Mshauri wa virutubisho vya afya

Mshauri wa virutubisho vya afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mshauri wa virutubisho vya afya, Medical and health, Ww. forever, Zanzibar.

MAUMIVU YA HEDHI KWA WANAWAKE (DYSIMENORRHEA)Hii ni hali ya maumivu yanayomtokea mwanamke kipindi cha hedhi yake.Hii hut...
27/08/2020

MAUMIVU YA HEDHI KWA WANAWAKE (DYSIMENORRHEA)
Hii ni hali ya maumivu yanayomtokea mwanamke kipindi cha hedhi yake.
Hii hutokea aidha siku kadhaa kabla ya hedhi,wakati wa hedhi au baada ya hedhi.
Maumivu hutokea kwenye tumbo eneo la chini ya kitovu,kiunoni au mgongoni...
Dalili nyingine huwa ni aidha:
Homa kali
Kichefuchefu
Kichomi
Tumbo kujaa gesi
Kutapika.

HABARI NJEMA
Ninalo suluhisho la tatizo hili.
Kutana na ROYAL JELLY,product pekee inayoweza kulimaliza kabisa tatizo hili.

Soma Faida ya hiki Kirutubisho.

ROYAL JELLY.
Kirutubisho hiki cha nyuki kina vitamin A,,C,,D,,&E na huifadhi vitamin B complex. Pia kina vitamin B5 vitamin hivi husaidia kumeng'enya protein, mafuta na uwanga na huongeza vichocheo (homones)

Royal Jelly pia ina Amino acid 8 muhimu na madini k**a (calcium,copper, iron, phosphorous, potassium, sillicon na sulpher). Madini haya huboresha utendaji mzuri wa kazi za mwili, kuongeza nguvu, kuondoa machovu ya mwili, kuuwa bakteria na virusi na husaidia uponyaji wa vidonda.. Lakini pia husaidia katika kuzalisha seli mpya(cell regeneration) na kuboresha muonekano mzuri wa ngozi.

Royal Jelly inasaidia sana katika kuzuia msongo wa mawazo na kuondoa maumivu makali wakativwa hedhi.

Husaidia kuondoa maumivu wakati wa hedhi na kuboresha mzunguko mzuri wa damu.
Faida nyingine
Husaidia kukuza nywele na kuzuia kukatika katika.
Husaidia kuondoa Chunusi na kuboresha ngozi na kupunguza kasi ya uzee.
Kuongeza nguvu.
Kuongeza idadi ya mayai kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami(0787635123

FAHAMU JINSI YA KUPUNGUZA UZITO VIZURI NA KUMAINTAIN MWILI WAKO:- .Ni kuondoa Mafuta yaliyozidi na sumu mwilini. Mazoezi...
24/08/2020

FAHAMU JINSI YA KUPUNGUZA UZITO VIZURI NA KUMAINTAIN MWILI WAKO:- .
Ni kuondoa Mafuta yaliyozidi na sumu mwilini. Mazoezi pekee haitoshi kupunguza mwili wako, chakula pekee haitoshi, kunywa maji kwa wingi pekee haitoshi. BALI NI KUFANYA DETOXIFICATION. (KUONDOA TAKAMWILINI/SUMU, NDIO MUHIMU).
Mwili unapokuwa na UCHAFU (takamili) nyingi, hufanya Defence mechanism ya kutengeneza mafuta ya kuzunguka baadhi ya Organ's (Viungo) kwenye mwili na pia kutokana na vyakula tunavyokula ndio maana hata k**a ukipungua kwa mazoezi bila kuondoa TAKAMWILI/UCHAFU baada ya muda fulani unajikuta tena umeongezeka uzito kupita kiasi. Lakini usiwe na hofu, maana ntakutambulisha kwenye program iitwayo "FIT", ambayo ndani INA "C9 & F15" zipo kwenye mfumo wa lishe na virutubisho vya vyakula vya kutusaidia kuondoa Uchafu uliozidi mwilini na pia zitusaidia kupunguza uzito. Zikiambatana na MAZOEZI, UNYWAJI WA MAJI YA KUTOSHA, LISHE (KULA VYAKULA VINAVYOENDANA NA KUNDI LAKO LA DAMU/BLOOD GROUPS. .
Ni njia salama kwa kiafya na ni rahisi kuitumia k**a unapenda kuwa na muonekano mzuri na kujiepusha na maradhi ambayo hujui lini yatakufika tafadhali mimi nakushauri utumie hizi program. .
Kwa maelezo zaidi na ushauri tafadhali, wasiliana nasi kwa Whatsapp/Calls/messages +255 752204851 au 0787635123
Karibu upate ushauri, HUDUMA HII ITAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO TANZANIA.

