Watu 30 pekee ili nipate utulivu katika kuwaelekeza jinsi Gani Wanaweza Kupata Suluhisho La Matatizo Yao

Wahi Mapema sababu Sitapokea Mtu Baada Ya Idadi hiyo ya watu kutimia

Mwenye kujali afya yako

Dr. Hussein

Simu 0695489017

Nyote munakaribishwa

G-Cat hospital ni taasisi ya afya ya kimataifa inayojihusisha na upimaji pamoja na kutibu magonjwa sugu pamoja na uzazi ...
13/03/2025

G-Cat hospital ni taasisi ya afya ya kimataifa inayojihusisha na upimaji pamoja na kutibu magonjwa sugu pamoja na uzazi kwa wanawake na wanaume.
Magonjwa tunayoyashughulikia ni pamoja na
1. Ugumba
2. Kansa
3. Uvimbe
4. Magonjwa ya Ini
5. Kisukari
6. Presha
7. U.T.I Sugu
8. Bawasili
9. Ganzi
10. Fangasi
11. Vidonda vya tumbo
12. Tezi dume,
13. Mwanaume kutoweza kusababisha ujauzito na
14. Ukosefu wa nguvu za kiume nk

Pia tunatoa ofa ya vipimo vya mwili mzima yani full body check up kwa gharama ya ni sh 30,000 tu na utamuona daktarin bingwa na kupata ushauri bure kabisa.

Tunapatikana kila mkoa ndani ya Tz.
Kwa mawasiliano Zaidi, bonyeza link hapa chini au piga simu namba 0695489017

  YA_KUSAMBAZA_TAARIFAWanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company...
01/03/2025

YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited

Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe zanzibar tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo

MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)

Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo Mwanakwerekwe
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0695489017

Waweza fahamu hali ya afya ya mfumo wa uzazi kupitia tatizo la maumivu ya tumbo la chini..Yawezekana unatumia madawa bil...
25/02/2025

Waweza fahamu hali ya afya ya mfumo wa uzazi kupitia tatizo la maumivu ya tumbo la chini..

Yawezekana unatumia madawa bila kupata suluhisho la kudumu..
Bado tumbo la chini linasimbua(UPANDE WA KUSHOTO/KULIA/CHINI YA KITOVU)

Fahaamu baadhi ya vyanzo vya maumivu ya tumbo la chiniπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

πŸ‘‰πŸ½Umewahi pata changamoto ya fungus za mara kwa mara
πŸ‘‰πŸ½Bado unatatizo la fungus sirini (vaginal yeast infections)
πŸ‘‰πŸ½Umewahi pata changamoto ya PID sugu
πŸ‘‰πŸ½Bado unateseka na PID/infections zingine katika kizazi k**a Endometritis,cervicitis
πŸ‘‰πŸ½unachangamoto ya mirija (Kuvimba/kujaa maji(hydrosalpinx)
πŸ‘‰πŸ½Unachangamoto ya vimbe maji (o***y cyst) / majipu kwenye mayai
πŸ‘‰πŸ½Vimbe kwenye kizazi (fibroids/myoma)

Vipimo stahiki ni muhimu kuthibitisha chanzo cha maumivu ya tumbo la chini..βœ…

Kwa msaada kuweza kuondokana na changamoto ya maumivu makali tumbo la chini ..watsup/call 0695489017

TATIZO LA KUPUNGUA AU KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI... K**A YAMEKUKUTA... AU UNAHISI K**A VILE UNA MATATIZO HAYA, TUWE ...
24/02/2025

TATIZO LA KUPUNGUA AU KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI... K**A YAMEKUKUTA... AU UNAHISI K**A VILE UNA MATATIZO HAYA, TUWE PAMOJA NA MIMI...(TheDoctor)... (Ki-Biolojia Zaidi Na Experience Kwa Mbaali)

Kutokana Na Maombi Ya Wengi!!! Hili Ni Darasa Huru Kwenu... (L&G)

Matatizo Ya Kufanya Mapenzi Au Kujamiana Kwa Wanawake Yanatambulika K**a Tatizo Linalojirudia Kwa Muda Mrefu Ambapo Huathiri Mzunguko Wa Tendo La Kujamiana (Kusisimka, Kufikia Kilele, Kurudia) Na Hivyo Kusababisha Msongo Wa Mawazo Au Kuharibu Uhusiano Wa Mwanamke Na Mpendwa Wake. Tatizo Hili Huathiri Asilimia 43 Ya Wanawake Wa Rika Zote Duniani Na Huonekana Sana Kwa Wanawake Wenye Umri Kati Ya 45-64.

Visababishi Vya Tatizo Hili Kwa Wanawake Ni;

β€’ Msongo Wa Mawazo – Asilimia Kubwa Ya Tatizo Hili Linaweza Kutokea Kutokana Na Msongo Wa Mawazo Ambapo Huchangiwa Na Ugumu Wa Maisha (Uchumi), Matatizo Katika Uhusiano (Ugomvi, Kutoelewana, Kutoaminiana Au Kukosa Uaminifu Katika Uhusiano {Infedility} Nk) Na Magonjwa Mbalimbali.

