AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Afya salama hukaa kwenye Mwili salama jenga Afya yako Leo na Dr Hussain

Wasiliana nasi kwa 0743322575

Jinsi ya kupona maradhi yote ya Mfumo Mzima Wa uzazi kwa wanawake na wanaumeHuenda Wewe ni mwanamke na Unachangamoto ya ...
23/10/2025

Jinsi ya kupona maradhi yote ya Mfumo Mzima Wa uzazi kwa wanawake na wanaume

Huenda Wewe ni mwanamke na Unachangamoto ya kutokwa na uchafu ukeni, fangas zisizokwisha, uvimbe kwenye kizazi na Matatizo mengine mbalimbali yanayohusu Mfumo wa uzazi

Au Wewe Ni Mwanaume Na unasumbuliwa na tatizo la Kuwahi Kufika Kileleni, uume kuwa mlegevu wakati wa tendo, tezi dume, manii Zako kushindwa kulifikia yai na kusababisha Kutopata Mtoto pamoja na Matatizo mengine ya mfumo wa uzazi

K**a wewe ni miongoni mwa watu Wanaosumbuliwa na haya matatizo Basi Ujumbe Huu Ni Kwa Ajili Yako

Naitwa Dr. Hussein ni mtaalamu wa masuala ya uzazi kwa wanawake na wanaume na nimeshasaidia watu Zaidi ya 200 Kuwapa Mwongozo Wa Jinsi Gani Wanaweza Kupata Suluhisho La Matatizo Yao na wengi wao walikuwa akihitaji watoto

Mwongozo Huo Umewasaidia Kuwapa Elimu Pamoja Na vipimo vilivyowasaidia kugundua chanzo Cha Matatizo Yao

Ili Kupata Mwongozo Huu Bonyeza Neno WhatsApp Apo Chini Kisha Tutawasiliana...

Kwa Kuwa Nimeandaa Darasa La Bure Nahitaji Watu 30 pekee ili nipate utulivu katika kuwaelekeza jinsi Gani Wanaweza Kupata Suluhisho La Matatizo Yao

Wahi Mapema sababu Sitapokea Mtu Baada Ya Idadi hiyo ya watu kutimia

Pia unaweza kujiunga kwenye group letu la afya kwa elimu zaidi ili kujiunga Bonyeza link hapa chini
https://chat.whatsapp.com/EpBG206ef7xFN05ZvZQ4ug?mode=ac_t

Mwenye kujali afya yako

Dr. Hussein

Simu 0695489017

Nyote munakaribishwa

Mtu yeyote akikuambia:Hutapata mtoto.Hutazaa.Hutabeba ujauzito.Huna kizazi nkMuondoe kwenye maisha yako, punguza mazoea ...
21/10/2025

Mtu yeyote akikuambia:
Hutapata mtoto.
Hutazaa.
Hutabeba ujauzito.
Huna kizazi nk

Muondoe kwenye maisha yako, punguza mazoea nae, punguza mawasiliano nae, kwani unahitaji zaidi wachache wenye mtazamo chanya na waliofanikiwa wakuhamasishe fikra sahihi za kufanikiwa.πŸ€°πŸ‘©β€πŸΌ

Mambo yataanza kubadilika na kuwa mazuri zaidi ukipunguza wanaokuwazisha mda wote.
.πŸ€°πŸ‘©β€πŸΌ

Mwenye kujali afya yako

Dr.Hussein
Simu. 0743322575

JINSI YA KUZIBUA MIRIJA ILIYOZIBA KWA KUTUMIA JUISI YA MACHUNGWA.🍊🍊Chukua machungwa mawili🍊🍊 katakata vipande vidogo vid...
18/10/2025

JINSI YA KUZIBUA MIRIJA ILIYOZIBA KWA KUTUMIA JUISI YA MACHUNGWA.🍊🍊

Chukua machungwa mawili🍊🍊 katakata vipande vidogo vidogo na maganda yake na mbegu zake saga machungwa yako kwa kutumia maji glass mbili.