FOREVER ROYAL JELLY Forever Royal Jelly ni bidhaa ya asili. Hiki ni chakula  kizuri anacholishwa malkia wa nyuki ili awe...
16/08/2020

FOREVER ROYAL JELLY

Forever Royal Jelly ni bidhaa ya asili. Hiki ni chakula kizuri anacholishwa malkia wa nyuki ili aweze kutaga mayai mengi na kuishi maisha marefu zaidi ya nyuki wengine .

Kirutubisho hiki muhimu kina vitamins A, C, D na huhifadhi vitamin B complex . Vitamin B5 ndiyo huboresha mifumo ya hormones na hivyo kuwa na afya njema.

Faida za Royal Jelly ni nyingi.
KWA WANAWAKE
*kuboresha mfumo wa uzazi kwa kurutubisha na kupevusha mayai
* kuondoa maumivu ya tumbo wakati wa hedhi na kurekebisha mzunguko wake
* kuondoa matatizo yatokanyo na kukoma kwa hedhi.
* Kuuwa bacteria wabaya wanao leta fangas, au uchafu kwenye sehemu ya kizani
* Husaidia kuleta hisia na kuzalisha uteute kwenye sehemu ya kizazi
* Huweka kinga zidi ya matatizo ya... Napatkana kw no0787635123

MAJUKUMU YA MWANA MME KWENYE KUMRIDHISHA MWANA MKE WAKE MWANZO MPAKA MWISHO WA TENDO LA NDOA.JE Umekuwa ukishindwa kumri...
15/08/2020

MAJUKUMU YA MWANA MME KWENYE KUMRIDHISHA MWANA MKE WAKE MWANZO MPAKA MWISHO WA TENDO LA NDOA.

JE Umekuwa ukishindwa kumridhisha mwenzi wako mpaka kukupelekea kuanza kuwa muoga wa kukutana na mwenzi wako kwa kuogopa kurudia makosa yale yale ya KUWAHI KUFIKA KILELENI, KUSHINDWA KURUDIA TENDO, DHAKARI KUWA LEGEVU, KUTOA KIWANGO KIDOGO SANA CHA MBEGU au MBEGU KUWA NYEPESI SANA n.k?
Asilimia kubwa ya Wanaume ambao waliwahi au wanaojihusisha na kujichua hukumbana na tatizo la upungufu wa nguvu za ambapo dhakari huwa ndogo k**a ya mtoto mdogo, Dhakari kusimama lege lege na kuwahi kufika kileleni ndani sekunde au dakika chache na pia kushindwa kuendelea na tendo. hii hutokana na mishipa kuwa dhaifu na kupungua kwa hisia ya tendo.
Pia kunasababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo k**a magonjwa k**a Presha, Kisukari, Ngiri, na pia Msongo wa Mawazo, Uzito mkubwa (Over Weight), Kwa upande mwingine vyakula tunavyokula hupelekea mishipa kutopitisha damu k**a inavyotakiwa.

SULUHISHO ILI KUONDOKANA NA CHANGA MOTO HIO TUMIA PACKAGE HII

Kuna
1. Robo package
2. Nusu package
3. Full Package

ALLHAMDULILAH TOKA NITUMIE MIMI NAKUWANZA KUWASHIRIKISHA WATU WANGU,WAKARIBU,KWENYE MITANDAO NA N.K HII PACKAGE WATUMIE WAMEKUWA HAWASHULISHWI NA MWANA MKE YOYOTE SASA NA WANAFURAHIA NDOA ZAO.

Kupata Elimu na Hii package ya Virutubisho vya Chakula cha Usiku wasiliana na sisi

Mr Juma
Tellphons: Call or Whatsapp: 0787635123
Tupo kwenye nchi 166 Duniani
Gharama za kukufikia mpaka nyumbani zoote ni juu yetu sisi

Je unafahamu hili?Osteprosis    Ni tatizo la kupungukiwa na ute ute kwenye maunganio ya joint.Mara nyingi watu wenye mat...
12/08/2020

Je unafahamu hili?