β€’ Kupungua Au Kukosekana Upendo/Mapenzi Katika Uhusiano Au Ndoa

β€’ Kujifungua Mtoto – Hii Ni Kutokana Na Homoni Aina Ya Prolactin Kuwa Katika Kiwango Cha Juu Wakati Mama Ananyonyesha, Homoni Hii Pia Hufanya Kazi Ya Kumfanya Mtu Kuridhika Baada Ya Tendo La Ndoa/Kujamiana Kwa Kuingiliana Na Ufanyaji Kazi Wa Homoni/Kichocheo Chengine Kinachojulikana K**a Dopamine (Ambayo Ndio Humfanya Mtu Kufikia Kilele Wakati Wa Kujamiana). Mbali Na Kunyonyesha, Homoni Ya Prolactin Pia Huongezeka Wakati Mtu Amelala (Usingizi Mzito Au REM Sleep), Wakati Wa Alfajiri, Baada Ya Kufanya Mazoezi, Kula,Baada Ya Tendo La Kujamiana, Baada Ya Upasuaji Mdogo Na Hata Baada Ya Kupata Degedege. Sababu Nyengine Ya Kuongezeka Kiwango Cha Kichocheo Hiki Cha Prolactin Ni Kuwa Na Saratani Katika Ubongo (Anterior Pitituary Tumors). Dalili Za Saratani Hii Ni Pamoja Na Kutonyonyesha Vizuri Kwa Mama, Kukosa Hedhi, Ugumba Kwa Wanawake Na Uhanithi Kwa Wanaume (Impotence).

β€’ Kupungua Mzunguko Wa Damu Katika Tupu Ya Mwanamke Na Hivyo Kusababisha Maumivu Wakati Wa Kujamiana.

β€’ Hypothyroidism – Matatizo Ya Homoni Ya Tezi La Koo, Huonekana Sana Kwa Wanawake Kuliko Wanaume.

β€’ Utumiaji Wa Vidonge Vya Kupanga Uzazi Au Vya Majira Kwa Muda Mrefu

β€’ Unywaji Pombe Kupindukia – Kinyume Na Fikira Potofu Za Watu Wengi
Ambao Huamini Kwamba Unywaji Pombe Kali Huongeza Hamu Ya Kujamiana Au Kupunguza Uzito Lakini Ukweli Ni Kwamba Pombe Kali Au Kilevi Cha Aina Yoyote Hupunguza Hamu Ya Kujamiana Na Pombe Huongeza Uzito Na Kusababisha Utapia Mlo.

β€’ Ugonjwa Wa Kisukari
β€’ Uvutaji Sigara
β€’ Ujauzito – Kutokana Na Mabadiliko Katika Mfumo Wa Homoni Au Vichocheo Wakati Wa Ujauzito, Na Pia Kutokana Na Mabadiliko Ya Maumbile Ya Wanawake Wakati Huu Na Hivyo Kuchangia Kutojiamini Kwa Mwanamke.

β€’ Uzito Uliopitiliza (Obesity)
β€’ Ugonjwa Wa Mifupa (Arthritis)
β€’ Utumiaji Madawa Ya Kulevya
β€’ Madhara Katika Neva Inayohusika Na Kuongeza Msisimko Wakati Wa Kujamiana (Pudendal Nerve Damage) Wakati Wa Upasuaji Wa Kuondoa Mfuko Wa Uzazi Kwa Mwanamke Mwenye Matatizo Ya Uzazi Au Katika Mfuko Wa Kizazi.

β€’ Madhara Ya Dawa – K**a Dawa Za Kutibu Shinikizo La Damu, Antidepressant Medication, Dawa Za Saratani Nk.