Ukimaliza chuja yote kunywa glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.

NYONGEZA:πŸ‘‡
1. Usiweke sukari.❌
2. Mwenye changamoto ya maziwa kuuma, kujaa au kutoa majimaji au maziwa kabisa asitumie.❌
3. Unaweza kuhifadhi kwenye friji kwa ajiri ya baadae.βœ…

Mwenye kujali afya yako

Dr Hussain
Simu. 0743322575

JE, HUWA UNATOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI na WAKATI MWINGINE BAADA YA TENDO UNATOKWA NA HARUFU MBAYA?.πŸ˜’πŸ˜€πŸ˜€Hakuna kitu kinak...
16/10/2025

JE, HUWA UNATOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI na WAKATI MWINGINE BAADA YA TENDO UNATOKWA NA HARUFU MBAYA?.πŸ˜’πŸ˜€πŸ˜€

Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na harufu mbaya ukeni.

Tatizo hili limewafanya wanawake wengi kushindwa hata kujumuika na wenzao kwenye masherehe, harusini na hata misibani.

Mbaya zaidi limewaondolea hali ya kujiamini kwa wenzao na kujiona k**a ni wanawake wasiokamilika.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili litaambatana na uchafu kutoka ukeni, wengi wanashindwa kufurahia tendo la ndoa na hata kuhatarisha usalama wa mahusiano yao.

Kubwa zaidi wengi wamekuwa wakihangaika kupata suluhu ya kudumu bila mafanikio.

JIFUNZE NJIA TATU (3) RAHISI ZAIDI ZA KUTIBU NA KUMALIZA TATIZO LA HARUFU MBAYA UKENI, UTI SUGU, FANGASI NA P.I.D BILA KUCHOMA SINDANO ZA POWERSAFE WALA KUTUMIA VIDONGE (Azuma)

Mwenye kujali afya yako

Dr. Hussein
Simu. 0743322575

JINSI YA KUONDOA SUMU YA UZAZI WA MPANGO MWILINI/KWENYE KIZAZI KWA KUTUMIA JUISI YA UKWAJU.🍹Nunua ukwaju (sokoni au supe...
13/10/2025

JINSI YA KUONDOA SUMU YA UZAZI WA MPANGO MWILINI/KWENYE KIZAZI KWA KUTUMIA JUISI YA UKWAJU.🍹

Nunua ukwaju (sokoni au supermarket) au k**a unapatikana shambani kwako, kisha loweka jioni ikeshe kwenye maji lita moja kwenye chombo kisafi kifunike.

Asubuhi chuja juisi yako vizuri kuondoa makapi kisha kunywa nusu lita asubuhi na nusu lita jioni kwa siku 30 mfululizo.

NYONGEZA:πŸ‘‡
1. Kabla ya kunywa kamulia limao/ndimu ili kuua vijidudu na kuongeza ladha (Ingawa unaweza kunywa hata bila kukamulia limao).
2. Unaruhusiwa kuweka asali vijiko viwili kabla ya kunywa.
3. Unaweza kuhifadhi kwenye jokofu (friji) kwa ajiri ya baadae.

Mwenye kujali afya yako

Dr. Hussein
Simu 0743322575

Tumia juisi ya nanasi🍍 na tangawizi🫚 kwa ajiri ya:.πŸ‘‡1. Kuondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini na kwenye kizazi.2. Kutib...
20/09/2025

Tumia juisi ya nanasi🍍 na tangawizi🫚 kwa ajiri ya:.πŸ‘‡

1. Kuondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini na kwenye kizazi.
2. Kutibu chango la uzazi.
3. Kutibu uvimbe maji yaani Ovarian Cyst, PCOS na Endometriosis.
4. Kuweka homoni sawa.
5. Kutibu vivimbe/mabuja kwenye maziwa.
6. Kwa wajawazito ni nzuri kwani:🀰
i. Huondoa kusinziasinzia na kuchoka.
ii. Hutibu UTI, Fangasi na kuondoa protini kwenye mkojo.
iii. Kwa waliojifungua kwa opareshani au kuongezewa njia inasaidia kutibu majeraha na kufunga kidonda kwa haraka.