Osteprosis
Ni tatizo la kupungukiwa na ute ute kwenye maunganio ya joint.Mara nyingi watu wenye matatizo k**a haya ni wale wenye upungufu wa madini ya calcium,magonjwa ya rheumatism,gout,nautic acid magonjwa haya kwa asilimia kubwa yanawapata watu wenye umri kati ya miaka 45 nakuendelea lakini siyo wenye umri chini ya miaka hiyo hawapati magonjwa hayo!wanapata wa kiwango kidogo.
Unapo kuwa na misuguano kwenye mifupa inakupasa kutumia vyakula vyenye calcium,k**a vile,Dagaa,samaki wadogowadogo.pamoja na vyakula vya mboga mboga k**a vile Bamia,bilinganya,nyanya chungu,na nyanya.
Usipendelee kula makongoro k**a wengi wanavyodhani ndo yanaongeza uteute,makongoro yatakufanya kuongeza uzito,na mafuta mwilini kwa namna hivyo tatizo litakuwa kubwa zaidi.
Kwa mwenye matatizo yenye dalili k**a hizi kwenye mifupa -(1)maumivu kwenye joint kuuma,misuli kukaza,kusikia viungo kila unapo kunja miguu viungo vinatoa sauti,na dalili zingine piga au njoo watsapp kwa 0787635123
Asanteni.
Karibu
share kwa watu wako wa karib na group za WhatsApp0787636123

BORESHA AFYA YA  UZAZI YA MWANAUME & MWANAMKE.Kwa kutumia Juisi ya ALOE VERA GEL na MULTI - MACA.Virutubisho vilivyotoka...
11/08/2020

BORESHA AFYA YA UZAZI YA MWANAUME & MWANAMKE.

Kwa kutumia Juisi ya ALOE VERA GEL na MULTI - MACA.

Virutubisho vilivyotokana na Aloe Vera na mzizi wa Maca. Zinatupatia Vitamin A, B, C, D & D na Madini ya Zinc, Selenium, Calcium, Iron, Copper, Magnesium, Sodium, Amino na Folic Acid.

FAIDA ZAKE KIAFYA

1.Husaidia kusafisha mfumo wa mwili kwa kutoa Sumu na Taka mbali mbali mwilini.

2. Huboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

3. Husaidia kurekebisha hormone ya Estrogen kwa wanaweka na Testosterone kwa wanaume.

4. Husaidia kuboresha na kuongeza idadi ya mbegu za kiume na upevushaji was mayai kwa wanawake.

4. Huzibua Uchafu kwenye mirija ya uzazi na kuifanya Tezi Dume ya mwanaume kukanya kazi vizuri na kulinda Kibofu cha mkojo.

Pia kwa wanawake husaidia huzuia na kuyeyusha vimbe zinazoanza kwenye mfumo wa uzazi.

5. Hupunguza na kuzuia uwezekano mkubwa wa kupata Saratani ( Cancer ) ya kizazi kwa wanaume na wanawake.

6. Huboresha na kuimalisha afya ya Moyo, Ubongo, Misuli, Mifupa na Mzunguko wa damu.

7. Hupunguza maumivu ya mwili, uchovu na maumivu ya hedhi kwa wanawake pia inaupa mwili Nguvu na Stamina kwa muda mrefu N,K
Karibu sana Kwa mawasliano zaid paga no 0787635123

ARG+PLUSNi virutubisho vya asili vyenye vitamin mbali mbali na L-arginine ambayo tunahitaji kutumia kila siku,Ni bidhaa ...
10/08/2020

ARG+PLUS

Ni virutubisho vya asili vyenye vitamin mbali mbali na L-arginine ambayo tunahitaji kutumia kila siku,
Ni bidhaa nzuri ambayo imetengenezwa kwa ubora wa juu sana, hii ni kutokana natafiti ambazo zilifanywa ili kuweza kukidhi mahitaji muhimu katika mwili.Kirututubisho hiki kina faida nyingi sana kwa mtumiaji akitumiapo
Hivyo basi zifuatazo ni faida za kirutubisho hiki.
➧Husaidia katika mifumo mingi ya mwili kuwa imara na kufanya mwili kuwa na afya Njema

➧Umuhimu Wa Arg plus

➧Husaidia na kuifanya mishipa ya damu itanuke ili kuruhusu damu kuzunguka vizuri

➧Huusaidia moyo kufanya kazi vizuri na kuratibu mzunguko wa damu Mwilini

➧Ina ondoa taka mwili.