β€’ Uchovu – Kuzidiwa Kwa Mwanamke Na Majukumu Ya Kulea Mtoto/Watoto, Kazi Na Kumhudumia Mume Wake Hivyo Kusababisha Uchovu.
β€’ Ugonjwa Wa Moyo
β€’ Saratani Ya Aina Yoyote Ile
β€’ Kuwa Na Wasiwasi (Anxiety), Depression Nk.
β€’ Historia Ya Kubakwa, Au Kupata Maumivu Wakati Wa Kujamiana Hapo Awali Kutokana Na Mwanamke Kutokuwa Tayari Kujamiana Au Kutotayarishwa Vyema Kabla Ya Kujamiana Au Magonjwa Ya Zinaa.
β€’ Tatizo La Vaginismus – Hii Ni Tatizo Ambalo Husababisha Tupu Ya Mwanamke Kuwa Ndogo Wakati Wa Kujamiana Na Hivyo Husababisha Mwanamke Kupata Maumivu Wakati Wa Kujamiana.
β€’ Kupenda Inataneti Kupita Kiasi (Addiction) – Katika Tafiti Mpya Iliyofanyika Mwaka Huu Nchini Marekani, Imeonyesha Ya Kwamba Kati Ya Ndoa 6,000 Zilizovunjika Asilimia 57 Zimesababishwa Na Mwenza Mmoja Au Wote Kupenda Kuchat Au Kutumia Intaneti Kupita Kiasi Na Hivyo Kusababishwa Msisimko Kupotea Kati Ya Wenza Wawili Na Hatimaye Mwisho Ni Kupungua Uwezo Au Hamu Ya Kujamiana.
Ni Kundi Gani La Wanawake Lililo Katika Hatari Ya Kukumbwa Na Tatizo Hili?
β€’ Wanawake Ambao Wana Historia Ya Kupungua Hamu Ya Kujamiana
β€’ Wale Ambao Wamefanyiwa Upasuaji Wa Kuondoa Mayai Yao Ya Uzazi Kutokana Na Sababu Mbalimbali
β€’ Wanawake Ambao Waliofika Umri Wa Kuacha Kupata Hedhi (Menopause- Miaka 42-58)) Na Kupata Dalili Mbalimbali K**a Kutokwa Na Jasho Usiku, Kukosa Usingizi Mzuri Na Depression.
Kwa Wanaume, Visababishi Vya Tatizo La Kupungua Hamu Au Uwezo Wa Kujamiana Ni K**a Ifuatavyo;
β€’ Msongo Wa Mawazo K**a Nilivyoeleza Hapo Juu
β€’ Kupungua Au Kukosekana Upendo/Mapenzi Katika Uhusiano/Ndoa
β€’ Unywaji Pombe Kupindukia K**a Nilivyoeleza Awali
β€’ Utumiaji Wa Dawa Za Kulevya
β€’ Uvutaji Sigara – Hupunguza Kiwango Na Uzito Wa Shahawa Kwa Wanaume. Uzito Wa Shahawa (Concentration Of S***matozoa In Semen) Hupungua Kwa Asilimia 22-57 Kwa Wale Wanaovuta Sigara. Uwezo Wa Shahawa Kuogelea Kwenye Mirija Ya Uzazi Ya Mwanamke Pia Nao Hupungua Kwa Asilimia 20 Kwa Wale Wanaovuta Sigara Ikilinganishwa Na Wale Wanaume Wasiovuta Sigara.
Tafiti Nyengine Zimethibitisha Kuwa Wanaume Wanaovuta Sigara Wana Asilimia Kubwa Ya Kutoa Shahawa Ambazo Hazina Maumbile Mazuri Au Ya Kawaida Na Hivyo Kuongeza Uwezekano Wa Mimba Kutoka (Spontaneous Abortion) Au Kuzaa Mtoto Mwenye Maumbile Ambayo Sio Ya Kawaida (Birth Defects). Tafiti Mbalimbali Pia Zimethibitisha Kuwa Uvutaji Sigara Huharibu Mirija Ya Seminiferous Tubules Ambayo Hupatikana Kwenye Korodani Na Ni Sehemu Ambapo Shahawa Hutengenezwa, Hivyo Uharibifu Wake Hupunguza Wingi Na Uzito Wa Shahawa.
Pia Uvutaji Sigara Hupunguza Vichocheo Aina Ya Testerone, Growth Hormone, Na Nk.Wanaume Wenye Kiwango Kidogo Cha Testerone Huwa Na Tatizo La Kupungukiwa Uwezo Wa Kujamiana Na Kiwango Kidogo Cha Shahawa.Uvutaji Sigara Hupunguza Mzunguko Wa Damu Unaopita/Kwenda Kwenye Moyo Na Kwenye Uume Na Hivyo Basi Kumfanya Mwanamume Kushindwa Kusimika Na Kupata Tatizo La Kupungua Uwezo Wa Kujamiana (Vascular Impotence).
Katika Tafiti Zilizofanyika, Asilimia 97 Ya Wale Waliogunduliwa Na Tatizo La Vascular Impotence Walikuwa Wavutaji Sigara Na Katika Tafiti Nyengine Asilimia 87 Ya Wale Wenye Tatizo Hili La Vascular Impotence Walikuwa Pia Wavutaji Sigara. Katika Tafiti Iliyohusisha Wapenzi 290 Hapo Mwaka 1999, Ilionyesha Ya Kwamba Wanaume Ambao Walikuwa Wavutaji Sigara Walifanya Tendo La Ndoa Na Wake Zao Mara 6 Tu Kwa Mwezi Mzima Na Wale Ambao Hawakuwa Wavutaji Sigara Walifanya Tendo La Ndoa Mara Mbili Zaidi Ya Wale Wavutaji Sigara.
Uvutaji Sigara, Huusishwa Pia Na Kuongezeka Kwa Chembechembe Nyeupe Za Damu Kwenye Shahawa Ambazo Kwa Kawaida Hutolewa Kukiwa Na Ugonjwa Ndani Ya Mwili, Chembechembe Hizi Ambazo Zinakuwepo Kwa Wingi Kwenye Shahawa Pasi Na Kuwepo Kwa Ugonjwa, Hupunguza Uwezo Wa Shahawa Kuingia Na Kuungana Na Yai (O**m) Kutoka Kwa Mwanamke Na Hivyo Kusababisha Kutotunga Kwa Mimba.

