06/12/2025
1. Huimarisha ubongo na akili
Huchochea ukuaji wa seli za ubongo na mfumo wa fahamu
Huongeza uwezo wa kumbukumbu, umakini, na kujifunza haraka
Husaidia mtoto kuwa mchangamfu na mwenye utulivu wa hisia
👁️ 2. Huimarisha macho na kuona vizuri
Omega-3 (hasa DHA) ni sehemu muhimu ya retina ya jicho, hivyo huimarisha uwezo wa kuona vizuri na kupunguza macho kukauka au kuchoka.
💪 3. Huimarisha kinga ya mwili
Husaidia mwili wa mtoto kupambana na maambukizi k**a mafua, kikohozi, na pumu ya mara kwa mara
Huongeza uzalishaji wa seli za kinga na kuimarisha afya ya jumla.
❤️ 4. Hulinda moyo na mzunguko wa damu
Huchangia katika ukuaji wa moyo wenye afya
Hupunguza hatari ya shinikizo au mafuta mabaya (cholesterol) kadri mtoto anavyokua.
🦴 5. Husaidia ukuaji wa mifupa na meno
Huongeza ufyonzaji wa madini muhimu k**a calcium na vitamin D, hivyo kusaidia meno na mifupa kuwa imara.
😴 6. Huboresha usingizi na utulivu
Omega-3 huongeza kemikali za ubongo zinazohusiana na utulivu na usingizi mzuri hivyo mtoto hupumzika vizuri na kukua kwa afya.
🩵 7. Huimarisha ngozi na nywele
Huzuia ngozi kukauka, kuwasha au kuwa na vipele vidogo, na hufanya nywele ziwe zenye afya.
🙆♀️ 8:Kula na choo
Pia hii bidhaa husaidia sana mmeng’enyo wa chakula kwa mtoto na kufanya apatechoo kizuri mno na kuwa urahisi bila changamoto yoyote.
Hivyo basi mtoto wako usiache kumpatia haya mafuta k**a unataka awena matokeo mazuri mno!!!.