Dr.PRISCA na Afya

Dr.PRISCA na Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.PRISCA na Afya, Medical and health, Zanzibar.

31/01/2023

UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE
(pelvic Inflammatory Disease)
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu
🟢Zifuatazo-:

✳️Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua

✳️ Pia sababu nyingine ni matumizi ya Condoms na kufanya ngono zembe.

🟢DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣ Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣ Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣ Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣ Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣ Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣ Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟 Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

🟢MADHARA YA PID
1️⃣ Ugumba
2️⃣ Kansa ya shingo ya kizazi
3️⃣ Mirija ya uzazi kuziba

⚠️ USIENDELEE KUTESEKA....TUNALO SULUHISHO
wasiliana na mimi sasa;
Whatsapp 0692215388
au 0672323469

23/01/2023

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.PRISCA na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share