β€’ Ugonjwa Wa Kisukari
β€’ Uzito Uliopitiliza (Obesity) – Kutokana Na Kuongezeka Kwa Mafuta Ambayo Husababisha Mishipa Ya Damu Inayopeleka Damu Kwenye Moyo Na Uume Kuwa Midogo Na Kupungua Uwezo Wa Kujamiana. Kupungua Uwezo Wa Kujamiana Au Kufanya Mapenzi Kwa Wanaume Ni Ishara Mojawapo Ya Ugonjwa Wa Moyo Na Kiharusi.
β€’ Hypothyroidism – Matatizo Ya Vichocheo Katika Tezi La Koo
β€’ Kuwa Na Wasiwasi (Anxiety), Depression
β€’ Kupenda Mambo Ya Intaneti Kupita Kiasi (Addiction To Internet) K**a Nilivyoeleza Awali.
β€’ Umri – Kuanzia Miaka Ya 40,Kiwango Cha Kichocheo Aina Ya Prolactin Huongezeka Na Kusababisha Kuongezeka Kwa Kichocheo Chengine Aina Ya Dihydro-Testerone Ambacho Husababisha Tezi Dume Kuongezeka Na Hatimaye Kupunguza Uwezo Wa Kusimika Kwa Mwanamume (Rudia Makala Ya Kuvimba Tezi Dume – Benign Prostate Hyperplasia, BPH)
β€’ Madhara Katika Neva Inayohusika Na Kusimika Kwa Uume (Pudendal Nerve Damage)
β€’ Kuendesha Baiskeli Muda Mrefu (Kwa Kipindi Kimoja) – Hii Hugandamiza Neva Na Mishipa Ya Damu Inayopeleka Damu Kwenye Uume Na Kusababisha Tatizo La Kupungua Kwa Uwezo Wa Kusimika Kwa Mwanamume Kwa Muda Tu (Temporary).
Vipimo Vya Uchunguzi
Kabla Ya Kufanya Vipimo Vya Uchunguzi, Daktari Atachukua Historia Ya Mgonjwa Inayohusisha Matumizi Ya Dawa Aina Mbalimbali, Historia Ya Magonjwa, Pamoja Na Kuangalia Dalili Za Magonjwa Mbalimbali. Vipimo Vya Uchunguzi Vitatokana Na Historia Ya Mgonjwa Ambayo Daktari Ameweza Kuipata Kutoka Kwake. Vipimo Hivyo Vinaweza Kuwa
β€’ Kuangalia Magonjwa Kwenye Tupu Ya Mwanamke Au K**a Kuna Bakteria Aina Yoyote.
β€’ – Kuangalia Magonjwa Ya Zinaa
β€’ Vipimo Vya Mkojo (Urinalysis)
β€’ Kipimo Cha Kuangalia Mabadiliko Yoyote Kwenye Tupu Ya Mwanamke (Physical Changes, Thinning Of Ge***al Tissues, Decreased Skin Elasticity And Scarring)
β€’ Kumpima Mgonjwa Akili Ili Kuweza Kutambua Kiini Cha Tatizo
β€’ Vipimo Vya Vichocheo K**a T3, T4, Testerone Level, Growth Hormone, Prolactin Hormone Nk.
β€’ Semen Analysis – Kipimo Cha Kuangalia Shahawa, Wingi Wake (Volume), Kiwango Chake, Mvutano Wake (Liquefaction Time), S***m Count, Maumbile Yake (S***m Morphology), PH Yake, Uwezo Wake Wa Kuogelea (S***m Motility), Kiwango Cha Sukari Na Chembechembe Nyeupe Za Damu.
β€’ BMI – Kipimo Cha Kuangalia K**a Mtu Anauzito Unaolingana Na Urefu Wake Pamoja Na Umri Wake Au Ana Uzito Uliopitiliza
β€’ Vipimo Vya Ugonjwa Wa Shinikizo La Damu – Kwa Wale Wenye Shinikizo La Damu Au Dalili Zake Au Wanaotumia Dawa Za Shinikizo La Damu
β€’ Vipimo Vya Ugonjwa Wa Kisukari – Fasting Blood Glucose Test, Oral Glucose Tolerance Test (OGTT), Glycosylated Hemoglobin (Hb A1C) Rudia Makala Ya Kisukari Kwenye Tovuti Ya Tanzmed.
Tiba Ya Tatizo Hili
Tiba Ya Tatizo Hili Inahusisha
1.Kubadilisha Mfumo Wa Maisha
β€’ Kufanya Mazoezi Mara Kwa Mara – Mazoezi Huongeza Stamina, Hupunguza Uzito,Humfanya Mtu Kuwa Na Umbile Zuri, Furaha Na Kuongeza Ufanisi Wakati Wa Kujamiana
β€’ Kupunguza Msongo Wa Mawazo Kwa Kukubali Kwamba Tatizo Lipo Baina Ya Wanandoa Na Hivyo Kutafuta Suluhu Pamoja Na Kuacha Ugomvi. Matatizo Ya Kimaisha (Fedha, Nk) Lazima Yatafutiwe Ufumbuzi.Kufanya Mazoezi Ya Pelvic Muscles Kwa Kufanya K**a Unazuia Mkojo Wakati Unahisi Haja Ndogo Na Kuhesabu Kutoka Moja Hadi Tano, Baada Ya Tano Pumzika Na Halafu Rudia. Haya Mazoezi (Kegel Exercise) Huongeza Uwezo Wa Kujamiana Kwa Wanawake
2. Kubadilisha Mfumo Wa Maisha Kwa Wapenzi
β€’ Zungumza Na Mwenza Wako – Malumbano Na Matatizo Ni Vitu Vya Kawaida Katika Uhusiano Wowote, Ni Vizuri Kwa Wenza Kukaa Pamoja Na Kuzungumza Matatizo Yao, Kuwa Wakweli, Waaminifu, Kuaminiana, Kujaliana Na Kuzungumza Juu Ya Tendo La Ndoa Kwa Pamoja. Ni Vizuri Kila Mmoja Kuainisha Vitu Anavyopenda Na Asivyopenda Kufanyiwa Wakati Wa Kujamiana. Pale Inapotokea Mmoja Hajapendezwa Au Kufurahishiwa Na Uwajibikaji Au Ufanisi Wa Mwenzie Basi Hana Budi Kutumia Lugha Nzuri Kutafuta Kiini Cha Tatizo Na Kulitafutia Ufumbuzi.
β€’ Weka Mazingira Mazuri Na Muda Wa Kufanya Tendo La Ndoa Na Mwenza Wako Ili Mupate Kudumisha Uhusiano Wenu
β€’ Ongeza Msisimko Katika Uhusiano Wenu Kwa Kujaribu Aina Au Staili Mbalimbali Wakati Wa Kujamiana, Kubadilisha Muda Wa Kufanya Mapenzi (Sio Usiku Tu Hata Asubuhi, Mchana) Au Sehemu Tofauti Na Ile Muliyoizoea Wakati Wa Kufanya Mapenzi (Sio Kila Siku Kitandani)