➧Humuwezesha mwanaume kuwa imara na kumudu katika tendo la ndoa (stamina)

➧Huimarisha,hulinda, na kuzuia kuvimba/ kansa ya tezi dume

➧Husaidia katika mfumo wa kinga Mwilini (huongeza kinga Mwilini hivyo huufanya mwili kukinga magonjwa mbali mbali)

➧Husaidia uzalisha wa hormones na cell mpya hivyo kupunguza kasi ya kuzeeka

➧Husaidia katika kuimarisha mifupa, joints, misuli.

➧Ni nzuri sana kwa wafanya mazoezi(promotes athletic performance)

➧Hufanya ngozi kuwa imara, nzuri na yenye afya kwa kusaidia kuponya michubuko, sehemu ilioungua au kidonda.

Hivyo basi ni kirutubisho muhimu kwa matumizi ya kilasiku ili kuboresha kinga ya mwili. . Kwa watakao ihitaji namba 0787635123

JE UNATATIZO LA MIFUPA (JOINTS), MIGUU KUUMA, MGONGO NA VIUNGO VINGINE?● KINA MAMA wengi wanapofikia umri Wa kuzeeka yaa...
10/08/2020

JE UNATATIZO LA MIFUPA (JOINTS), MIGUU KUUMA, MGONGO NA VIUNGO VINGINE?

● KINA MAMA wengi wanapofikia umri Wa kuzeeka yaani miaka 45 na kuendelea miguu na mgongo kuuma imekuwa ni tatizo linalowasumbua.

● WAZEE nao wamekuwa wakisumbuliwa na hili tatizo linalowapelekea wengi wao kushindwa kutembea.

● WAFANYA MAZOEZI na WANAMICHEZO pia wana changamoto hii ya mifupa/viunga kuuma kutokana na ukosefu Wa majimaji kwenye viunga........

● Itambue FOREVER FREEDOM NA KAZI ZAKE KATIKA VIUNGO VYA MWILI.

FAIDA ZAKE:
👉Husaidia mifupa isichakae na kurudisha majimaji yaliyopo katikati ya viungo ili kulainisha viungo na kuondoa maumivu na uvimbe.

👉 Ni nzuri kwa wanamichezo na wanaofanya mazoezi.

👉Nzuri kwa wanawake na wazee kwani tatizo hili huwaandama sana.

👉Vitamin C iliyoko ni kwa ajili ya kutibu pale inapotokea uhitaji huo na inasaidia ufanisi Wa MSM.

👉Ni kinywaji kinachotengenezwa na kupatikana kiasili.

👉Ni nzuri kwa watu wenye uzito uliopitiliza na wanaofanya kazi nzito.

👉Itakupatia kiasi cha Glucosamine Sulphate, Chondrotin Sulphate, MSM pamoja na vitamin C ambacho kinatakiwa na kuhitajiwa na mwili kila siku.

Kumbuka Bidhaa Hizi Ni Virutubisho Lishe Vya Asili. Na Pia Havina Kemikali Hatarishi, Hivyo Ni Salama Kwa Afya Ya Mtumiaji.

Tuma ujumbe kwenda whatsapp namba 0787635123 au piga simu usaidiwe mapema ndugu.

Share Post Hii Kwa Watu Wengi Zaidi Ili Wanufaike Na Elimu Iwafikie Huko Walipo Tusaidie Matatizo Haya.

07/08/2020

Sisi tuna bidhaa inaitwa Forever multi maca na itakusaidia k**a ifuatavyo 1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU. 2. KUBORESHA MSUKUMO WA DAMU AMBAYO NI MUHIMU KWENYE NGUVU ZA KIUME. 3. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME. 4. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU. 5. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI. 6. INARUTUBISHA MAYAI. Namba ya sm 0787635123

FOREVER ALOE VERA GEL Ni Juisi  iliyotengenezwa  na Ute Ute wa ndani wa jani la Aloe Vera aina ya Aloe Barberneses Semil...
07/08/2020

FOREVER ALOE VERA GEL
Ni Juisi iliyotengenezwa na Ute Ute wa ndani wa jani la Aloe Vera aina ya Aloe Barberneses Semillor.
Ni Aloe Vera Asilia 97% na imehifadhiwa kwa viinilishe vya vyakula visivyo koborewa 3% haina kemikali yoyote.
Aloe Vera Gel ina Vitamin A, B, C, E, & B12, Madini ya Calcium, Sodium, Potassium, Iron, Magnesium, Copper, Zinc, Amino na Folic Acid.

