16/05/2026
β οΈ BILA NIDHAMU YA CHAKULAβ¦ UTAJIKUTA UNAZUNGUKA TU KWENYE MZUNGUKO WA KUPUNGUZA UZITO!
Watu wengi wanataka kupungua uzito,
Lakini hawataki kubadilisha mfumo wa maisha yao.
Ukweli ni huuπ
π₯€ Unakunywa soda kila siku.
π Unapenda vyakula vya mafuta kupita kiasi.
π Unakula usiku sana.
π Haufanyi mazoezi wala kutembea.
π΄ Hulali muda wa kutosha,
Halafu unategemea tumbo lipungue haraka?
β Hutumii njia Sahihi ya kupunguza uzito/Sehemu unayohitaji ya mwili wako.
β Haiwezekani bila nidhamu ya chakula.
~β’Mwili wako hujibu kile unachokula kila siku.
~β’Uzito mkubwa sio tu muonekanoβ¦
Unaweza kuambatana na:
β οΈ Presha.
β οΈ Kisukari.
β οΈ Kuchoka haraka.
β οΈ Kukoroma kupita kiasi.
β οΈ Kupungua kujiamini.
β οΈ Maumivu ya viungo.
β οΈ Kushuka nguvu za mwili na hata hamu ya tendo la ndoa
Habari njema ni kwambaβ¦
β
Inawezekana kupungua uzito kwa njia salama.
β
Inawezekana kupunguza kitambi.
β
Inawezekana kupunguza baadhi ya maeneo ya mwili yaliyokusanya mafuta.
β
Bila kujitesa wala kuathiri afya yako
Lakini lazima ujue:
π Unakosea wapi kwenye mfumo wako wa kula.
π Mwili wako unahitaji nini.
π Namna sahihi ya kula kulingana na afya yako.
π K**a una changamoto ya:
βοΈ Uzito uliopitiliza.
βοΈ Kitambi.
βοΈ Mafuta ya tumboni.
βοΈ Unene wa maeneo fulani ya mwili.
βοΈ Kuchoka haraka kutokana na uzito.
π² Niandikie neno βAFYAβ WhatsApp au inbox sasa hivi kupitia:
π WhatsApp/Call: +255772686987
Elimu sahihi inaweza kubadilisha mwili wako⦠na maisha yako pia.