β€’ Kupata Ushauri Nasaha Kutoka Kwa Wataalamu Wa Mambo Ya Uhusiano, Marriage Counsellors Na Hata Madaktari Wa Magonjwa Ya Akili Kwani Hawa Ni Weledi Zaidi Katika Kazi Yao.
3.Tiba Ya Dawa
β€’ Kutibu Ugonjwa Ambao Ni Kiini Cha Tatizo Hili – Kisukari, Magonjwa Ya Moyo, Magonjwa Ya Zinaa Nk.
β€’ Daktari Kumbadilishia Mgonjwa Dawa Zinazoleta Madhara K**a Ya Msongo Wa Mawazo, Depression Nk.
β€’ Kutibu Tatizo La Depression Na Anxiety
β€’ Kutumia Dawa Au Jelly Zinazolainisha Tupu Ya Mwanamke Wakati Wa Tendo La Ndoa Kwa Wale Wanaopata Maumivu Au Kupunguza Tupu Kuwa Kavu Au Kuwasha (Irritation).
β€’ Tiba Ya Homoni Au Vichocheo – Estrogen Replacement Therapy (ERT) And Androgen Therapy.
β€’ Dawa Aina Ya Yohimbine Hydrochloride
4.Vyakula Vinavyosaidia Kupunguza Tatizo Hili
Ikumbukwe Ya Kwamba Vyakula Hivi Sio Tiba Mbadala Bali Husaidia Tu Kupunguza Ukubwa Wa Tatizo Hili La Kupungua Au Kukosa Hamu Ya Kufanya Mapenzi Na Kuboresha Kwa Wale Ambao Hawana Tatizo Hili Na Hivyo Kudumisha Uhusiano.
β€’ Kitunguu Swaumu – Kitunguu Swaumu Kina Kemikali Aina Ya Allicin Ambayo Huongeza Mzunguko Wa Damu Kwenda Kwenye Uume, Huongeza Hamu Ya Kufanya Mapenzi Na Utolewaji Wa Shahawa.
β€’ Habat Al Soda (Black Caraway Seeds) – Mafuta,Mbegu,Au Unga Wa Habat Soda K**a Wengi Wanavyoita Na Ambazo Zimetumika Kwa Miaka Mingi Sana Kupunguza Tatizo Hili Na Waandishi Wengi Wameeleza Umuhimu Wake. Tumia Kidogo Kwenye Chai Au Maji Ya Uvuguvugu Mara Mbili Kila Siku. Mbegu Hizi Hupatikana Kwa Wingi Katika Nchi Za Asia K**a Saudi Arabia, Syria, Iran, Dubai (UAE), Na Hata Misri, Tanzania (Dar-Es-Salaam Katika Maduka Ya Dawa Za Asili Ya Kariakoo, Mbagala, Na Zanzibar)
β€’ Celery Au Giligilani – Hii Huchochea Hamu Ya Tendo La Ndoa Kutokana Na Uwepo Kwa Wingi Wa Kichocheo Aina Ya Androsterone.
β€’ Ndizi – Kuwepo Kwa Wingi Kwa Enzyme Aina Ya Bromelain Na Madini Ya Potassium Huongezeka Msisimko Wa Kufanya Mapenzi Kwa Wanaume.Potassium Pia Hupatikana Kwenye Tikiti Maji Ambalo Pia Lina Kemikali Aina Ya Arginine Ambayo Huongeza Wingi Wa Damu Katika Mishipa Ya Damu Na Hivyo Kusaidia Katika Kusimika Kwa Uume.
β€’ Parachichi – Huwa Na Kiwango Kikubwa Cha Folic Acid Ambayo Huvunjavunja Protini. Vitamini B6 Kwenye Parachichi Huchochea Kutengeza Kichocheo Aina Ya Testerone Kwa Wingi.
β€’ Mayai – Mayai Yana Kiwango Kikubwa Sana Cha Vitamini Aina Ya B5 Na B6, Ambazo Husaidia Kuleta Usawa Wa Viwango Vya Vichocheo Mwilini Na Kupunguza Msongo Wa Mawazo.
β€’ Nyanya/Tungule (Tomatoes) – Zina Kiwango Kikubwa Cha Virutubisho Aina Ya Bio-Active Phyto-Nutrients, Lycopene, Na Beta Carotene Ambazo Husaidia Kuleta Damu Kwa Wingi Kwenye Uume Na Hivyo Kusaidia Kusimika Kwa Uume
β€’ Chocolate – Ina Kiwango Kikubwa Cha Kemikali Aina Ya Theobromine Na Phenylethylamine Ambazo Huongezeka Hamu Ya Kufanya Mapenzi.
β€’ Vitamin A – Husaidia Katika Kuweka Usawa Wa Vichocheo Vya Mapenzi (Sexual Hormones). Vyakula Venye Wingi Wa Vitamin Hii Ni Pamoja Na Karoti, Maini,Tikiti Maji, Spinach, Maziwa Nk.
β€’ Vitamin B Complex – Huongeza Kiwango Cha Kichocheo Cha Testerone Ambacho Husaidia Katika Kuongeza Ufanisi Wa Tendo La Ndoa Kwa Wanaume Na Wanawake. Vitamini B Complex Hupatikana Kwa Wingi Kwenye Ndizi, Viazi Tamu, Lentils, Mboga Za Majani, Parachichi (Avocado), Mayai, Nyama Aina Ya Tuna, Bata Mzinga, Maini Nk.
β€’ Vitamin C – Tafiti Zilizofanywa Karibuni Zimeonyesha Ya Kwamba Vitamini C Inapotumiwa Pamoja Na Vitamini Nyengine, Husaidia L-Enantiomer Ya Ascorbic Acid Kudhibiti Msongo Wa Mawazo, Wasiwasi (Anxiety), Utolewaji Wa Homoni Ya Prolactin Na Huongeza Mzunguko Wa Damu Pamoja Na Kutolewa Kwa Kichocheo Cha Aina Ya Oxytocin Na Hivyo Kuongeza Ufanisi Wa Tendo La Ndoa. Vyakula Venye Vitamin C Ni Ndimu, Chungwa, Limao, Brussels Sprouts, Mapera, Tikiti Maji, Nyanya, Broccoli, Kiwi, Papai, Strawberries, Pilipili Hoho Na Pilipili Mbuzi Nk.
β€’ Vitamin E – Husaidia Kudhibiti Matamanio Ya Mwanamume Pamoja Na Kusimika Kwa Uume Kutokana Na Uwepo Wa Vichocheo Aina Androgens Na Estrogen Ambavyo Huchanganyikana Na Homoni Za Mayai (Ovarian Hormones) Na Testerone. Vyakula Venye Vitamin E Ni Pilipili Hoho, Nyanya, Olives, Tunda Aina Ya Kiwi, Papai, Mafuta Ya Alizeti, Karanga Nk.
β€’ Madini Ya Zinc – Muhimu Katika Utengenezaji Wa Testerone
β€’ Madini Ya Selenium – Huongeza Uwezo Na Nguvu Ya Kufanya Mapenzi Kwa Wanaume.

