22/06/2023
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗛𝗜𝗭𝗢 𝗡𝗜;
1. 𝗗𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗶 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗸𝗼𝗷𝗼.
Kwa sababu ya kuwepo kwa ku uziba kwa mrija wa uzazi na mkojo rangi yake ubadilika kwa sababu mara nyingine mkojo huwa na rangi ya njano na kwa mara nyingine mkojo uwa na uchafu kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye mrija ya uzazi.
2. 𝗞𝘂𝘁𝗼𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗶𝘀𝗶𝘆𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝗮𝘄𝗮𝗶𝗱𝗮.
Kwa sababu ya kuwepo kwa kuziba kwenye mirija ya uzazi kuna tatizo la kuwepo kwa damu ambayo utoka kupitia kwenye uke kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mirija ya uzazi.
3. 𝗞𝘂𝗵𝗶𝘀𝗶 𝗺𝗮𝘂𝗺𝗶𝘃𝘂 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝘁𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗹𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mirija ya uzazi vile vile kunakuwepo pia na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa kwa hiyo hali husababisha wakina mama kutofurahia tendo la ndoa kwa hiyo ni vizuri kabisa kutibu maambukizi ili kuepuka tatizo hili.
4. 𝗞𝘂𝗵𝗶𝘀𝗶 𝗸𝗶𝗰𝗵𝗲𝗳𝘂𝗰𝗵𝗲𝗳𝘂 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝗺𝘄𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗽𝗶𝗸𝗮.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mirija ya uzazi usababisha kichefuchefu na pia wakina mama wengi utapika .
5. 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗼 𝗸𝘂𝘃𝗶𝗺𝗯𝗮.
Kwa sababu Maambukizi kutoka kwenye mirija ya uzazi yanaweza pia kufika kwenye mmeng'enyo wa chakula na vile kusababisha tumbo kuvimba.
6. 𝗠𝗮𝘂𝗺𝗶𝘃𝘂 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘂𝗻𝗼
Kwa sababu via vya uzazi mara nyingi vipo kwenye sehemu ya kiuno kwa hiyo kwenye kiuno Maumivu pia uwepo.
7. 𝗞𝘂𝘄𝗲𝗽𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝘁𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗽𝘂𝗻𝗴𝘂𝗮 𝗮𝘂 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗲𝗸
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi usababisha sana uzito kuongezeka au kupungua kwa ghafla kwa mtu mwenye tatizo la Maambukizi kwenye via vya uzazi.
8. Kuhisi mwili kuchoka
Kwa sababu ya kuwepo kwa hali ya maumivu ya mara kwa mara pia usababisha na mwili kuchoka na kuleta hali ya mama kutojisikia vizuri.
9. Kuwepo kwa maumivu ya nyonga.
Kwa sababu nyonga ni sehemu mojawapo ambapo via vya uzazi huwepo kwa hiyo na pia maumivu hutokea kwenye sehemu ya nyonga.
K**a una dalili mbili au zaidi ya hizo ambazo nimezitaja basi wasiliana nami Kwa ushauri pamoja na tiba kupitia namba
0716108573