FAIDA YA KUNYWA ALOE VERA GEL.

1. Husaidia kusafisha mwili kwa kupunguza kiwango cha sumu na taka mwilini tunazozipata Kupitia vyakula, madawa, vinywaji na hewa chafu.

2. Huboresha na kuimalisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

3. Husaidia uzalishaji wa chembe hai nyeupe kwa kuimalisha kinga za mwili.

4. Huzuia na kusheyusha Vimbe zinazoanza tumboni au kwenye uzazi.

5. Hupunguza vyanzo au madhara ya aleji mwilini.

6. Husaidia ufanyaji kazi mzuri wa Figo, Ini, Tezi Dume, Misuli, Mifupa na hung'alisha Ngozi.

Ni antibiotic inayozuia na kuua Virus au Bacteria wa V/Tumbo, U.T.I, Typhoid au Fangas.

https://wa.me/0787635123

FOREVER NEW ARCTIC SEA (SUPER OMEGA 3)Ni mafuta ya Samaki yaliyotokana na samaki aina ya Salmon, Cod, Anchovy na Calamar...
01/08/2020

FOREVER NEW ARCTIC SEA (SUPER OMEGA 3)

Ni mafuta ya Samaki yaliyotokana na samaki aina ya Salmon, Cod, Anchovy na Calamari na kuongezewa mafuta ya mzaituni, Limao na Ndimu kwa Utunzaji.

Mafuta haya yana Omega 3 & 9, Vitamin A & E, DHA & EPA.

OMEGA 3 ni mafuta mazuri yanayohitajika mwilini kwa kutunza Joto la mwili na husaidia usafirishaji wa Damu kiurahisi inayoanzia kwenye Moyo kuelekea sehemu zingine za mwili.

OMEGA 3 inapopungua mwilini mtu huhisi dalili za Ganzi kwenye Viuungo, Ubaridi, maumivu ya Kichwa au Macho.

OMEGA 9 ni mafuta yanayosaidia kuyeyusha na kuunguza mafuta mabaya ( Cholesterol ) yanayoganda kwenye Mishipa na kuifanya Damu isisafiri vizuri.

Mafuta mabaya yakizidi mwilini hupelekea mtu kuwa na BP ya kupanda au kushuka au kupatwa na Kiharusi ( Stroke ).

VITAMIN A husaidia afya ya Ubongo, Kumbukumbu, Macho, Kuongeza Kinga ya mwili, Kuboresha afya ya mmeng'enyo wa chakula na Homorne za kijinsia.

VITAMIN E husaidia kuimalisha afya ya Misuli, Mifupa na kurainisha Nyonga.

DHA ni Cell ambazo zinasaidia kuimalisha afya ya Ubongo na Kumbukumbu kwa binadamu.

EPA ni mafuta ambayo yanasaidia kuyeyeyusha mafuta mabaya mwilini.
Kwa MAHITAJI wasiliana n Mimi 0787635123

MATATIZO YA PRESHA (BLOOD PRESSURE.***Presha ya kawaida isiwe zaidi ya 140/90mmlHg. Presha ikiwa haitibiwi huharibu mish...
01/08/2020

MATATIZO YA PRESHA (BLOOD PRESSURE.

***Presha ya kawaida isiwe zaidi ya 140/90mmlHg.
Presha ikiwa haitibiwi huharibu mishipa ya damu katika macho, misuli ya moyo kuwa minene , kusababisha mshutuko wa moyo (heart attack), mshipa ya damu safi kuwa migumu, figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) na kiharusi (stroke).
Presha kwa mwanamke mjamzito inaweza kusababisha kifafa cha mimba na kufanya hata kiumbe kufa tumboni. Hivyo ni muhimu kuchunguza presha ya wanawake wote wajawazito.