FANYA HIVI:πŸ‘‡

Chukua nanasi robo kipande na tangawizi kipande kimoja kisha menya uondoe maganda yake na usage pamoja kwa kutumia maji glass mbili.

Kisha chuja juisi yako na unywe glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.

NYONGEZA:πŸ‘‡
1. Unaweza kuweka kwenye friji kwa ajiri ya baadae.
2. Kila siku tengeneza mpya.
3. Unaweza kuongeza limao k**a ukihitaji.
4. Mjamzito atumie pia.βœ…πŸ€°

Mwenye kujali afya yako

Dr Hussain
Simu. 0743322575

KUNYWA MAJI YA LIMAO/NDIMU  KILA SIKU ASUBUHI.Inashauriwa kunywa maji mengi wakati wa asubuhi ni vizuri. Lakini kunywa m...
19/09/2025

KUNYWA MAJI YA LIMAO/NDIMU KILA SIKU ASUBUHI.

Inashauriwa kunywa maji mengi wakati wa asubuhi ni vizuri. Lakini kunywa maji ya limao/ndimu asubuhi ni vizuri zaidi.

Kila mtu anaweza kunywa maji asubuhi lakini wengi husema wakinywa maji asubuhi kabla hawajala chochote tumbo linaunguruma, kichefuchefu na hata kujisikia vibaya.πŸ€“

LAKINI ukinywa maji ya limao/limao hutajisikia vibaya tumbo, hutapata kichefuchefu na hata tumbo halitavuruga.πŸ₯°

FAIDA ZA KUNYWA MAJI YA LIMAO/NDIMU KILA SIKU ASUBUHI.

1. Hutibu UTI.
2. Hutuliza maumivu ya kichwa, nyonga au tumbo likikushika ghafla.
3. Ni kinga dhidi ya saratani (kansa).
4. Husafisha damu.
5. Husaidia kupunguza uzito.
6. Husaidia kuleta hamu ya chakula.
7. Huondoa harufu mbaya mdomoni.
8. Inaboresha kinga ya mwili.

FANYA HIVIπŸ‘‡

Chemsha maji kidogo saizi ya kikombe kimoja.

Yakipata uvuguvugu epua weka kwenye kikombe halafu kata limao/ndimu nusu kamulia kwenye hayo maji unywe kila siku asubuhi.

NYONGEZA: Wanaosumbuliwa na maziwa kujaa, kuuma, kutoa maji maji au kutoa maziwa kabisa anashauriwa asitumie hii kwani hali hii huongezeka maradufu akitumia limao, machungwa na machenza.

Mwenye kujali afya yako

Dr Hussain
Simu. 0743322575

FAHAMU UHUSIANO ULIOPO KATI YA BOGA na AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE.πŸ§˜β€β™€οΈπŸ€°πŸ€±Je, unafahamu k**a boga lina protini ambayo husa...
16/09/2025

FAHAMU UHUSIANO ULIOPO KATI YA BOGA na AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE.πŸ§˜β€β™€οΈπŸ€°πŸ€±

Je, unafahamu k**a boga lina protini ambayo husaidia kupambana na magonjwa yatokanayo na fangasi sehemu za siri za mwanamke?.

Faida zake katika afya ya uzazi kwa mwanamke:πŸ‘‡
1. Inaweka homoni sawa yaani ina balansi homoni. Mfano inasaidia kupevusha mayai.
2. Inatibu kansa ya t**i.
3. Inaondoa makovu kwenye kizazi na kwenye mirija yaliyotokana na kusafishwa vibaya.
4. Inaondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini na sumu za madawa yenye kemikali kwa kulainisha choo na kusafisha mkojo.
5. Inaongeza FOLIC ACID kwa WAJAWAZITO.🀰
6. Inatibu fangasi ukeni.
7. Inaongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha.🀱

FANYA HIVI:πŸ‘‡

Chukua kipande kimoja saizi ya robo kwenye boga kubwa kisha chemsha mchemsho na maji kwa kufunika ili mvuke usitoke nje. Hakikisha maji hayajai kwenye chombo unachochemshia kuruhusu mvuke kuliivisha vizuri weka na chumvi kiasi.