β€’ Madini Ya Magnesium Na Calcium – Calcium Ni Muhimu Katika Kusaidia Ufanisi Wa Kufanya Mapenzi. Huweka Mawasiliano Ya Karibu Kati Ya Ubongo Na Tezi Zinazotoa Vichocheo Vya Mapenzi Pamoja Na Kusaidia Katika Ufanyaji Kazi Wao. Madini Ya Magnesium Husaidia Kuondoa Madhara Ya Madini Ya Calcium Katika Kusaidia Kuhimili Kusimika Kwa Uume. Vyakula Venye Madini Ya Calcium Ni Maziwa, Mtindi, Cheese, Siagi, Chungwa, Almonds, Walnuts, Maharage Meupe, Ice Cream, Chocolate Nk.

β€’ Cinnamon Stick (Mdalasini) Na Asali (Honey) – Mchanganyiko Wa Vitu Hivi Viwili Husaidia Sana Katika Kuongeza Ufanisi Kwa Wale Wenye Tatizo Hili. Jinsi Ya Kuandaa, Chukua Mdalasini Robo Na Changanya Na Asali Nusu Lita Kisha Weka Kwa Siku Tatu, Baada Ya Siku Tatu Anza Kunywa Kwa Kutumia Kikombe Cha Kahawa Mara Tatu Kwa Siku Kwa Muda Wa Wiki Mbili (K**a Utatumia Mdalasini Nusu Basi Changanya Na Asali Lita Moja)

0695489017

EPUKANA NA SABABU HIZI KUU ZITAKAZOKUFANYA USHINDWE KUMPA MIMBA MKEO/MPENZI WAKO πŸ‘‡kuna wanaume wengi wamekuwa wakishindw...
23/02/2025

EPUKANA NA SABABU HIZI KUU ZITAKAZOKUFANYA USHINDWE KUMPA MIMBA MKEO/MPENZI WAKO πŸ‘‡

kuna wanaume wengi wamekuwa wakishindwa kuwapatia wanawake ujauzito bila wao kujua ni nini sababu ya Hali hiyo.....

mara nyingi inapotokea wanandoa kukosa mtoto au watoto basi lawama na mashaka huelekezwa zaidi kwa wanawake, licha ya kwamba tatizo huweza kuwepo hata kwa akina Baba

leo ninazo hizi sababu ambazo huweza kumfanya mwanaume kuwa katika uwezekano mkubwa wa kushindwa kusababisha kutungisha Ujauzito.......

● Unywaji wa pombe na matumizi ya madawa; hii ni kwasababu matumizi ya hivi vitu husababisha upotevu wa uwezo wa mbegu kusababisha ujauzito kwa mwanamke , pia huchangia ugumba kwa kina baba na kupoteza uwezo wa kushiriki vizuri tendo la ndoa..

● Magonjwa kwa mwanaume; Miongoni mwa magonjwa yanayoweza kusababisha mwanaume kushindwa kumpatia mwanamke ujauzito ni Kisukari, matatizo ya figo, shinikizo la damu, saratani pamoja na msongo wa mawazo pia.....

● Uzito mkubwa; uzito wako pia unaweza kuwa chanzo cha tatizo hili la uzazi kwa kina baba na kusababisha kupoteza uwezo wa kusababisha mke wako kushika ujauzito, na ndiyo sababu ya kufanya mazoezi na kuzingatia mlo sahihi πŸ₯—πŸ₯™

● Joto; Hali ya joto sana katika sehemu za uzazi wa mwanaume huwa haitakiwi sana kwasababu hufubaza uwezo wa mbegu za kiume pale joto linapozidi sana , wanaume ambao wapo hatarini ni wale wanaofanya kazi za kukaa sana hasa wa maofisini na madereva...