VISABABISHI VYA PRESHA KUWA JUU

√ Chumvi nyingi
√ Unene uliozidi
√ Umri mkubwa au uzee
√ Figo ikiwa haifanyi kazi
√ Historia ya ugonjwa wapresha kwenye familia
√ Ugonjwa wa kisukari

DALILI YA MTU MWENYE UGONJWA WA PRESHA

Mara nyingi presha haina dalili hadi ilete madhara na hivyo huitwa( silent killer ) muuaji wa kimyakimya

√ kichwa kuuma
√ Kizunguzungu
√ kubanwa na pumzi
√ kutokuona vizuri
√ kichevuchevu

VITU VINAVYO CHANGIA HALI YA PRESHA KUWA MBAYA ZAIDI NI

√ Kula chuvi nyingi
√ Unene uliozidi
√ Kutofanya mazoezi mara kwa mara
√ Kunywa pombe nyingi
√ Uvutaji wa sigara

TIBA YA UGONJWA WA PRESHA
.Argi plus itaenda kueka sawa blood flow na presha
•• Mojawapo ya tiba ya presha ni kuacha vyakula vyenye chumvi kabisa k**a itatumika iweke kidogo ya ladha wakati chukula kipo jikoni.

•• Pia mazoezi kwa ajili ya kupunguza uzito ni muhimu kwa tiba ya ugonjwa wa presha na tuna C9 cleaning program muhimu kwa kupunguza unene .

•• C9 utafanya mazoez na kuwa na diet

Mawasiliano zaid 0787635123

JE UNA MTOTO ANAYESUMBUA KULA?Forever Kids ni suluhisho. Forever Kids ni MultiVitamin ambayo sio tu itampa mtoto wako vi...
31/07/2020

JE UNA MTOTO ANAYESUMBUA KULA?

Forever Kids ni suluhisho. Forever Kids ni MultiVitamin ambayo sio tu itampa mtoto wako vitamin na madini muhimu bali itamuongezea na hamu ya kula.

Zipo kwenye tembe ndogo na tamu k**a p**i hivyo ni rahisi kwa mtoto kutumia.

Karibu sana., popote ulipo inakufikia,,,Kwa uhitaji na maelezo zaidi,,tuwasiliane Kwa Whassap,,, 0787635123

30/07/2020
ALOVERA GELAlovera gel ni kinywaji bora cha afya chenye Alovera(97%) kinywaji hiki Sio Dawa Bali ni chakula chenye virut...
29/07/2020

ALOVERA GEL
Alovera gel ni kinywaji bora cha afya chenye Alovera(97%) kinywaji hiki Sio Dawa Bali ni chakula chenye virutubisho (75) vitamini(14), na madini(20).

Faida za Alovera gel
1:kuondoa take mwili
2: kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yeyote mwilini mfano mji wa mimba,7j na nk
3: kuepusha magonjwa na kuua vijidudu k**a virus, bacteria na fangasi
4: kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na kuondoa mafuta yanayoganda
_ kuzuia na kutoa gesi mwilini
_ kusaidia mfumo wa mumeng'enyo wa chakula
_ kusaidia Vidonda vya Tumbo

5: kuongeza kinga ya mwilini
6: inasaidia maumivu ya Viungo k**a miguuna mgongo
7: kusaidia uponyaji wa magonjwa ya umri k**a pressure na Kisukari
8: kusaidia kuboresha matatizo mbali mbali ya ngozi k**a
_ kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia
_ kuifanya iwe na unyevu nyevu
_ kuondoa ukavu na mikunjo kunjo
_ kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa
_ kusaidia magonjwa mbali mbali ya ngozi k**a aleji,muwasho,chunusi,vinundu vidogo vidogo vyeusi,makovu, mkanda wa jeshi na upele
9: kusaidia uponyaji wa ugojwa wa kupooza( stroke)
10: inasafisha mzunguko wa damu na kuimarisha mishipa ya damu
11: inasaidia kutibu harufu mbaya mdomoni k**a bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni
12: kusaidia kwa wale ambao hawapati usingizi vizuri(insomnia), uchovu sugu,hangover, msongo wa mawazo( stress) na mfumo wa fahamu
13: inaonda baridi na ganzi kwenye Viungo vya mwili mfano miguu,mikono na vidole
14: inasaidia kwa wale ambao hawapati choo vizuri na wenye bawasili

Kwa order au kupata maelezo WhatsApp/ piga no 0787635123

Address

Ww. Forever
Zanzibar

Telephone

+255776291209

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshauri wa virutubisho vya afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share