AFYA NI MTAJI

AFYA  NI MTAJI AFYA TIBA NA USHAURI
KARIBU
HUDUMA ZETU NI VIPIMO VYA MIWILI MZIMA
KWA SHILLING 30,00
MIKOWA YOTE

Changamkia fulsa  NAFASI nichache
25/03/2026

Changamkia fulsa NAFASI nichache

*USIRUHUSU PID IFIKE HATUA HII*   Tunaposema PID ni Gonjwa Hatari Sana tunamaanisha Kuwa ni hatari Ewe Mwanamke unapoona...
23/03/2026

*USIRUHUSU PID IFIKE HATUA HII*

Tunaposema PID ni Gonjwa Hatari Sana tunamaanisha Kuwa ni hatari

Ewe Mwanamke unapoona unaanza Kutokwa na Uchafu ukeni,usikae Kimya na Kuona ni Swala la Kawaida hiyo ni Ishara mbaya sana.

Tatizo hili la PID linaongoza Kwa kuwafanya Wanawake Wengi kuwa wagumba hapa namaanisha kuwa unaweza Ukawa umewahi kuzaa Lakini ikapelekea usizae Tena.

Uchafu huu unaweza Kuwa una harufu Au Usiwe na harufu, Muhimu ni Kwamba unapoona unatokwa na UTOKO(Uchafu) ukeni muone daktari Haraka Sana.

*PID INATIBIKAJE*
PID inatibika kulingana na stage ya tatizo lilipofikia,Kwa bahati mbaya unapokwenda hospital kutibu utapewa dawa za kutuliza Tatizo kwa Muda Ila tegemea kuwa baada Ya muda litarudi Tena.

Nipigie sim kwanamb 0699323067!

🩺 Upungufu wa Nguvu za Kiume (Erectile Dysfunction - ED) 🩺🔹 Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume anapata u...
18/03/2026

🩺 Upungufu wa Nguvu za Kiume (Erectile Dysfunction - ED) 🩺

🔹 Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume anapata ugumu wa kusimamisha au kudumisha uume katika hali inayotosha kwa tendo la ndoa. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu za kimwili au kisaikolojia.

🔴 Sababu za Upungufu wa Nguvu za Kiume

✅ Sababu za Kimwili:

✔ Matatizo ya mzunguko wa damu – Magonjwa k**a kisukari, shinikizo la damu, na ugonjwa wa moyo huathiri mtiririko wa damu kwenye uume.
✔ Tatizo la homoni – Kupungua kwa homoni ya kiume (testosterone) huathiri hamu ya tendo la ndoa.
✔ Unene kupita kiasi – Huongeza hatari ya magonjwa yanayoathiri nguvu za kiume.
✔ Uvutaji wa sigara & unywaji pombe kupita kiasi – Husababisha kuziba kwa mishipa ya damu.
✔ Matumizi ya dawa fulani – Baadhi ya dawa za shinikizo la damu, antidepressants, na dawa za usingizi zinaweza kusababisha tatizo hili.
✔ Magonjwa ya mfumo wa neva – Magonjwa k**a Multiple Sclerosis na Parkinson’s yanaathiri misuli na neva zinazohusika na kusimama kwa uume.

✅ Sababu za Kisaikolojia:

✔ Msongo wa mawazo & wasiwasi – Hupunguza uwezo wa ubongo kupeleka ishara za msisimko kwa mwili.
✔ Sonona (Depression) – Husababisha kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa na nguvu za mwili.
✔ Hofu ya kushindwa kufanya tendo la ndoa – Wasiwasi mwingi kuhusu utendaji wa tendo la ndoa huweza kusababisha tatizo hili.
✔ Migogoro ya mahusiano – Maelewano mabaya katika uhusiano yanaweza kupunguza msisimko wa tendo la ndoa.

⚠ Dalili za Upungufu wa Nguvu za Kiume ⚠

✅ Kushindwa kabisa kusimamisha uume.
✅ Uume kusimama kwa muda mfupi na kushindwa kudumu muda wa kutosha.
✅ Kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
✅ Uume kuwa laini au dhaifu hata baada ya msisimko wa kimapenzi.

🔹 Ikiwa hali hii inaendelea kwa muda mrefu, inashauriwa kumuona daktari kwa uchunguzi na matibabu sahihi.

📞 Unahitaji Suluhisho La Haraka?

✔ Tunatoa program ya matibabu ya uhakika ndani ya siku 7 tuu!
✔ Jipatie tiba bora kwa kutumia njia za asili na lishe maalum.

📲 Piga simu: 0699323067
💬 WhatsApp: 0699323067

🔹 DR john – Mtaalamu wa Afya ya Uzazi

💯 Furahia maisha ya ndoa kwa kurejesha nguvu zako za kiume!

17/03/2026

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

Tumekuandalia OFA Maalumu Ya Upimaji Wa Mwili Mzima Kuelekea mwisho wa mwezi

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 150,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishirini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 120,000/= Nzima

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu/Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba
0699323067

Tunapatikana Tanzania nzima yaani Tanzania bara na visiwani

 Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na MatibabuShirika la Afya kutoka CHINA/ ETE...
16/03/2026


Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na Matibabu

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa kwa wagonjwa wote wanao fika katika vituo vyake vyote, na Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namb 0699323067
https://chat.whatsapp.com/Dov550WYYG4AhttDOXbTcC?mode=gi_t

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
12/03/2026

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

Tumekuandalia OFA Maalumu Ya Upimaji Wa Mwili Mzima Kuelekea mwisho wa mwezi

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 150,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishirini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 120,000/= Nzima

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu/Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba
0699323067

Tunapatikana Dar es salaam na mikoani

Karibu katika ofa ya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ,tunatoa huduma ya vipimo makini vitakavyobaini , chanzo cha Tatizo...
12/03/2026

Karibu katika ofa ya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ,tunatoa huduma ya vipimo makini vitakavyobaini , chanzo cha Tatizo lako, ukubwa wa Tatizo hilo pia maeneo yaliyoathilika katika mwili kutokana na Tatizo hilo. . Utapatiwa dawa zitakazoenda kudili na chanzo Moja kwa Moja hivyo Tatizo hilo litapona na halitajirudia Tena. Dawa zetu zinakazi kuu nne katka mwili ambazo ni👉kutoa sumu mwilini. 👉Kujenga mwili. Kwahiyo mwili wako utarudi katika Hali ya awali. 👉Kulinda mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi. Na 👉kutibu changamoto Yako Moja kwa Moja. Usipange kukosa , tunapatikana dar es alaam na mikoani pia. Kwa mawasiliano piga 0699323067 👉Afya Yako nikipaembele chetu wahi sasa

Address

Zanzibar
11111

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share