Kisha epua subiria ipoe na ule mchemsho huu mtamu.πŸ˜‹ Unaweza kupika na mchicha chukuchuku pembeni ili kuboresha mchemsho wako.

Kula mchemsho huu mara moja kila siku kwa siku 30 mfululizo.

Mwenye kujali afya yako

Dr Hussein
Simu. 0743322575

JINSI YA KUZIBUA MIRIJA ILIYOZIBA KWA KUTUMIA CHAI YA PILIPILIMANGA na TANGAWIZI.🫚Chukua tangawizi mbichi kipande kimoja...
13/09/2025

JINSI YA KUZIBUA MIRIJA ILIYOZIBA KWA KUTUMIA CHAI YA PILIPILIMANGA na TANGAWIZI.🫚

Chukua tangawizi mbichi kipande kimoja kisha kwangulia kwenye maji vikombe viwili chemsha kwa pamoja kisha epua weka kwenye kikombe.

Weka pilipilimanga ya unga robo kijiko cha chai kwenye kikombe kimoja cha chai yako na asali kijiko kimoja.

Kunywa chai hii asubuhi kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja kwa siku 30 mfululizo.

Mwenye kujali afya yako

Dr.Hussein
Simu. 0743322575

Tengeneza juisi ya tikitimaji, na limao kwa ajiri ya:πŸ‘‡1. Kutibu chango la uzazi hasa uwapo siku za hedhi.2. Kuondoa sumu...
12/09/2025

Tengeneza juisi ya tikitimaji, na limao kwa ajiri ya:πŸ‘‡

1. Kutibu chango la uzazi hasa uwapo siku za hedhi.
2. Kuondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini.
3. Kuleta joto na unyevu unyevu ukeni hivyo kupunguza ukavu ukeni.
4. Kukukinga na saratani ya shingo ya kizazi.
5. Kwa waliojifungua kwa oparesheni au kuongezewa njia inasaidia kufunga kidonda na kukausha kwa haraka.
6. Kwa WAJAWAZITO inasaidia kuondoa hali ya kuhisi kifua kinabana au mapigo ya moyo kwenda mbio.

FANYA HIVI:πŸ‘‡

Chukua tikitimaji robo kipande nyama ya ndani na mbegu zake, limao nusu kipande na mbegu zake na maji kiasi cha glass mbili. Saga kwa pamoja kisha chuja na kunywa glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.

NYONGEZA:πŸ‘‡
1. Unaweza kuongeza tangawizi ukihitaji.
2. Kila siku tengeneza mpya na unaweza kutunza kwenye friji kwa ajiri ya jioni endapo ukitengeneza asubuhi.
3. K**a tikitimaji ulilopata halina mbegu ndani achana nalo hilo siyo.πŸ˜€

Mwenye kujali afya yako

Dr. Hussein
Simu. 0743322575

JINSI YA KUTIBU UTI YA KUJIRUDIARUDIA NA FANGASI ZENYE MIWASHO au MAJI MAJI UKENI KWA KUTUMIA JUISI YA NANASI 🍍na TANGAW...
10/09/2025

JINSI YA KUTIBU UTI YA KUJIRUDIARUDIA NA FANGASI ZENYE MIWASHO au MAJI MAJI UKENI KWA KUTUMIA JUISI YA NANASI 🍍na TANGAWIZI.🫚

K**a ukipima unaambiwa UTI mara kwa mara, ukikojoa unapata maumivu, kibofu cha mkojo kuuma, kubanwa mkojo lakini unakojoa mkojo kidogo, miwasho ukeni na kutokwa maji maji ukeni yawe na harufu au yasiwe na harufu tumia hii juisi (Nanasi🍍na Tangawizi.🫚)

FANYA HIVI:πŸ‘‡

Chukua nanasi robo kipande na tangawizi kipande kimoja kisha menya uondoe maganda yake na usage pamoja kwa kutumia maji glass mbili.