● Uvutaji wa sigara; hii nayo ni moja ya sababu ambayo huweza kuleta hali ngumu ya baba kusababisha ujauzito kwa kuathiri mbegu za kiume , hivyo ni vizuri ukajitahidi kujiepusha na matumizi ya sigara kutokana na kuwa na madhara ...

● Magonjwa ya ngono; Hii ni moja ya sababu ambayo huchangia sana mwanaume au hata mwanamke kushindwa kupata mtoto, miongoni mwa magonjwa hayo ni pamoja na kisonono, kaswende n.k....

By the way k**a wewe ni mmoja wa wanaume ambao wanatafuta mtoto kwa muda mrefu lakini haufahamu wapi pakuanzia ondoa shaka.....

Siku Yaleo nimekuandalia package special kabisa ambayo utatumia ndani ya siku 30 tu na kukusaidia kupata mtoto kwa haraka sana πŸ§’

Wasiliana Nasi What'sapp namba 0695489017 Kupata Ushauri Zaidi.

DALILI ZA UGONJWA WA GONO KWA MWANAUME Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni Kison...
22/02/2025

DALILI ZA UGONJWA WA GONO KWA MWANAUME
Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni Kisonono.

Huu nu ugonjwa wa Zinaa(sexually transmitted infection (STI) ambao husababishwa na bacteria wanaojulikana k**a Neisseria gonorrhoeae.
Ugonjwa wa Kisonono au gonorrhea huweza kuwapata Watu wa jinsia Zote,ila katika Makala hii tunazungumzia Zaidi kwa Wanaume.

Maeneo ambayo Kisonono Huweza Kuathiri
Mbali na Ugonjwa wa Kisonono au Gonorrhea kuathiri sehemu za Siri yaani kwenye Uume na Ukeni, yapo maeneo mengine ambayo huweza kuathiriwa na Ugonjwa huu,

Kisonono katika maeneo mengine ya mwili;

Ugonjwa wa Kisonono au Gonorrhea huweza kuathiri Sehemu hizi za mwili;

β€’ Njia ya haja kubwa au eneo la Re**um.

Dalili ni pamoja na kuwashwa kwa njia ya haja kubwa, kutokwa na usaha kutoka kwenye puru, madoa ya damu nyekundu kwenye tishu za choo n.k

β€’ Macho

Kisonono kinachoathiri macho kinaweza kusababisha maumivu ya macho, kutokwa na usaha kwenye jicho moja au yote mawili.n.k

β€’ Kooni

Dalili za maambukizi ya koo zinaweza kujumuisha vidonda kooni, lymph nodi Kuvimba kwenye shingo.n.k

β€’ Kwenye Joints

Ikiwa joint moja au zaidi Zimeambukizwa, dalili mojawapo kwa joints Zilizoathiriwa Zinaweza kuwa joto, kubadilika rangi na kuwa nyekundu, kuvimba na kusababisha maumivu sana, hasa wakati wa kutembe. Hali hii inaitwa septic arthritis.

DALILI ZA UGONJWA WA GONO KWA MWANAUME NI PAMOJA NA;

– Kutokwa na usaha sehemu za Siri au Uchafu wa Rangi nyeupe,njano,au kijani kwenye Uume

– Kuumia wakati wa kukojoa,kitaalam (dysuria).

– Kupata maumivu ya Korodani, Korodani kuvimba n.k

– Kuwashwa kwenye kitundu ambacho mkojo hupita

– Kupatwa na hali ya kuchomwa wakati wa kukojoa ambayo tunasema kwa kitaalam burning sensation

– Mwanaume kupatwa na tatizo la kushindwa kukojoa kabsa au mkojo kugoma kutoka, kitu ambacho huweza kumsababishia maumivu makali pamoja na mahangaiko

– Kukojoa mkojo ambao umechanganyika na Damu

– Joto la mwili kupanda au kuwa na homa n.k

Hizo ndyo Baadhi ya Dalili za Ugonjwa Huu. Ikiwa una Dalili hizi hakikisha Unapata Msaada wa Tiba

Mawasiliano
0695489017

Wadada wengi kesi zao ni U.T.I sugu.Wengi wao nikiuliza kiwango cha maji kwa siku wanaishia nusu lita hadi lita moja, hi...
21/02/2025

Wadada wengi kesi zao ni U.T.I sugu.

Wengi wao nikiuliza kiwango cha maji kwa siku wanaishia nusu lita hadi lita moja, hiko ni kiwango kidogo sana cha maji, ni wazi unakunywa maji kwa sababu ya kiu, wengine ni maji hamnywi kabisaaa, ila haipiti siku bila kunywa soda. Kwa tabia k**a hii kupona U.T.I ni vigumu mno

K**a una malengo ya kujitibu U.T.I ondoa mazoea na energy drinks, soda na vinywaji vya kuongezewa sukari / kaffeina

Upe mwili maji kiwango cha kutosha kwa siku walau kwa uchache lita moja na nusu kwa siku... Halafu pendelea vyakula vya kusafisha figo na kibofu, uzuri wake havina gharama, mfano tango pekee linatosha kusafisha figo na kibofu, Juisi ya maganda ya nanasi pia yanatibu, chai ya karafuu na mdalasini kwa wingi bila kutia sukari ni dawa tosha ya UTI, Kunywa mchaichai mara kwa mara bila kutia sukari ni dawa pia, k**a huwezi kunywa chai bila sukari basi tia asali au sukari iwe kwa mbaaali

Wengi UTI mnazitoa kwenye vyoo mnavyotumia,.
. hakikisha unamwaga maji au unasafisha choo kabla ya kukitumia, chambia maji kujisafisha usitumie tishu pekee kukausha haja ndogo kwa sababu ile chumvi chumvi inayobakia kwenye ngozi ikikutana na jasho ni chakula kizuri cha bakteria, chambia maji kisha jifute kwa tishu sio umalize kukojoa na kutumia tishu pekee

Waume zenu pia wasisitize kunywa maji, uaminifu na kupima magonjwa ya zinaa mara kwa mara, kumwagiwa manii ili hali njia ya manii kupita (urethra) ina vimelea vya bakteria / fangasi ni chanzo kingine cha wewe kupatwa na UTI au magonjwa ya zinaa.. hapa ndo ile unajikuta kila mkifanya mapenzi haipiti wiki wewe unaugua UTI, PiD au miwasho ya fangasi ukeni

JINSI YA KUANDAA DAWA YA KUONDOA FANGASI [P.I.D] na kuondoa Miwasho Sehemu Nyeti
..mwenye miwasho ya fangasi mapajani au sehemu za siri, tafuta bicarbonate of soda

Chukua dumu la maji safi lita tano, tia glass moja ndogo au vijiko vitano vya unga wa bicarbonate of soda kisha yaache kwa muda wa dakika 30

Utakuwa unajisafisha sehemu za nje zenye muwasho kwa kutumia maji hayo, yakiisha unaandaa mengine.

Fanya hivi kwa siku 7 hadi 14 muwasho hupotea

K**a unatokwa na uchafu wenye harufu k**a shombo la samaki, unahisi maumivu ya nyonga, maumivu chini ya tumbo n.k

Andaa..unga wa maganda ya parachichi vijiko 2, unga wa mbegu za mlonge vijiko 2, unga wa maganda ya ndizi [mbichi/mbivu] vijiko 2, unga wa habbat sawda vijiko 2, unga wa vitunguu swaumu vijiko 2, unga wa uwatu vijiko 2 [vitu hivi unaweza kuandaa mwenyewe au kuvitafuta katika maduka ya tiba asili]

Changanya vyote kwa pamoja kwenye sufuria au kontena kisha mimina ASALI mbichi Pure taratibu huku ukikoroga mpaka lita nzima iishe k**a una blenda unaweza kutumia ili ikusaidie kuikoroga vizuri, k**a huna blenda koroga mpaka ikolee

Utalamba vijiko viwili vya dawa asubuhi, mchana na jioni k**a huna muda mchana basi tumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku…. Mfululizo kwa siku 14 mpaka 21 utakuja kunipa mrejesho wako

Matatizo haya ya Fangasi, U.T.I na P.I.D ni sugu ukiwa mtu wa kulialia tu bila kuchukua hatua....

Pendelea kunywa mtindi, kunywa maji ya kutosha, kuwa msafi binafsi, mume k**a ana U.T.I asikusumbue na tendo mpaka apone otherwise atumie kondom, achana na sukari na nafaka za kukobolewa...

Weka jitihada, usisubiri miujiza, kupona sio gharama, ni kuupa mwili kilicho sahihi

Kwa wanawake wenye changamoto za uzazi, ipo product pendwa MIXED HERBS POWDER

ambayo inasafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi na kuondoa uchafu na maambukizi ya bakteria / fangasi (P.I.D)
.. Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids & ovarian cysts)
Inaondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi k**a unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, hedhi kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, hedhi kutoka mabonge, hedhi kuambatana na maumivu makali (chango) na inakusaidia kupevusha mayai siku za ovulation

WIKI HII Unaipata "MIXED HERBS POWDER kwa punguzo la 28%, unaipata kwa tsh 46,000 tu

Hakuna gharama ya usafirishaji, yaani ni free delivery mpaka ulipo

Tupo Machinga Complex, KARUME (Dar) na mkoani tunatuma kwenye Bus

Kwa mawasiliano zaidi kuhusu dawa na afya ya uzazi
PIGA SIMU / WhatsApp 0695489017

Usijibust kwa mkongo, energy na panadol unalichosha tu figo lako na kupasua misuri midogo ya uumeK**a una hofu ya πŸ† kuzi...
19/02/2025

Usijibust kwa mkongo, energy na panadol unalichosha tu figo lako na kupasua misuri midogo ya uume

K**a una hofu ya πŸ† kuzima njiani fanya hivi, Lisaa limoja au nusu saa kabla ya tendo, Chukua tangawizi kipande, punje 3 za vitunguu saumu, tango 1, kitunguu maji 1

Safisha na katakata viambata hivyo, weka kwenye blenda, utaongeza maji glass 1 na utasaga ili kupata juisi

Utachuja na itakuwa tayari kwa matumizi, kumbuka unatumia nusu saa au lisaa kabla ya tendo

Hiki ni kinywaji kizuri kwa wanaume wanaokosa hisia na kufeli kurejea kwa haraka baada ya bao la kwanza

K**a umeathiriwa na upigaji punyeto, nenda utafute Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.

Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa k**a dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.

Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi

MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za upungufu wa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko ktk tendo la ndoa.

Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari

Ni ya kunywa, unatumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku

Kwa changamoto zaidi wasiliana nasi 0695489017

Address

Zanzibar City
MR.HUSSEIN

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share