Kisha chuja juisi yako na unywe glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.

NYONGEZA:πŸ‘‡
1. Unaweza kuweka kwenye friji kwa ajiri ya baadae.
2. Kila siku tengeneza mpya.
3. Unaweza kuongeza limao k**a ukihitaji.
4. Mjamzito atumie pia.βœ…πŸ€°

Mwenye kujali afya yako

Dr. Hussein
Simu. 0743322575

KUTOKWA NA DAMU CHACHE WAKATI WA HEDHI na UTATUZI WAKE.Je, WajuaPeriod/hedhi nzuri kwa mwanamke inatakiwa iwe:.1. Itoke ...
08/09/2025

KUTOKWA NA DAMU CHACHE WAKATI WA HEDHI na UTATUZI WAKE.

Je, Wajua

Period/hedhi nzuri kwa mwanamke inatakiwa iwe:.

1. Itoke siku 3 mpaka 5 lakini isizidi siku 7.

2. Isitoke damu matone kiasi kuwa ushinde na pedi moja tu siku nzima. (Kawaida kwa siku unatakiwa ubadili pedi 3 mpaka 4).

Hivyo kupata hedhi ndogo yaani damu kidogo au vitone tu na siyo damu kabisa ni ishara kuwa kuna shida kwenye homoni.

Miongoni mwa matatizo ya hedhi yanayowakumbuka wanawake wengi ni pamoja na kutokwa damu nyingi kipindi cha hedhi, kupata damu ya hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja, kupata maumivu ndani ya hedhi pamoja na hili la kupata chache wakati wa hedhi.

Kupata damu chache wakati wa hedhi kitaalamu tatizo hili linaitwa HYPOMENORRHEA. Kawaida katika mzunguko wa mwanamke hutokwa na damu ya hedhi 30-80ml. mwanamke anayepata damu ya hedhi chini ya siku 3 yani kuanzia siku 2 kushika chini, huyo anakuwa kwenye tatizo hili.

Wakati mwingine tatizo hili linaweza kumpelekea mwanamke kukosa watoto. japo kuwa tatizo hili sio la kumpa mtu hofu sana lakini ni vyema kuchunguzwa na kupatiwa tiba ili kuzuia madhara makubwa yatakayoweza kutokea.

SABABU ZA KUTOKWA NA DAMU CHACHE WAKATI WA HEDHI.

1. Mvurugiko wa homoni.
2. Msongo wa mawazo.
3. Mazoezi makali.
4. Uzito mkubwa.
5. Athari za Uzazi wa mpango.

MATIBABU YAKE.πŸ‘‡

Matitabu ya tatizo hili hutegemea na kilichosababisha, hivyo kwenda hospitali na kufanya vipimo mapema ni jambo jema zaidi ili kuweza kujua tatizo kwa kina na kutibiwa k**a litahitaji tiba. LAKINI unaweza kufanya yafuatayo yatakusaidia:.

1. Tumia Chai ya mchaichai + tangawizi kipande kimoja + mdalasini kijiko kimoja + karafuu kijiko kimoja + asali kijiko kimoja = chai ya viungo asubuhi kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja kwa siku 7 mfululizo baada ya kuanza period yenye matone ili kuifanya itoke nyingi.

2. Chukua tangawizi kubwa moja na vitunguu swaumu punje 10 isage kwa pamoja kwa kutumia maji lita moja kisha chuja yote.

Kunywa glass moja asubuhi na jioni.

Tumia juisi hii ndani ya siku 7 mfululizo baada ya kuanza period yenye matone ili kuifanya itoke nyingi.

3. Chukua tikiti maji nusu toa ganda la juu halafu saga juisi yake na mbegu zake kwa pamoja

Address

Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram